Vijana wasomi wacharuka, wakosoa hali ya kisiasa iliyopo Tanzania

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
32,522
Reaction score
37,398
22 June 2025

Vijana hao wa vyuo mbalimbali ikiwemo UDSM, NIT n.k
  • Wachambua hali ya kisiasa yenye maono mbalimbali
  • Kutiki October 2025
  • No Reforms No Election
  • Amani ya kudumu hupatikana kwa kupitia haki
  • Uchaguzi huru hautampa ushindi wa wa asilimia 100%
  • Bunge la Dodoma lamulikwa
  • Umuhimu wa elimu zaidi ya kusoma na kuandika kwa wawakilishi / viongozi wa kisiasa, maana dunia imebadilika
  • Utamaduni sasa ni UCHAWA
  • Jamii kwa sasa imeshindwa kuchambua mambo ya msingi, na hili hasi ipo hadi bungeni
  • Masikitiko juu ya kundi la No Reforms No Election limenyimwa sauti kwa kila mbinu
  • Kura ya mpiga kura haifahamiki kama kweli itafanya matarajio ya mpiga mkura
  • Takwimu za UNICEF 70% ni vijana lakini bajeti ya taifa iliyosomwa 2025 haiendi kumgusa kijana ktk hali chanya mfano imepunguza vinywaji kama pombe, energy drinks
=============================

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Angasi Robert Okechi, amesema kuwa katika nchi zilizoendelea, Bunge ni mahali pa watu wenye upeo mkubwa wa fikra na maarifa, ambapo wabunge hukutana kuandaa mipango mikakati ya maendeleo ya muda mrefu kwa manufaa ya taifa.

Akizungumza leo Juni 22, 2025 jijini Dar es Salaam, mbele ya wanahabari, Angasi amesema tofauti na mataifa mengine, hapa nchini baadhi ya wabunge huingia bungeni kwa lengo la kupanga mbinu za kisiasa zitakazowarejesha madarakani ifikapo mwaka , badala ya kujadili masuala ya msingi ya maendeleo.

“Mbunge anatakiwa aingie bungeni kuwasemea wananchi wake kwa maslahi mapana ya nchi. Lazima awe na uwezo wa kuandaa mpango mkakati na kuupeleka bungeni ili utungwe sheria zenye manufaa kwa wananchi,” amesema.

Aidha, Angasi amekosoa tabia ya kuchagua wabunge kwa misingi ya umaarufu au uwezo wa kifedha bila kuzingatia elimu na uelewa wa masuala ya kisheria na kiuchumi.

“Haiwezekani mtu mwenye elimu ya darasa la saba, kwa sababu tu anajua kusoma na kuandika, anazo fedha na anajua kuzungumza vizuri, apewe jukumu la kutunga sheria za kuongoza taifa. Bunge ni chombo nyeti kinachopaswa kuwa na watu makini,” amesisitiza.

Angasi amehimiza Watanzania kuwaamini vijana waliobobea kutoka vyuo vikuu na vyuo vya kati, kwa kuwa wanaweza kuibua mipango madhubuti ya kulisaidia taifa kwa nguvu na maarifa yao.

KUTOKA MAKTABA:

VIJANA NA MABADILIKO, WAKATI HUU 2024 / 2025 NI SAHIHI KUINGIA KTK NAFASI ZA MAAMUZI IKIWEMO URAIS

Duniani ni vijana wa vyuo vikuu ndiyo wanaoongoza kuchagiza mageuzi, Vijana ni taifa la leo, watoto ndiyo viongozi wa kesho. Kauli za kilaghai kuwa vijana ni kwa ajili ya taifa la kesho siyo sahihi.

Vijana msihofu msuguano na wazee waliopo mamlakani, kusubiri kupewa ni kukubali kuwa tumejumuishwa na watoto chipukizi. Ni wakati wa vijana kuchagiza kwa mbinyo wa hoja kuwa uongozi wa nchi ni kwa ajili ya vijana.

Historia inaonesha mara baada ya uhuru wa kwanza kupatikana ktk mtaifa mbalimbalii iwe kwa mtutu wa bunduki au maandamano ya kuondoa wakoloni, baadaye kulifuatia msuguano wa wananchi wenyewe kwa wenyewe kwa kutoridhishwa na wale waliochukua utawala toka kwa wakoloni.

Sababu mbalimbali zilizua msuguano ktk nchi huru kama udiktekta, tawala kamdamizi ya chama kimoja kongwe, utawala mbovu, ubaguzi wa kielimu mfano mtoto aliyesoma shule za kata / st. Kayumba anadanganywa kuwa akihitimu chuo kikuu atakuwa na nafasi sawa na mwenzake aliyesoma St. Mary's akamaliza elimu ya chuo kikuu pia anayekimanya kiingereza vizuri zaidi na wajomba wake wapo ktk nafasi za kiutawala n.k

Hapo ndipo Wanafunzi waliopo ktk nchi kama Sudan, Chile, Cuba, Afrika ya Kusini, Kenya walishiriki kudai mageuzi ili kuondokana na tawala zilizomgoa mkoloni.

Tanzania vijana hawajishughulishi kuhoji mambo yasiyowaridhisha wananchi kama bandari kuchukuliwa kuwa vituo vya nchi ngeni, matumizi mabaya ya kodi za wananchi, tozo zilizokifu wananchi, demokrasia kubinywa, katiba kandamizi n.k

Huko Chile marekani ya kusini nchi iliyo viongozi wa vyama vya wanafunzi wenye kushiriki kikamilifu katika siasa pia maandamano imewezesha kiongozi kijana wa wanafunzi Gabriel Boric ambaye ndiye rais kijana kabisa wa kuchaguliwa amezaliwa 11 February 1986 ambaye alichukua madaraka ya urais tarehe 11 March 2022 baada ya kushinda uchaguzi mkuu nchini Chile tarehe 19 December 2021 kwa kupata asilimia 60% ktk uchaguzi wa urais.

Gabriel Boric on the Chilean student movement 14 June 2017

Gabriel Boric on the Chilean Student Movement:
59,554Views :2017 14 Jun
In a presentation at the School of Public Policy on June 7, 2017; Gabriel Boric offers a historical perspective and reflects on lessons learned. He focuses especially on the role of social movements in a well-developed democracy and provides insights on how to sustain collective action over an extended period of time. He speaks also about his transition from being a member of a political movement to being a member of Parliament. Gabriel Boric is a Chilean parliamentarian, and a former leader of the national student movement. He was the president of the Student Federation of the Universidad de Chile, one of the most important student unions in the country. Boric currently represents the Magallanes and Antarctic Region in Chile’s Chamber of Deputies. He was elected as an independent candidate and is not associated with either one of the two political coalitions that have traditionally dominated politics in Chile. Source:

Department of Public Policy at CEU​

Mwanafunzi wa chuo kikuu Tanzania toka familia masikini anazama ktk mkondo wa madeni ya fedha za mkopo wa elimu ya juu huku akiwa anaimani na matumaini potofu ya Ilani ya CCM imeandika ahadi ya mambo ya uongo ya kupata ajira, mazingira ruhani kuwa wataweza kupata vyeo vya ulaji vya kisiasa UVCCM, kuwa MNEC Halmashauri Kuu ya CCM, mbunge wa CCM n.k au kuwepo mazingira (hewa) ya kujiajiri.

VIJANA NI WAKATI WA KUACHA KUTEGEMEA CHAMA DOLA KONGWE
1750631374376.png

Picha maktaba : Vijana chawa wa Vyuo vya elimu ya juu Tanzania.

Vijana vyuo vikuu na mijini pia vijijini badala ya kumezwa na ukiritimba wa UVCCM na ahadi kuwa ni viongozi wa kesho huku watoto wa vigogo wa CCM wanapewa nafasi sasa na siyo kesho wanatakiwa kuunda chombo chao kipya cha kutambulika kama mdau muhimu anayehitaji kuonekana katika majukwaa ya siasa pia ktk vituo vya redio, televisheni na mitandao ya kijamii kuchagiza mabadiliko na mageuzi ikiwemo pia kupewa nafasi nje ya mfumo wa vyama ili wagombee nafasi za kuchaguliwa na wananchi.

VIJANA KULE CHILE BARA LA LATINO AMERIKA WAMEWEZA

Gabriel Boric - The 100 Most Influential People of 2022 - TIME​

time.com › collection › gabriel-boric

gabriel boric presidente from time.com
23 May 2022 · He is making Chile the social, economic, and political laboratory of the world once again. Stiglitz is a Nobel Prize–winning economist
 
WALIWEZA AKINA ZITO NA H MDEE WAKAGEUKA MACHAWA WA CCM.ALIPOINGIA MAGU SAUTI IKAZIMWA YA WANAFUNZI.
 
Vijana na mabadiliko, walikuwa wamepoa na kudhibitiwa wasitoe mawazo wala kuruhusiwa kushiriki moja kwa moja katika maamuzi ya mustakhabali wa nchi.

Ni hatua nzuri ndani ya jamii kuona vijana wanaanza kutoa mawazo moja kwa moja bila kupitia UVCCM au Ngome ya Vijana n.k ambapo chama hudhibiti na kuchuja nini kizungumzwe kwa kufuatana na sera ya chama.
 
Hawa ni watoto wadogo sana, hawawezi kuwa wanajua mambo ya hii nchi kumzidi Mzee Stephen Wasira, hivyo wapuuzwe
 
22 June 2025

Vijana hao wa vyuo mbalimbali ikiwemo UDSM, NIT n.k
  • Wachambua hali ya kisiasa yenye maono mbalimbali
  • Kutiki October 2025
  • No Reforms No Election
  • Amani ya kudumu hupatikana kwa kupitia haki
  • Uchaguzi huru hautampa ushindi wa wa asilimia 100%
  • Bunge la Dodoma lamulikwa
  • Umuhimu wa elimu zaidi ya kusoma na kuandika kwa wawakilishi / viongozi wa kisiasa, maana dunia imebadilika
  • Utamaduni sasa ni UCHAWA
  • Jamii kwa sasa imeshindwa kuchambua mambo ya msingi, na hili hasi ipo hadi bungeni
  • Masikitiko juu ya kundi la No Reforms No Election limenyimwa sauti kwa kila mbinu
  • Kura ya mpiga kura haifahamiki kama kweli itafanya matarajio ya mpiga mkura
  • Takwimu za UNICEF 70% ni vijana lakini bajeti ya taifa iliyosomwa 2025 haiendi kumgusa kijana ktk hali chanya mfano imepunguza vinywaji kama pombe, energy drinks
=============================

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Angasi Robert Okechi, amesema kuwa katika nchi zilizoendelea, Bunge ni mahali pa watu wenye upeo mkubwa wa fikra na maarifa, ambapo wabunge hukutana kuandaa mipango mikakati ya maendeleo ya muda mrefu kwa manufaa ya taifa.

Akizungumza leo Juni 22, 2025 jijini Dar es Salaam, mbele ya wanahabari, Angasi amesema tofauti na mataifa mengine, hapa nchini baadhi ya wabunge huingia bungeni kwa lengo la kupanga mbinu za kisiasa zitakazowarejesha madarakani ifikapo mwaka , badala ya kujadili masuala ya msingi ya maendeleo.

“Mbunge anatakiwa aingie bungeni kuwasemea wananchi wake kwa maslahi mapana ya nchi. Lazima awe na uwezo wa kuandaa mpango mkakati na kuupeleka bungeni ili utungwe sheria zenye manufaa kwa wananchi,” amesema.

Aidha, Angasi amekosoa tabia ya kuchagua wabunge kwa misingi ya umaarufu au uwezo wa kifedha bila kuzingatia elimu na uelewa wa masuala ya kisheria na kiuchumi.

“Haiwezekani mtu mwenye elimu ya darasa la saba, kwa sababu tu anajua kusoma na kuandika, anazo fedha na anajua kuzungumza vizuri, apewe jukumu la kutunga sheria za kuongoza taifa. Bunge ni chombo nyeti kinachopaswa kuwa na watu makini,” amesisitiza.

Angasi amehimiza Watanzania kuwaamini vijana waliobobea kutoka vyuo vikuu na vyuo vya kati, kwa kuwa wanaweza kuibua mipango madhubuti ya kulisaidia taifa kwa nguvu na maarifa yao.

Njoo usome mijadala yenye tija kwa wewe Chawa wa Mama na ***** la Mbunge Lucas Mwashambwa
 
Hawa ni watoto wadogo sana, hawawezi kuwa wanajua mambo ya hii nchi kumzidi Mzee Stephen Wasira, hivyo wapuuzwe

Wameongea mazito kuwa Julius Nyerere aliaminiwa kuwa kiongozi wa TANU mwaka 1954 akiwa na miaka 32, akawa pia waziri mkuu wa Tanganyika huru akiwa na miaka 39

Balozi Ahmed Salim Ahmed aliaminiwa kuwa balozi akiwa na miaka 22,

Baraza la kwanza la mawaziri wa Tanganyika lilikuwa na mawaziri kibao umri wa wastani 30s

Mzee Steven Wasira 2025 makamu mwenyekiti CCM aseme kina Okech, Samson Abdul na wenzie waliotoa hotuba ya karne kuhusu mustakabali wa taifa letu kuwa ni watoto siyo vijana ?!

Jenerali Ulimwengu anatusaidia kuhusu umuhimu wa vijana kupewa nafasi pia kuaminiwa

View: https://m.youtube.com/watch?v=5drm0pjTxVE
 
Kauli ya Angasi Robert Okechi ni ya msingi na ya kuchochea fikra. Ameonyesha upeo wa hali ya juu kwa kutambua kwamba Bunge linapaswa kuwa jukwaa la fikra pana na mipango ya maendeleo ya muda mrefu, si mahali pa siasa za kimaslahi binafsi. Huu ni mwito kwa viongozi wetu kuweka mbele maslahi ya taifa na kujifunza kutoka kwa mifumo ya nchi zilizoendelea. Vijana kama Angasi wanapaswa kuungwa mkono kwani wanawakilisha kizazi kinachotamani mabadiliko ya kweli na maendeleo ya kimfumo.
 
No
22 June 2025

Vijana hao wa vyuo mbalimbali ikiwemo UDSM, NIT n.k
  • Wachambua hali ya kisiasa yenye maono mbalimbali
  • Kutiki October 2025
  • No Reforms No Election
  • Amani ya kudumu hupatikana kwa kupitia haki
  • Uchaguzi huru hautampa ushindi wa wa asilimia 100%
  • Bunge la Dodoma lamulikwa
  • Umuhimu wa elimu zaidi ya kusoma na kuandika kwa wawakilishi / viongozi wa kisiasa, maana dunia imebadilika
  • Utamaduni sasa ni UCHAWA
  • Jamii kwa sasa imeshindwa kuchambua mambo ya msingi, na hili hasi ipo hadi bungeni
  • Masikitiko juu ya kundi la No Reforms No Election limenyimwa sauti kwa kila mbinu
  • Kura ya mpiga kura haifahamiki kama kweli itafanya matarajio ya mpiga mkura
  • Takwimu za UNICEF 70% ni vijana lakini bajeti ya taifa iliyosomwa 2025 haiendi kumgusa kijana ktk hali chanya mfano imepunguza vinywaji kama pombe, energy drinks
=============================

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Angasi Robert Okechi, amesema kuwa katika nchi zilizoendelea, Bunge ni mahali pa watu wenye upeo mkubwa wa fikra na maarifa, ambapo wabunge hukutana kuandaa mipango mikakati ya maendeleo ya muda mrefu kwa manufaa ya taifa.

Akizungumza leo Juni 22, 2025 jijini Dar es Salaam, mbele ya wanahabari, Angasi amesema tofauti na mataifa mengine, hapa nchini baadhi ya wabunge huingia bungeni kwa lengo la kupanga mbinu za kisiasa zitakazowarejesha madarakani ifikapo mwaka , badala ya kujadili masuala ya msingi ya maendeleo.

“Mbunge anatakiwa aingie bungeni kuwasemea wananchi wake kwa maslahi mapana ya nchi. Lazima awe na uwezo wa kuandaa mpango mkakati na kuupeleka bungeni ili utungwe sheria zenye manufaa kwa wananchi,” amesema.

Aidha, Angasi amekosoa tabia ya kuchagua wabunge kwa misingi ya umaarufu au uwezo wa kifedha bila kuzingatia elimu na uelewa wa masuala ya kisheria na kiuchumi.

“Haiwezekani mtu mwenye elimu ya darasa la saba, kwa sababu tu anajua kusoma na kuandika, anazo fedha na anajua kuzungumza vizuri, apewe jukumu la kutunga sheria za kuongoza taifa. Bunge ni chombo nyeti kinachopaswa kuwa na watu makini,” amesisitiza.

Angasi amehimiza Watanzania kuwaamini vijana waliobobea kutoka vyuo vikuu na vyuo vya kati, kwa kuwa wanaweza kuibua mipango madhubuti ya kulisaidia taifa kwa nguvu na maarifa yao.

No reform no election
 
Sasa nimuulize huyu mwanafunzi ni nani anamchagua huyu darasa la saba? Au mtu asiyejiweza? Na kwa nini wasomi wengi hawajitokezi kuchaguliwa? Au wasomi wengi hawajui kujieleza? Na ukisema fedha kwa nini darasa la saba wana pesa na wasomi hawana pesa? Tatizo kubwa ni watu Weusi, miafrika
 
Wabunge aina ya Msukuma, Kibajaji, Babu Tale ni hasara kwa Taifa
 
Hahaha CCM huwa wanawatishia kuwaondolea mikopo na kuwafukuza vyuoni.

Hili linaonyesha uvcc na uwt wamekaba hadi penalt.

Mfumo wa siasa na ajira umehamia makao makuu ya ccm.

Tuna safari ndefu, siju msajari atawaondolea ruzuku hao wanafunzi pia?

Au Ccm watakuja waseme msiingize siasa vyuoni, wakati wao wana matawi ya uvcc na uwt kila chuo.

Naona tunakaribia mstari wa kuanza mapambano.
 
Serikali ya mama kizimkazi very soon kupitia king'ora chao msigwa au polisccm watakuja na tamko la kuwashughulikia hawa vijan wazalendo and great thinkers ambao ni tunu kwa taifa.
 
Back
Top Bottom