Uzima Tele
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,559
- 3,586
View: https://youtu.be/pbWyJh60zWk?si=arsKsXtmfdkBEJf-
Huyu mzee amewahi kuwa kiongozi Mwandamizi wa serikali ktk awamu za u Rais wa Nyerere, Mzee Mwinyi na mpaka awamu ya Mkapa na anachokisema hapa ni wazi anakijua, habahatishi
Anashangaa kuwa, kuna watu (viongozi) ukiwaona wamevaa suti au kanzu unaweza kudhani ni viongozi wenye akili lakini Cha ajabu wanafanya mambo ya mzaha na kilaghai na utoto mtupu
Chaguzi za kuanzia 2015 kurudi nyuma zilikuwa najisi lakini za mwaka 2019, 2020 na 2024 ni janaba kabisa, hazifai kuitwa chaguzi kwa vigezo vyote!
Msikilize mwenyewe👆