Jenerali Ulimwengu: Nchi ni kama haina uongozi. Kwa hali hii ya kisiasa, kuna jambo baya laweza kutokea wakati

Jenerali Ulimwengu: Nchi ni kama haina uongozi. Kwa hali hii ya kisiasa, kuna jambo baya laweza kutokea wakati

huyo mzee ni wa pk hivyo anajua mengi sana, mambo yamefwatana sana, naona kumekaribia kukucha …
 
Kuchinja Kobe timing is everything.
 
Imekuwa kama kisiwa, kinachoelea baharini. Kuna wakati maji yakizidi unga, using'ang'anize uwe ugali hata uji inatosha. Unawaacha wanaoweza, kuusonga huo ugali kwa ustadi.
 
Nahisi Wajeda wanamlia timing tu huyu Mama.
Obvious
Japo, baadhi ya senior officers ndani ya TPDF walishawekwa kwenye payroll la genge la Mafia hawa
Cha kutia matumaini ni kuwa, kupinduliwa kwa serikali hakufanywagi na maafisa wakubwa jeshini
Ni askari wa vyeo vya chini kabisa hufanya kazi hii

Na tulipofikia sasa, bora jeshi lichukue nchi tujipange upya, tuanze upya
Kubadilisha mambo kwa kufuata mifumo ya kidemokrasia, inaonesha wazi kuwa ni impossible!!
 
Back
Top Bottom