Mwanzoni tulimlaumu hayati Magufuli kwamba ndiye anawatetea na kukandamiza mihimili mingine .
Baada ya Muda tukagundua kuna Mkono wa Mwenyekiti Mbowe pia kwenye hili suala .
Kwa ujumla wanasheria wameonesha udhaifu mkubwa sana , lakini mamlaka zimeonesha udhaifu.
Hawa wabunge 19 wanamaliza...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, akifurahi jambo na Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Mhe. Halima Mdee Jijini Dodoma leo tarehe 26 Januari, 2025.
Nimemuona Lissu anawashambulia sana akina Halima Mdee na wenzake badala ya kutengeneza Mazingira rafiki ya kurudisha wale Viongozi ambao CHADEMA imetumia muda wake mwingi kuwaandaa, na hasa ukichukulia toka wameisaliti hawajawahi kuisema vibaya Taasisi wala Viongozi wao.
Uongozi siyo Sheria tu...
Kiongozi wa baadhi ya wabunge 19 kutoka chama cha demokrasia na maendeleo Chadema Halima Mdee ametuma emoj ya kucheka baada ya Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu kusema wanatakiwa kueleza nani alisaini mchakato wa wao kuingia bungeni huku akisema yupo tayari kuwapokea wabunge hao .
Kauli ya...
Kama Intelejensia ya CCM isingeingilia Kati Halima Mdee ndiye angekuwa Mwenyekiti wa Chadema na Lisu angeendelea na umakamu wake na uchaguzi ungefanyika 2024 siyo 2025
Mzee Mziray mkongwe wa Chadema anasema ndio sababu Mbowe alimshawishi Sana Halima Mdee aachie Ubunge wa shujaa Magufuli Ili aje...
https://youtu.be/3F8yBt6lrOY?si=stTHOPf0ioqfr114
Huyu dada ndio mtu pekee anaweza kuziba pengo la Halima Mdee pale BAWACHA.
CHADEMA itumieni vizuri hii tunu mliyopewa na Mungu, Dada anaujasiri kama wa Simba na amenyooka kama Lissu
Tofauti ya Mdee na Simba ni majina tu hakika CHADEMA inahazina...
Katika kukiunganisha chama na kuondoa tofauti zetu, tafadhali sana Mh. Freeman Mbowe, mara baada ya kushinda kwa kishindo katika nafasi ya uenyekiti, mteue ndugu Halima Mdee kuwa katibu mkuu wa chama.
Mbali na kukiunganisha chama, utakuwa umezingatia genda. Pia itaonesha kuwa wewe ni mlezi...
Mwakilishi wa wabunge wachache bungeni, Halima Mdee, amesema Dk Faustine Ndugulile, aliyekuwa mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika, alisimama kidete kwa wananchi wake na Taifa, kusema kweli bila kujali gharama.
"Dkt. Faustine Ndugulile...
Halima Mdee
Alikuwa Mbunge wa Kawe kuanzia 2010 hadi 2020 (CHADEMA) akiwa miongoni mwa Wanawake wachache walioweza kuingia Bungeni kwa kupitia vyama vya Upinzani. Aliwahi pia kuwa mwenyekiti wa BAWACHA
Dorothy Semu
Mwaka 2020 aliteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti Bara na Chama cha ACT-Wazalendo...
Mbunge Halima Mdee akizungumza wakati wa mjadala wa Taarifa za Kamati ya PAC na LAAC kuhusu Ripoti ya CAG katika Mkutano wa 17 wa Bunge la 12 ulioanza leo Oktoba 29, 2024 na kutarajiwa kuendelea hadi Novemba 8, 2024, amesema mapato Tsh. Bilioni 61.15 hayakukusanywa katika vyanzo muhimu
Amesema...
Ni wazi chairman na msaidizi wake Taifa hawana tena mawazo mapya wala fikra mbdala kuiongoza chadema ikapiga hatua au kufanikisha chochote kisiasa.
Taasisi imekuwa haina mipango mikakati endelevu, sera mbdala, dira wala uelekeo muafaka unao eleweka na wenye kuleta matumaini au ahueni ya kufika...
Ukiangalia account zote za wapinzani utakuta picha ya Free nani, Free nani, kwa Mdee yeye kwake picha za simba na Yanga.
Naamini 100% mdee hata akisamehewa basi ni kujidanganya, moyo haupo kabisa upizani.
bora tu uwende CCM ukamlizie siasa zako, maana CCM tupo wengi kwenye foleni tunataka nafasi
Anaandika Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti Chadema kuhusu Covid 19
Kama wanaruhusiwa kurudi itakuwa ni kwa sababu hawakuwa na makosa yoyote, ila sisi ndio tuliowakosea. Kama tukiwaruhusu kurudi maana yake ni kwamba sisi viongozi wa chama wote tulikuwa waongo, ila wao ndio walikuwa wa kweli...
Upinzani kwa ujumla tunamuhitaji sana Halima Mdee msiwalaumu Covid-19 wa kulaumiwa ni JPM
Kiukweli, pamoja na yalotokea still upinzani tunamuhitaji mtu kama Halima Mdee
Halima Mdee ni asset muhimu kwa nchi yetu
Najua mCCM mnammezea mate sana lakini mtamuota sana huyu mtamuota sana na hawezi...
Mzee Dee katika hotuba yake alisema Mkewe alikuwa na tabia ya kuweka 10% ya kipato chake kwa ajili ya kutoa Zaka ikiwemo kuwasaidia Maskini na wanaohitaji kusomeshwa. Aliyasema hayo wakati wa shughuli ya kumuaga mkewe abayo tuliohudhuria tulisikia hayo
Hili ni jambo zuri sana na limezungumzwa...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe leo 05/08/2024 Amehudhuria ibada ya kuaga mwili wa Mama Theresia, ambaye ni Mama Mzazi wa Halima Mdee, aliyewahi kuwa mbunge wa Chadema kabla ya kuvuliwa uanachama kwa makosa ya Aibu ya Usaliti. Kwa sasa Halima Mdee hana chama ila ni Mbunge wa viti maalum...
Ndugu zangu Watanzania,
Sote tunafahamu kuwa Mbunge wa viti maalum wa CHADEMA Mheshimiwa Halima James Mdee amefiwa na Mama yake Mzazi siku chache zilizopita. ambapo mimi binafsi nampa pole sana Mheshimiwa Mdee kwa msiba huo mzito wa kupoteza Mama yake Mzazi.Namuomba Mwenyezi Mungu amtie nguvu...
Viongozi kadhaa wa Kitaifa wakishiriki kuhani Msiba wa Mama yake Halima Mdee, Tunaishukuri serikali kwa kujitokeza kushiriki kuwafariji Wafiwa.
Gerson Msigwa
Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko
Waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa
Bado inatarajiwa kuwa na Ugeni Mkubwa zaidi
Tulia Ackson.
PIA...
Mama mzazi wa mbunge wa viti maalumu Halima Mdee, Bi.Theresa Mdee amefariki dunia leo katika hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma
Taarifa hiyo imetolewa na Mbunge Ester Bulaya ambaye amethibitisha taarifa hizo za kifo cha mama mzazi wa Mh Halima Mdee leo katika hospitali ya Benjamin Mkapa na...