Nilikuwa namfuatilia huyu dada Mpare mwenzangu Halima Mdee. Bila ubishi ni kati ya wanasiasa wachache wenye vipaji sana.
Tatizo lake ni moja tu kwamba Siasa za Tanzania kufanya kwa level yake unatakiwa usiwe tena na uchumi wa kutegemea siasa hizo hizo kwa maslahi na kujikimu.
Tatizo hawa...
Mimi ninakubaliana kuhusu kurudi kwa akina Halima Mdeme na wenzake 19 kwa makubaliano na Kamati kuu na kwa kuomba msamaha kwa Baraza Kuu kwa vile hakuna binadamu asiye na kasoro.
Mbowe tumia weledi wa uongozi kwenye masuala yote magumu ya chama achana na makundi ya akina John Mrema wenye...
Kwanza kabisa nikupongeze Mhe. Halima Mdee wewe ni jembe. Leo umemfanya Mwigulu - Waziri wa Fedha, Bashungwa - Waziri wa Ujenzi na Mbarawa - Waziri wa Uchukuzi. Leo umewafanya waonekane si chochote mbele ya hoja yako. You have reduced them to nothing. Hakika wamepwaya. Nije kwenye mada. Mhe...
Wabongo tupunguze unafiki na udaku,sidhani kama kuna nchi yeyote duniani inaizidi tanzania kwa undimilakuwili,niwatu waliokosa ajenda watu wa kukurupuka.
Juzi kuna habari imetokea huko kwenye ziara za Rc mmoja hiyo habari kila mmoja amekurupuka eti wamejisikia uchungu kwa kuwa tu huyo mama...
Baraza kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, limethibitisha uamuzi wa kamati kuu ya chama hicho cha upinzani Tanzania na kuwavua uanachama wabunge 19 wa viti maalumu wanawake.
Je, Mdee baada ya kusemekana kushawishi wenzake wanataka kurudi kuomba Msamaha CHADEMA , tunajiuliza...
Siasa haziondoi utu wetu. Hivi karibuni Mbowe aliwaalika wabunge hao maarufu sana katila hafla ya kuchangia ujenzi wa kanisa.
---
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, leo Januari 31, 2024 amemtembelea na kumjulia hali, Theresia Ngowi ambaye ni mama mzazi wa...
Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) limemtaka Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson kuwaondoa Bungeni Wabunge 19 wa viti maalum wanaodaiwa kuwa wanachama wa CHADEMA, kinyume chake Baraza hilo limetishia kuwahamasisha wanawake Nchini...
Kupotea kwa Halima Mdee na wenzake katika siasa za jukwaani na kwenye mitandao kumetokana na kufutwa kwenye list ya wapigania uhuru
Leo hawa wanasiasa pamoja na uwezo wao mkubwa wa akili hawana mchango wowote kwa Taifa. Wamebaki kimya hakuna anayewaalika wala kuwashirikisha jambo lolote la...
Haya hapa ni baadhi ya Maelezo ya Jaji .
Kama tulivyotarajia , Jaji ameamua hivi .
====
Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam imewapa ushindi Halima Mdee na wenzake 18 kwenye kesi yao waliyoiwasilisha Mahakamani hapo dhidi ya Uamuzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wa...
Tumepokea hukumu iliyotolewa leo Alhamisi tarehe 14 Desemba, 2023, uamuzi wa Mheshimiwa Jaji Cyprian Phocas Mkeha;
1. Kwamba uamuzi wa kuwafukuza uanachama waliokuwa wanachama wetu 19 uliofanywa na Kamati Kuu ya Chama, umeendelea kusimama (Upo pale pale) na Mahakama imekubaliana kuwa taratibu...
Upo uvumi kwamba Mrithi wa Sophia Mjema huenda akawa miongoni mwa wale Wabunge wasio na Chama ambao waliapishwa na Ndugai kwenye Gereji ya Bunge.
Halima Mdee na Nusrat Hanje wanatajwa kujaza nafasi hiyo (tetesi).
Hutakiwi kupuuza jambo hili , kwa vile ni dhahiri kwamba CCM imeishiwa watu, ndio...
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa LAAC bi Halima Mdee ameishutumu Serikali Kwa Kukiuka na kupuuza Maagizo ya Bunge yaliyotolewa kwenye maasimio kuhusu washukiwa wa Ufisadi Waliotajwa na CAG.
============
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali...
Katika mchakato wa kupitisha Mkataba wa Bandari, Halima Mdee alisimama kidete kutetea Maslahi ya taifa katika uwekezaji bandarini.
Halima Mdee hakusimama kama Mpinzani au mwana CHADEMAA bali kama Mzalendo, Mtetezi na Mpenda Nchi na Mlinzi wa Rasilimali za Taifa.
Mchuano ulikuwa mkali baina ya...
Inaumiza sana. Yaani hizi tambo zetu humu JF n.k si wa Mikoani wala Dar ambao wamefanikiwa. Sisi tunadharaulika. Yaani tuna wagegeda akina sijui nini flower wana mastress kibao tunaacha watu wa maana huko wanalalamika wapo single na hawajawahi pewa Mimba.
Halima mpaka leo ni single na hana...
Hayo yamewekwa wazi na mbunge wa viti maalum, Halima James Mdee akihojiwa na Wasafi Fm leo asubuhi.
My take:
Vijana mnakwama wapi? Lishangazi hilo lipo free changamkieni fursa
"....Bawacha wengi wao pale ni vitoto vya juzi kwenye game ambavyo kwa namna vinavyopiga kelele wala sipaswi kuhangaika navyo kwa sababu natambua ngoma ya mtoto huwa kamwe haikeshi."
Mheshimiwa Halima Mdee (MB).
==========
Dar es Salaam. Wakati Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha)...
Akihojiwa leo na kituo cha redio kuhusu changamoto za upinzani amesema kwamba wapinzani nchini wana changamoto nyingi sana zinazowakosesha kuaminika kwa wananchi licha ya wananchi kuichoka ccm.
Amesema wananchi wanshindwa kutuelewa kozi hatuna sera mbadala ukiacha suala la katiba ambalo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.