hana

  1. Mtondoli

    Rais Samia Hana nongwa na mtu ,ni rais mwenye karama ya uongozi,

    Ndugu zangu rais huyu ukimtazama vizuri kuanzia speech zake na action anazozichukua utagundua kuwa Hana nongwa na mtu, Ila Kuna watu wananongwa na rais.alianza vizuri Sana na hajabadilika ni Yule Yule na Nia yake ni ileile.ya kuwaunganisha watanzania.kutibu majeraha yaliyotokana na mbinyo wa...
  2. Mystery

    Serikali ya Rais Samia ilikuwa haina "option" nyingine zaidi ya kumwachia Mwenyekiti Mbowe kutoka mahabusu

    Kwa kila mtu anayeifuatilia Kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti Mbowe na wenzake 3 huko kwenye Mahakama Kuu, atagundua kuwa hii Kesi ni ya kubambika, kwa maana ya kuwa Majaji wake wanaopangwa ni wa michongo, mawakili wake walioko upande wa Jamhuri, walio upande wa mashitaka nao ni wa...
  3. Idugunde

    Kama Chairman Mbowe hana kosa mbona Mnyika alimtuma Zitto kwenda kumuombea msamaha?

  4. GENTAMYCINE

    Tunamsifu Bernard Morrison, ila kwa 75% hana Msaada kwa Simba SC na ni Mzigo, lakini kwa 25% ndiyo huwa anatusaidia

    1. Hakabi akipoteza 2. Anajiona Messi tayari 3. Ana Dharau zilizopitiliza za Mpira 4. Mchoyo (Mbinafsi) 5. Anaharibu Mashambulizi ya Tija 6. Amejipa Mamlaka asiyoyaweza 7. Utoto na Upuuzi vimeshamzoea Klabu iache Kumdekeza na Benchi la la Ufundi limwambie Klabu ( Simba SC ) Kwanza na...
  5. O

    Utamfanyaje mwanamke anayekuambia ana mimba wakati hana?

    Wadau maoni muhimu, imagine umekuwa ukiamini unahudumia mimba yako. Kila siku unatoa pesa ya matumizi hadi bajeti za vifaa vya kujifungulia, halafu mwisho wa siku unakuja kuambiwa mimba haikuwepo
  6. Jidu La Mabambasi

    Nimeshangazwa na kauli ya Rais kudharau msimamo wa Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje

    Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani. Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili. Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora. Na hii naanza...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Polepole anakosa sifa hii muhimu ndio maana hakuna anayemzingatia

    POLEPOLE ANAKOSA SIFA HII MUHIMU NDIO MAANA HAZINGATIWI NA WATU Kwa Mkono wa Robert Heriel Kwenye suala la uongozi na utawala ukitaka usizingatiwe Sana yaani upoteze mvuto licha ya watu kukusikiliza, basi kosa sifa nitakayoieleza hivi leo. Ni sifa moja kubwa Sana ambayo hiyo ndio humpa mtu...
  8. kavulata

    Cloutus Chama hana thamani hii

    Kuna mbinu zinatumiwa na mawakala wa wachezaji kupandisha thamani ya wachezaji wao. Ni kuzichagiza timu kubwa na pinzani kwa mchezaji wao. Mfano Chama anaongezewa thamani ambayo hana kwa kumhusisha na Yanga na Simba. Binafsi, Chama ni mchezaji mzuri lakini ni WA kiwango Cha Tanzania na Afrika...
  9. sanalii

    Anayenitafuta sina muda, ninayemtafuta hana muda na mimi

    Nimepigiwa simu na A baada ya dakika mbili nikamwambia niko na kazi nafanya nitakutafuta, baada ya kukata nikampigia B, mara ya kwanza hajapokea, nikapiga tena kapokea anasema anataka apunzike. Ngoma drooo.
  10. 6WaS9

    Sifa muhimu za binti wa kuoa kuanzia 2021 na kuendelea

    Sifa muhimu za kuoa kuanzia 2021 na kuendelea, awe bikra, atoke familia isiyo masikini na awe chini ya 26yrs! Mwanamke ambaye ana experience zaidi ya miaka kumi kwenye mahusiano na wanaume tofuti tofauti huyo hafai kuwa kwenye ndoa.! Unatakiwa uoe mwanamke mgeni wa mapenzi, bikra! Kuwa...
  11. MAHANJU

    Marufuku kumhusisha Rais Samia na Mahakama, hana mamlaka nayo

    Waswahili walimenya kwamba mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Huu ndiyo ukweli wenyewe kwamba Mama anajitahidi tu kusimamia kua katika utawala wake haki inatendeka. Ikitokea wewe umetuhumiwa kufanya tukio flani hiyo ni juu yako wewe, serikali inachosimamia ni kusisitiza haki itendeke...
  12. jitombashisho

    Samia hana hela hizo acheni kutufanya wajinga!

    Mara ooh Samia katoa bilioni kadhaa kwa ajili ya jambo fulani ama ooh Samia kakubali mkoa fulani upewe pesa zile-mimi Jitombashisho nasema tuondoleeni huo upuuzi wenu Samia hana hizo pesa. Pesa ya Watanzania ya kodi ajabu mnammlikisha mtu kana kwamba zake huo ni uzwazwa na upunguani tena mkome...
  13. Replica

    Yaliyojiri kesi ya Mbowe leo Novemba 05, 2021: Inspector Mahita Mohamed atoa ushahidi

    Baada ya jana kuahirishwa, Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani. Jana Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Sebastian Madembwe alitoa ushahidi wake. Jaji aliahirisha mpaka leo. Kuwa nami. ======= Jaji ameingia Mahakamani Kesi namba 16 ya Mwaka 2021...
  14. Sky Eclat

    Jogoo hana hawara

  15. Husninyo

    Mwenye mtaji wa milioni 20 na hana business idea

    Hellow... Kuna fursa katika biashara ya kukopesha watu. Kama una mtaji wa milioni 20 na upo interested na hii biashara njo inbox tuyajenge zaidi. Wateja wapo wa uhakika waliochunjwa kabisa hawana longolongo za marejesho. Kama unaogopa risks za business tulia Tuli. Kama una tamaa ya kutajirika...
  16. B

    Askofu Bagonza: Jakaya Kikwete hana ushawishi wowote kwenye Awamu ya Sita

    Maneno ya hekima kabisa haya ya baba askofu. Kwa hakika Askofu Bagonza ana hoja nzito: Kwa hakika kumvisha JK yanayojiri awamu ya sita ni kumkosea sana. Anamalizia baba askofu kwa kusema: Barikiwa sana baba askofu kwa kuendelea kutuchotea busara na uzoefu uliopewa na Mola wetu kila...
  17. K

    Wife hanijali mimi kabisa wala lolote ninalofanya

    Kwema wakuu? Nilikua nimekaa mahali ninakula msosi, kuna jirani yangu pembeni akawa anaongea na mkewe kwenye simu. Ebana wanavyoongea hadi raha yani. Mkewe anamuuliza jamaa siku yake imeendaje, anamuuliza anakula nini na pia amemsisitiza jamaa awahi kurudi home jion. Kwa upande wangu...
  18. Superbug

    Makosa ya IGP Sirro akiwa ofisini yaanze kukusanywa, Hana kinga kikatiba

    IGP Sirro ni Kati ya ma-IGP wa hovyo Sana kuwahi kutokea Tanzania. Tulijua wa mwisho atakuwa mahita Ila siro kaharibu mno. Tuanze kukusanya ushahidi ili akistahafu mwaka 2022 asafishwe na mahakama. Siro ni doa ndani ya serikali.
  19. Idugunde

    Ole Sabaya hata kama alikuwa na hatia lakini sio ya unyag'anyi wa kutumia silaha. Hakimu aliyehukumu hana weledi

    Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha. Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali...
  20. K

    Huyu jamaa angu hana hamu na UDSM kwa hiki alichokipata

    Kwema wasomi? Kuna jamaa angu ni in service wa halmashauri moja hapa Tanzania, mwaka 2019 alinifuata kuniomba ushauri wa program na chuo cha kusoma hapa Tanzania, kwa uelewa wangu kiasi niliokua nao kwa kipindi hicho, nikamahauri ni Bora atafute chuo cha private walau huko kunakua na unafuu na...
Back
Top Bottom