hana

  1. Autodidacts

    Wote wameingia kibahati na kutotarajia, Rais Samia hana jipya tena

    Hayati Magufuli a.k.a mwendazake aliwahi kukiri kuwa hakutarajia kuwa Rais wa awamu ya tano. Wengi tunakumbuka yaliyotokea, mpambano wa Membe na Lowassa ndio uliomzaa Magufuli kama suluhu ya kambi mbili pinzani ndani ya CCM wakati huo. Mwendazake alipata heshima na makofi mengi ndani ya siku...
  2. Cannabis

    Harmonize atoa wimbo mpya, asema yeye ndio mfalme hana haja ya kuongea tena, anauacha mitaa iongee

    Msanii nguli wa muziki wa kizazi kipya Harmonize, ametoa wimbo mpya unaoitwa Sandakalawe, wimbo huo unaonekana kukubalika na kupata views 100,000 ndani ya saa moja, hatua iliyomfanya Harmonize kusema yeye ndio mfalme wa muziki wa kizazi kipya na hatowakumbusha tena na kuacha mitaa iongee.
  3. Planett

    Huyu customer care wa benki hii hana kazi ya kufanya?

    Straight to the topic, Juzi kati kuna hela nilikua natarajia iingie kwenye acount yangu sasa nikawa nimeangalia sana salio ile siku kama mara 8 hivi ila hela ikawa haijaingia, nikaona isiwe kesi nikatulia zangu. Sasa mida ya jioni nikaona simu inaita nikapoke, aliyepiga akajitambulisha kua ni...
  4. MsemajiUkweli

    Baadhi ya watu wanajiuliza kwanini ''bwana yule'' hapati tena siri za Ikulu?

    Nimeona sehemu nyingi baadhi ya watu wakijadili kuhusu ''bwana yule'' huku wengine wakimbeza lakini wengine wakiuliza kimetokea nini kwa sasa ''bwana yule'' hapati tena siri za Ikulu. Kwa wasiojua vizuri wameenda mbali zaidi na kudai eti kwa sasa siri za Ikulu zimethibitiwa na uongozi mpya...
  5. B

    Kabudi hana budi kutuambia makubaliano walioingia na kampuni ya Barrick kuhusu makinikia

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kupitia majibu yake bungeni ametuarifu kuwa Serikali imeruhusu usafirishaji wa makinikia nje ya nchi. Usafirishaji wa haya makinikia nje ya nchi ndio ililteta mgogoro na kampuni hiyo ya uchimbaji dhahabu kiasi kwamba tukaaminishwa kuwa kampuni ilikuwa inatuibia...
  6. Erythrocyte

    Uteuzi wa Biswalo Mganga kuwa Jaji wa Mahakama kuu kupingwa Mahakamani, Yadaiwa hana Maadili, zuio la kuapishwa kwake laandaliwa

    Nimesoma uteuzi wa Majaji uliofanywa na Mh Rais ,nimeelekeza Mawakili wangu waweke pingamizi mara moja la kuzuia kuapishwa kwa aliyekuwa DPP Biswalo Maganga kuwa Jaji wa Mahakama kuu,hana sifa wala maadili ya kuwa mwamuzi wa haki za Watanzania,anastahili kuwa jela au jehanamu. Mytake : NI AIBU...
  7. R

    Guardiola hana kosa Aguero ndio katibua

    Habar wadau Kila kona ni malalamiko leo mikeka imechanika na mbaya zaid game ya simba vs yanga imepigwa chin na kiingilio ushalipia toka saa 2 asubuh watu wapo uwanjan wakasema saa 1 gafla wakasema hakuna kitu halaaaaa Ebu twende kwenye mada ukifuatilia media za nje watu wanamlaumu...
  8. sky soldier

    Mchawi hana akili, tukutane hapa ambao tumekutana na vimbwanga vyao, binafsi nlihama nyumba

    Mchawi kiukweli hana akili, mtu umelala zako usiku ukidhani wengi mmelala kumbe ndi kwanza kuna watu hutumia huo mwanya kujiandaa kuja kukusumbua usiku. Nakumbuka nikiwa kijana mdogo (miaka 22) nlichoka kukaa hostel za chuoni nikaenda kupanga ghetto mtaani ili niwe na uhuru zaidi kumiliki...
  9. Miss Zomboko

    Geita: Amchoma Mtoto kisu tumboni na kisha kujiua baada ya kugundua ana UKIMWI ila Mkewe hana

    Mkazi wa Nyantorotoro mkoani Geita, Shija Mwanzalima (30) amemjeruhi kwa kumchoma kisu tumboni mwanae wa kambo mwenye umri wa miaka mitatu kisha kujiua kwa kujinyonga. Kamanda wa polisi mkoani Geita, Henry Mwaibambe amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema limetokea mwishoni mwa wiki...
  10. P

    Rais Samia Mulika DAWASA, CEO wao hana uwezo, Wakandarasi na Wazabuni muda mrefu hatujalipwa

    Moja ya shirika linalohitaji reshufle kubwa sana ni DAWASA. watendaji wamezoea kufanya kazi kwa mazoea. CEO wao ndio usiseme. Hana uwezo, anaishi kwa mazoea ya awamu ya tano.... kisa he was favorite Zaidi ya wakandarasi 20. Wazabuni 14 wanaidai shirika hilo toka December mwaka Jana. na wengne...
  11. Slowly

    Joti hana mpinzani kwenye tasnia ya uchekeshaji

    Wadau Leo nakuja kivingine , huyu jamaa nilikuwa bado sijampata vyema , Joti ni legendary anayeishi upande wa comedy , mwamba anaweza Igiza angle yoyote unayotaka wewe. Hata script za professional jamaa anacheza vizuri Sana, kuanzia utoto , mwanamke, babu , mpaka mlala Hoi au mchungaji...jamaa...
  12. Idugunde

    Askofu Mwamakula ana msaada gani kwa CHADEMA? Mbona kama hamna anachowasaidia, kwa ujumla hana political influence

    Huyu Bishop ambaye huwa anajinasibu kuwa ni mwanachadema kindakindaki hana ushawishi wowote kisiasa. Ni mlopokaji na mpiga kelele na kelele zake ni kama kelele za chura. Nilishangaa sana kumsikia Mambo Sasa amemkamata eti anataka kuitisha maandamano. Huyu jinsi anavyopuuzwa na watu ndio wa...
  13. U

    Makonda: Sio lazima niteuliwe, ninaweza kuwa Kiongozi wa familia

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paulo Makonda ameibuka upya kwa kusema kuwa sio lazima apate uteuzi bali anaweza hata kuwa Kiongozi wa Familia. “Mimi ni mkulima, ni mfanyabiashara pia kwa hiyo ninaweza kuwa na mchango mkubwa sana hata kwenye kampuni ninazoweza kufanya kazi...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Anayesema wanaume wengi hawana nguvu za kiume lazima awe /alikuwa malaya

    ANAYESEMA MWANAUME HANA NGUVU ZA KIUME LAZIMA AWE/ALIKUWA MALAYA Kwa Mkono wa, Robert Heriel Kusema kuna ongezeko la wanaume kukosa nguvu za kiume ni kuutangazia Umma kuwa wewe ni malaya au ulikuwa malaya. Kusema vijana wa siku hizi hawana nguvu za kiume ni matokeo ya ongezeko la umalaya kwa...
  15. K

    Kwanini Spika Ndugai anawapigia upatu Wachina bandari ya Bagamoyo? Achunguzwe kama hana akaunti ya Benki nje

    Mimi nina wasiwasi wa huyu Spika wetu na China. China wamekuwa wakinunua viongozi wa Africa kwa manufaa yao. Leo hii baada ya Rais Magufuli kufariki huyu spika sasa anataka kumburuza Rais Mama Samia kwenye mtataba wa kuuza bandari ya Bagamoyo kwa China. Lengo la China liko wazi na walishasema...
  16. Analogia Malenga

    Mbowe: Nimepata chanjo ya AstraZeneca, Serikali iharakishe kuchukua hatua za kuikabili COVID19

    Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema amepata chanjo ya #COVID19 ya Astrazeneca alipokuwa nje ya nchi kibiashara Aidha amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan aharakishe mchakato wa Uchunguzi dhidi ya Corona ili hatua stahii zichukuliwe mapema na kuepusha vifo vinavyoweza kutokea...
  17. L

    Mbona Profesa Assad muda wake wa kuwa GAG ulipoisha hakuteuliwa kufanya kazi kwenye mashirika ya kimataifa?

    Ndugu wana bodi habari !!Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.Tulishuhudi wakati wa awamu ya tano,wataalamu wengi wa mashirika makubwa,walipotenguliwa utumishi wao,walipata uteuzi huko nje kwenye jumuia za kimataifa. Mfano mtoto wa Malechela alikuwa bosi wa NIMUR.Alipotenguliwa tu ,alipata...
  18. J

    Ina maana Mbowe hana wahasibu na washauri wa kodi katika kampuni zake? Tusiichafue TRA kwa faida binafsi za kisiasa!

    Ninavyofahamu hata mzee Mgaya na lile duka lake la Hardware ana mhasibu na mshauri wa kodi ambaye husimama kama wakili wa maswala yake ya kiuhasibu na kodi. Ninavyojua ukiwa na kampuni ni lazima uwe na mhasibu na external auditor kwa mujibu wa kanuni na taratibu za TRA. Freeman Mbowe kuwa jela...
  19. TheDreamer Thebeliever

    Huu wote ni mpango wa kulegeza vyuma,Rais Samia bado hana slogan lakini si mbaya akichukua ile ya kazi na bata

    Habari wakurugenzi..! Kiukweli mama mpaka sasa hana slogan au msemo au kauli mbiu yeye kama rais .Maana yule alikuwa na hapa kazi tu 2015 na Kazi Iendelee 2020 .Vipi mama akiamua kuchukua ile "kazi na bata" mkamuazima mara moja mpaka miaka yake itakapokwisha 2025. Mama kweli amekusudia...
  20. MAHANJU

    Uzuri wa Mama Samia hana Kabila lolote kwa Bara, mambo ya ukabila utawala wake tusahau

    Katika jambo ambalo limelalamikiwa sana lilikua ni suala la ukabila. Watu wengi walikua na manung'uniko ya chini kwa chini kua kabila moja kubwa hapa nchini ndio lilikua linawaweka sana ndugu zao juu mpaka ilifikia mpwa wa mtu anafanya kazi ngazi nyeti na watu walipohoji wakaambiwa eti wana...
Back
Top Bottom