Pastor Daniel Mgogo anasema sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji, maana Mungu hana account ya kupokelea pesa za sadaka.
wachungaji ndio wawakilishi wa Mungu hivyo wana haki ya kuzila sadaka kwa niaba ya Mungu
Naona mashabiki wa simba wengi wana matokeo mfukoni kwamba leo wanaenda mpiga jwaneng galaxy nyingi
nawaonya tu, mpira ni mchezo wenye matokeo ya kushangaza na ya kikatili mno
msije mkavunja viti tu uwanja wa taifa na kutupia bus la wachezaji wenu mawe. maana mna matokeo mfukoni tayari...
Kupanga ni kuchagua mwanaume ambae hana nia ya kuoa ni Mbwa Dume na Mwanamke ambae hana mpango wa kuolewa ni Paka Jike, uamuzi ni wenu. Fuatilia tabia na mienendo ya maisha ya hao viumbe hawanaga ndoa wala kuoa au kuolewa.
Hawa viumbe kazi yao ni kunyandua na kupata matokeo ya minyanduano...
Binafsi nina roho ya Musa, nachukia uonevu hata kama huo uonevu sijafanyiwa Mimi.
Yule mtu ana mapungufu ya akili , maana mtu mwenye akili timamu asingeweza kuvamia msafara ambao uko na limited time.
Yule mlinzi analipwa na fedha za umma kulinda Watanzania kwa njia moja ama nyingine.
Yaani...
GENTAMYCINE naipenda sana Simba SC yangu na napenda sana Kuwacharura Yanga SC hapa JamiiForums kama sehemu yetu ya Utani wa Jadi ila hakuna Kitu nachukia kama Uwongo na Propaganda za Kitoto.
Taarifa ya Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally kuwa Kiungo Fabrice Ngoma hakuwepo Kikosini kwakuwa alipatwa...
Nimekuwa nikijiuliza Nini cha maana mwanaume anapata kwenye ndoa, kiasi kwamba ajutie anapokuwa hana ndoa. Siungani na wale wa kataa ndoa, ila najiuliza tu Nini kinapotea kama haupo kwenye ndoa. Kwa wanaume, una pesa, una watoto.
Mwanamke akiwa kwenye ndoa anapata faida hizi .
1. Usalama wa...
Yaani ukifatilia mambo ya Katibu Mwenezi Paul Makonda utaishia kucheka tu. Sometime hata kupatwa na hasira au huzuni.
Katibu Mwenezi hana ajenda wala hajajipanga. Anajitwangia tu.
Tumesikia Mwanasheria akilalamika kuhusu utendaji wake. Si yeye tu wapo wanachama wengi wenye heshima zao ndani...
Ukinitapeli mara ya kwanza aibu iwe kwako unaenifanyia hayo mabaya, lakini ukinipiga mara ya pili kwa style ile ile nikiwa na utimamu wa kujua kinachoweza kutokea basi aibu iwe kwangu, Niliapa sitoweza kuangukia kwenye mtego wa jaribio la kwanza kwa mara ya pili.
Niliweka binti wa kazi...
"Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu, hawa ndiyo wanaweza kuniita na kunihoji, hakuna mtu mwingine yoyote, watu wajue mipaka yao ya kazi," Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.
Kwa kweli huwa najiuliza, lakini nakosa majibu, hivi inakuwaje Kwa Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan, aingie na walinzi wake na huku akichukua hadi kiti chake Cha Ikulu, ili akalie kwenye nyumba za ibada, Huku akilindwa na walinzi wake zaidi ya wawili?
Hivi hatuoni kuwa hatuishi na maneno...
Huwa tunawambia mara kwa mara, kuwa hawa akina Netanyahu hawana uhusiano wowote wa maana na wana wa Israel wa kale.
Hawa ni kizazi cha wasio kizazi cha Yakobo kilichokumbatia utamaduni wa kiyahudi na matokeo yake baada ya miaka mingi kupita wakaanza kuamini kuwa wao ni uzao wa yakobo, Isaka na...
Ni jambo baya ila naweka pia na wengine wajifunze. Wakati mwingine usitake sana kumridhisha au kumfurahisha mwenzio. Usitake kuvumilia sana tabia ambazo unajua si sawa kwa kigezo cha mapenzi.
Huyu dada nilimkuta na mtoto nikamwambia haina shida nitamlea mtoto. Mumewe alifariki. Lakini kama...
Habari za uhakika kabisa zinasema gwiji la kusoma magazeti nchini aka zee la viearphones halina furaha Wasafi redio.
Kitenge yuko kwenye mazungumzo ya awali akijiandaa kuhamia EFM huku ongezeko la mshahara na idadi ya safari za nje zikitajwa kama sababu kubwa kumshawishi kukimbilia EFM.
====
Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Babati, Victor Kimario ameieleza Mwananchi Digital kuwa kesi hiyo imetajwa leo Jumatano Desemba 27, 2023 mbele yake na ameifuta baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha taarifa ya kutokuwa na nia ya kuendelea nayo.
Kesi hiyo ilifunguliwa na...
Ni huyu mke wa jirani yangu bi chaudele. Hajui kutunza watoto hajui kuangalia watoto wala ndugu na jamaa zake.
yeye ni mtu wa ngoma na ngoma ni zake kijiji hadi kijiji anazunguka kwenda kucheza ngoma. Ukimwona muda wote kapaka wanja wa kungu na anakuwa amekula kungu manga kafunga kibwebwe...
Kuna vimaneno vimeanza kusambazwa na mbumbumbu kuanza kumfananisha Diarra na kipa wao Ayoubu Lakred!
Anayeweza kuwalinganisha wawili hao kwa sasa kwa maana ni Kama unalinganisha kichuguu na mlima!
Unamlinganisha kipa aliyefanya vizuri kwenye mechi 3 dhidi ya kipa aliyeonyesha ubora wake miaka...
Katika vitu ninavyoviona vya ajabu basi ni tuhuma zinazomkabili Keshas.
Keshas huduma zake kwa ujumla ni gharama sana, kupunguza tu tumbo tu peke yake ni laki 9 lakini cha ajabu kila kukicha wateja wanazidi kumiminika kwake kuanzia wateja wa kawaida mpaka wale V.I.P mfano mmojawapo ni Zari the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.