Naona kampeni zimekuwa nyingi. Kama Chama ana kiburi ajue namna ya kuishi nae tu.
Naona kampeni dhidi ya Chama na ubora wa Benchika zimezidi.
Tunawasubiri mechi ya Whydad na Kagera. Chama akiendelea kunyanyasika kama hajawahi kuifanyia lolote Simba. Kama sio mtu aliyeirudisha Simba makundi...
Simba viongozi wanazani kupata mchezaji wazuri ni pesa tu. Wanaiumiza Timu sana.
Ata wachezaji wenzake hakuna aneweza kutia mashaka uwezo wake ulivyo juu kabisa.
Katoa asist matata mechi ya Al ahly. Wanawazurumu pesa zao alafu wanamfitinisha na kocha.
Naomba chama aende Azam au Yanga na...
Rais anapokuwa hana maono kazi yake kubwa inakuwa ni kutafuta umaarufu badala ya kuumiza kichwa kuhusu ustawi wa watu wa taifa lake.
Wangapi wamemuelewa rais Samia ktk hili?
Habari za Jumapili wanajukwaa.
Nianze kwa kusema tu kwamba kiuhalisia Jana Simba wamecheza vizuri sana kabla ya Sub Moja haijafanywa, na swala la simba kufungwa 1 tu na Wydad linadhihirisha kua Soka La Bongo Limekua.
Tusilete porojo eti Wydad wabovu au Al Ahly kutoa Sare na Yanga basi Ahly...
Hawa jamaa ni akili mgando kabisa. Kama sikoseI, wao kwenye kundi lao walipoteza mechi mbili za ugenini na bado wakafika robo, halafu wanaibeza Yanga ambayo mpaka sasa imepoteza mechi moja tu ya ugenini. Ukweli huu wanaujua vizuri, wanachokifanya ni kujaribu kucheza na saikolojia yetu wakati huo...
Ni ndugu yangu mwenye miaka 26, kamaliza chuo mwaka juzi.
Hapo zamani mara kwa mara alikuwa akiniomba pesa za kutatua shida zake, hizi elfu 20 nimemtumia sana.
Nikaona isiwe taabu, kitu anachoomba ni kama samaki naowavua basi nayeye nimpe ndoano awe anajivulia, Tulikaa chini pamoja nikamuuliza...
Kwa mshangao mkubwa, nimeoni picha ya kijana husika kwenye clip akihojiwa na mwanamke anaetajwa kuwa ni Pauline (haonekani katika video) na kwa maelezo ni kuwa clip hiyo yenye kuonyesha sura ya huyo kijana akihojiwa na Pauline imesambazwa na Pauline na watu wake.
Sasa huku sio ndio kujimaliza...
Kama simba ipo siliasi kutaka kocha yupo Pitso Mosimane
Rcord zake hazina mashaka. Kaongoza timu ya taifa S. A 2010-2012.
Akaongoza mamelod 2012-2020.
Viongozi hawana huruma na Ela za Mo dewji.
Dili zao zote hufanikisha kwenye Wazungu. Aliletwa mzungu Foward kwa karibu Billion 1. Hakuingia...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM-Taifa, Itikadi na Uenezi, Cde. Paul Makonda amesema Rais, Samia Suluhu Hassan ameendelea kutoa fedha nyingi za utekelezaji wa miradi ya maendeleo nchini kwahiyo deni limebaki kwa wasaidizi wake kuhakikisha wanatekeleza miradi na kufanya kazi kwa bidii ili kuondoa...
Ndugu Comrade Paul Christian Makonda karibu Kanda pendwa ya Ziwa ujionee ilani ya Chama inavyotekelezwa Kwa vitendo. 2024/2025 Ushindi ni lazima.
---
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Paul Christian Makonda atakuwa na ziara mahususi mkoa kwa mkoa kuanzia tarehe 9 hadi 14 Novemba 2023.
Mikoa...
Gwajima kanisani sijui anakaa muda gani toka aombe ubunge. Kila siku unaona anaambatana na vijana wale wale waumini wake kuzunguka mtaani na jogging. Mambo yamegoma amehamia kwenye mashindano ya rede huku akiacha shangingi na kutembelea bajaji za kukodi.
Hizi siasa zilipaswa kufanywa majimbo...
Makonda Makonda kwanini lakini tumia busara acha Lopolopo, Leo huko Dodoma kaongea utumbo, hivi huyu dogo anaweza kuwatisha wastaafu, bado anakivuli cha enzi za Magufuli et eeh.
Jamaa tulidhani kajifunza hekima na ustaarabu kwa kukaa benchi kumbe ni jitu lenye uchuro tu.
Makonda anaweza...
Hongereni sana Uongozi wa Simba SC kwa Kumbeshimisha Mheshimiwa Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bw. David Concar kwa Kumzawadia Zawadi ya Jezi yenye Jina lake kwa nyuma.
Poleni sana kwa Wengine kwa kuendelea kuwa Washamba kwa Kumzawadia Mheshimiwa Balozi huyo wa Uingereza Jezi yenye Jina (...
Siku chache sana baada ya Paul Makonda kuteuliwa kushika cheo cha Katibu mwenezi na itikadi wa CCM, cheche za siasa zake za toka zamani zimeanza kuonekana. Makonda ameanza kwa mikwara ya matamko ya vitisho, kebehi na amri za ajabu ajabu kwa watu mbali mbali na taasisi mbali mbali.
Kwa watu...
Katika upokezi wake wa Ukatibu Mwenezi Makonda amesema ataenda kwa Chongolo, Dr Mwinyi na pamoja na viongozi wa bunge la Tanzania kuomba mawazo yao wamwambie wanataka Mwenezi wa namna gani.
Akisema yeye anaweza kuwa mwenezi wa aina yoyote yule wanayemtaka, mnyenyekevu au mkorofi.
Kati ya jambo ambalo sitadhubutu kumuhusisha Mungu nikatika ukatili wa kiongozi dhidi ya anaowaongoza.
Naamini hakuna Mungu wa viongozi waovu bali Mungu ni wa wenye haki. Naamini haki ya kuishi Ben Sanane na wengine wengi ni haki ya kila mmoja na Mungu hakuwahi kuamua vinginevyo. Naamini haki ya...
Simba kesho inabidi ashinde au vinginevyo atoe sare ya mabao 3-3 ndio aweze kufuzu kucheza nusu fainali.
Hii ni kwa mujibu wa sheria ya goli la ugenini kuhesabiwa mawili pale magoli yanapokuwa sawa baada ya mechi mbili kumalizika.
---
Kwa mujibu wa kanuni za mashindano ya African Football...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.