happy birthday

  1. Leejay49

    Happy birthday to me 🎂🎉

    Signed out
  2. papag

    Happy birthday to me

    Napenda kuchukua nafasi hii adhimu kwa kujipongeza kufika mwaka mwingine tena. Nawashukuru wazazi wangu walionileta duniani huko waliko waendelee kupumzika kwa amani. Namshukuru Mungu mwingi wa rehema kwa kuendelea kunilinda pamoja na mapungufu mengi ninayo mtendea kwa namna yeyote ile. Na...
  3. Mahondaw

    Happy birthday Bantu Lady

    Helloowww guyss!!! Today a true queen was born and I take this chance to wish her a very sweet, happy , lovely ,enjoyable, and an ameizing birthday! Mary God bless you and grant you many more years to celebrate! Happy birthday Bantu Lady
  4. Intelligent businessman

    Happy birthday to JF member Mwachiluwi

    Wish yah all the best young bro Mwachiluwi, imeisha hiyoo!
  5. Mwachiluwi

    Happy birthday to me Mwachiluwi

    Leo nakumbuka siku yangu ya kuzaliwa nashukuru ni mzima wa afya maana katika familia yetu watu wanakufa kabla ya tarehe ya siku ya ya kuzqliwa kabla ya siku tatu au mbili na mimi pia wiki ilio isha mambo yalikuwa mengi ya kuvuruga akili naona shetan alikuwa kazini ila Mungu mwema
  6. Da'Vinci

    Happy birthday to me D

    Namshukuru Mungu leo nimetimiza miaka 23. Long may I reign.
  7. Chakorii

    Happy birthday to me

    Leo ni kumbukizi ya kuzaliwa Kwa chakorii.. Karibu tusheherekee pamoja na Gemini. Kama na wewe unasheherekea birthday yako leo tafadhali mguse Mungu Kwa namna ya kipekee kabisa.Tembelea watoto yatima watu waishio katika mazingira magumu,,kula nao mfurahi. Mungu akubariki utoapo na upokeapo...
  8. trudie

    Happy birthday to me Trudie

    Namshukuru sana Mungu kwa kunipa neema ya kuongeza mwaka mwingine. Nashukuru leo nimetimiza miaka kadhaa kwa kuingia floor mpya ya majukumu. Mwaka huu umekuwa wa neema sana kwangu mwenyezi Mungu anazidi kunipigania. Kweli tunazeeka na miaka inaenda sana. Happy birthday to me. Intelligent...
  9. Okrap

    Happy birthday to me

    Nisema asante sana kwa Mungu kwa siku ya leo asante sana
  10. Mohammed wa 5

    Happy birthday to me Mohamedi wa 5, Jamiiforums wish me

    May 20 Mohammed wa 5 nililetwa kwenye dunia hii...Asante Sana familia, baba na mama kwa upendo wenu mpaka leo nilipofika..pole Sana mama angu kwa yote uliyoyapata baada ya kunileta duniani miaka 2 ulikuwa mtu wa kuumwa na kuteseka nakupenda Sana. Happy birthday to me Mohammed wa 5
  11. ladyfurahia

    Another year and another blessing happy birthday to me

    Habarini Wadau wangu wa nguvu Ni jambo la kumshukuru Mungu muumba mbingu na nchi kwa nafasi hii ya upendeleo kwangu kunitoa duniani tarehe kama yale nakumbuka nilivyotokea na amenipa afya tele ingawaje nina kahoma na kifua kuuma [sijui ndo korona hii shindwa} nafurahia kufikia siku hii muhimu...
  12. ladyfurahia

    Happy birthday sweet Chachu Ombara

    Habari wadau mabestito wa zamani na wasasa (wanasema ya kale ni dhahabu) Ninafuraha iliyoje kumtakia mwandani wangu kumbukizi ya kuzaliwa kwake, Mungu ampe miaka mingi ya ubabu kabisa aje kusahau hata kuingia humu JF hahaaaaaaaaaa. Chachu jisikie kupendwa kwa namna hii hata kama hujaona...
  13. Chance ndoto

    My precious daughter Maureen is 1 year old today. Happy birthday to her

    Kipindi cha siku, Mwezi au mwaka kwa bindamu mkamilifu ni muda mrefu sana wa maisha yake. Mtoto wangu leo ametimiza mwaka mmoja tangu kuzaliwa kwake. Mapito ya magonjwa, na kama binadamu mwingine unakwama kununua nguo mpya walau kila siku kwa mtoto, baby diapers, hata mara zingine hela ya...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Happy birthday to me, Taikon wa Fasihi

    Kwema Wakuu! Ninafuraha kubwa katika siku hii ya leo. Hii ndio siku ambayo nilizaliwa. Ndimi Taikon wa Fasihi, Mnyanyembe wa Tabora. Nawashukuru wote mliokuwa baraka kwangu, lakini pia nawashukuru wale mliogeuka changamoto kwangu, Mnisamehe wale wote niliowakosea Kwa namna moja ama nyingine...
  15. Makonde plateu

    Another year and another blessing, happy birthday to me tajiri

    Nimezaliwa familia ya kishua sana tena sana yaani mimi kwa sasa kumiliki bilioni kadhaa kwenye akauti kwenye akauti yangu is not big issue naenda London kama wewe unavyoenda huko kwenu kwa mtogole au unavyoenda kwenu maganzo au unavyoenda huko kwenu maji kuinama ukienda na mabasi yanayovuja huko...
  16. Sky Eclat

    Phil Collins is 72 today, Happy Birthday Phil

    PHIL COLLINS IS 72 TODAY Golden Oldies is wishing English Singer, songwriter, multi-instrumentalist, and actor Philip David Charles "Phil" Collins a happy birthday today (born 30 January 1951). He gained fame as both drummer and lead vocalist for the rock group Genesis, and he gained...
  17. MIXOLOGIST

    Kenya nao waguswa, wamtakia Rais Samia heri ya siku ya kuzaliwa

  18. Msanii

    Happy Birthday Depal

    Ninaye rafiki hapa jamvini ambaye sijawahi kuonana naye wala kusikia sauti yake lakini tunawasiliana kupitia PM. Ninamtakia heri ya kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa. Naamini kwa wema wa Mungu ipo siku ataachia namba niweze kumuendea hewani. Happy Birthday Depal , ishi maisha marefu yenye...
  19. D

    Happy Birthday fundi wa mpira, Luka Modric!

  20. Checnoris

    Happy birthday Bukayo Ayoyinka T. M. Saka

    Hongera Sana Bukayo Ayoyinka T. M. Saka Kwa kuongeza Mwaka. Lkn nakushauri uhane timu yako Ina gundu. Unapoteza Muda hapo anfield. Njoo old Trafford. Najua hujui kiswahili ila IPO mishabiki yako itakufikishia ujumbe. Once again happy birthday bro
Back
Top Bottom