Ni jambo la kumshukuru Mungu sana kwa nafasi hii ya upendeleo..Sifa,Shukrani na Utukufu ninakupa wewe uketie mahali Patakatifu..Amen
Happy birthday 🎈🎊🎉🎁🎂 to me kwa mara nyingine tena.
Happy birthday y’all team Gemini 🥂🥂🧚♀️🧚♀️
Chakorii
Hello guys
Nawashukuru wanajf wote walio pamoja nami katika lolote liwe zuri liwe baya Mungu awabariki wapendwa. Pia, nawale wote walioikomaza akili yangu positively or negatively shukrani sana.
Bila kuwasahau wafukua makaburi seriously huwa mnanihahahaha na kuniremind sometimes. Sambamba na...
Hello bestito Chachu Ombara hongera kwa kumbukizi ya kuzaliwa kwako leo.
Nimekumiso sana nakutakia heri na fanaka kwenye kufurahia siku hii muhimu kwako kwani ni ya kipekee inakuongezea miaka kadhaaa.
Hebu wadau mtakieni heri na fanaka ya kumbukizi ya kuzaliwa kwake.
Enjoy your day best
Miaka ya zamani kidogo wanamuziki wa Hip Hop walionekana wahuni ambao zaidi ya kuimba na kuvuta bangi , hawakuonekana kama wanaweza kuongoza hata familia .
Lakini wewe Sugu , Jongwe ambaye pia unaitwa RAIS WA MBEYA , ulifutilia mbali mawazo hayo ya kizamani na kuonyesha mfano uliotukuka kwa...
On this valentine day I wish a happy birthday to the voice of TP OK Jazz (1973-1993). Josky went through Dr Nico's African Fiesta Sukisa and Orchestre Continental from where he joined TP OK JAZZ .
His voice is to be herd on most of the bands songs from Kebana to Bilonda. He then formed...
Ni miaka 44 ya kuwaletea maendeleo wananchi wa Tanzania.
Hongereni kwa uvumilivu wa kuruhusu uwepo wa vyama vya upinzani japokuwa ni 20% tu ya wananchi ndio walivihitaji.
Hongereni kwa kutuletea elimu bila malipo
Hongereni kwa miundombinu iliyotukuka
Maendeleo hayana vyama!
Sina zaidi ya salaam maana naona ata uvivu kuandika, nasema haiwezekani
Leo nipo nimelala zangu kitandani mara naskia Mwaaaaa nakurupuka ni nini nakutana na kitu maji yamejaa kitandani sio godolo sio shuka vyote chapa chap, nauliza kulikoni eti siku yangu ya kuzaliwa,
Tena angalau wangechukua...
Wimbo wa kiingeleza wa kutakiana kheri ya siku ya kuzaliwa hivi umeshindikana kuutafasiri?
Mbona tunazidi kuwatukuza hawa mabeberu....siamini kama lugha yetu pendwa bado I maskini wa maneno...
Tutukuze utamaduni wetu watanganyika.!!
Namshukuru sana MUNGU aliye juu kwa kunipa uzima na mpaka sasa hivi ninaandika.
Bila yeye hakika nisingeweza ,naomba anitimizie zaidi ya yale niliyomuomba japo apangalo huwezi pinga.
Nami nakukaribisha 2021 kwa hasira zaidi kwani nina malengo na maisha yangu ..mke wangu na watoto wangu wawili...
Habari ya asubuhi JF Family.
Mnaendeleaje leo ninafuraha sana jmn kha!sio kwamba nimeongeza mwaka mpya tu..hapana ni kwa sababu nimeongeza mwaka mwingine nikiwa na afya njema na uzima pia.🙏Mungu kwa hii nafasi ya pekee sana kwangu.
Ndani ya uzima na afya, utaweza kwenda popote,kufanya...
Si nilisahau bestito kumbe Leo ndo kumbukumbu ya kuzaliwa kwako katoto kachanga so nilikumiss sana acha nikutakie hero na fanaka ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwako wadau na wapenzi na marafiki za Chachu Ombara mtakieni heri Mr Wangu Chachu yaani atashangaa kuona mtoko wake kamkaukia hahahaaaaa...
Leo tarehe 9 May ni siku kubwa ya kuzaliwa mtu anayewezesha uwepo wetu humu. Maxence Melo
Tunapata nafasi ya kufanya yote kwa kuwa amesimama na kutupatia uhuru wa kutoa yetu ya moyoni.
Tunakuombea Mwenyezi Mungu aendelee kukupigania na uzidi kutupigania sisi na Uhuru wetu wa kujieleza...
Miaka 6 ya majaribu mengi katika maisha yetu ya kila siku, Watanzania. ACT Wazalendo tumekuwa upande wa Wananchi muda wote, wakati wote bila kujali ‘Consequences’.
Tumekuwa na Wazanzibari walipoporwa haki yao ya kuchagua Kiongozi wanayemtaka!
Tumekuwa na Wakulima wa Mbaazi, Korosho, Pamba...
Tarehe kama hii yani 08/04/1968 alizaliwa mwanasheria, mwanahabari na mchamuzi nguli Pasco Mayala.
Happy birthday to you Pasco Mayala. Mola akupe maisha marefu yene HERI na BARAKA.
Pamoja na ugeni wa Corona nchini Tanzania, lakini hatutaweza kuacha kuwakumbuka na kuwatakia heri ya maisha yao Mashujaa wachache wa Taifa hili, Akiwemo Mh Halima Mdee, ambaye uwepo wake nchini Tanzania ni Makusudi maalum ya Mwenyezi Mungu.
Kwa sababu ya uthubutu wake wa kuwatetea wengine na...
Namtakia kila la kheri mwenyekiti wa CCM Dr Magufuli
Nawatakia kila la kheri makamu mwenyekiti mzee Mangula, Katibu mkuu Dr Bashiru na sekretarieti yote
Namtakia kila la kheri kada mkongwe na asiyechoka Mzee Mgaya
Nawatakia kila la kheri wanaccm wote
Mwisho lakini siyo kwa umuhimu nawatakia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.