happy birthday

  1. OllaChuga Oc

    Happy birthday Mwamba Ollachuga Oc.🤣🤣

    Aise Kama utani vile nakuwa faza kinoma. Siku Kama ya leo miaka 28 iliyopita mwamba, jemedari, shujaa, mchizi, msela, Askari, kamanda nilizaliwa hahaha aise Nina mbwe mbwe kinyama 😂😂 Shabiki nguli wa Chelsea na Mtiba Shugwa 🤣🤣🤣. Napenda Sana utani na masikhara dah ..Ila ground nipo tofauti...
  2. amadala

    Happy Birthday Amadala

    Hello floor no. 31 Tarehe kama ya Leo Amadala aliivuta pumzi ya Duniani kwa mara ya kwanza. Nashukuru Mungu na wazazi wangu kwa kunifikisha hapa nilipo. Asante Mungu kwa ajili ya Kila kitu katika maisha yangu. HAPPY BIRTHDAY TO ME🎂🍭 Nimeona nijipost maana walionikumbuka Leo ni HALOTEL peke yao
  3. Da'Vinci

    Happy birthday to me Vincii

    Hey y'all... Inachukua muda gani mpaka mtu uanze kupostiwa thread za happy birthday humu au ku🙈🙈😅😅. Anyway Namshukuru Mungu kwa rehema zake leo nimtimiza miaka 30. It was a long journey Kwakweli.
  4. ladyfurahia

    Happy birthday to me

    Habarini ni jambo la kumshukuru Mungu muumba mbingu na nchi kwa nafasi hii ya upendeleo kwangu kunitoa duniani tarehe kama yale nakumbuka nilivyotokea na amenipa afya tele na kunilinda na mabaya yote ingawaje safari kuna vikwazo vingi ila muumba Mbingu na Nchi amenivusha nafurahia kufikia siku...
  5. ladyfurahia

    Happy Birthday my dear Chachu Ombara

    AISEE HII KALI YAANI KUSAHAU GANI HUKU AU NDO NIMEUPIGA MWINGI Si nilisahau bestito kumbe Leo ndo kumbukumbu ya kuzaliwa kwako katoto kachanga acha nikutakie hero na fanaka ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwako MY DEAR wa kumoyo Basi wadau na wapenzi na marafiki za Chachu Ombara mtakieni heri Mr...
  6. M

    Happy birthday Ruge Mtahaba

    Heri ya siku ya kuzaliwa mwamba aka Ruge Mutahaba.May he continue to rest in peace . Pengo lako halitozibika kamwe. Tasnia imepoteza .
  7. SYLLOGIST!

    Happy Birthday, Mr (Almost President)Lt General Muhozi

    Luteni Jenerali Muhozi asherekea siku yake ya kuzaliwa kwa nderemo. Kianzio cha taarifa hii kinapatikana hapa Happy Birthday, Mr(almost) President Muhozi Wakati wa sherehe yake Lt. Jenerali alielezea kuwa vijana waliotelekezwa wawezeshwe na yuko tayari kulifanyia kazi suala hilo. Bofya chini...
  8. pingli-nywee

    Happy Anniversary (au ukipenda, happy birthday) kwa mahusiano ya Kenya-Tanzania

    Siamini kwamba mwaka mmoja umepita, bila ya hasira, visasi, mivutano, malumbano, majibizano na 'makasiriko', kati ya nchi mbili hizi za Kenya na Tanzania. Sio baada ya yote tuliyoyashuhudia, kwa karibia miaka sita. Yaani tangia mwezi wa nne hivi mwaka uliopita mambo yaligeuka ghafla, yakawa...
  9. GENTAMYCINE

    Happy Birthday to me

    Asante Mwenyezi Mungu, Asante Wazazi wangu, Asante Walimu, Wakufunzi na Wahadhiri wangu, Asante wale Wote mlionilea na Kunijenga Kimaadili na Kinidhamu, Asante wote ambao mlikuwa na mnaendelea kuwa Wema Kwangu kwa hali na mali, Asante Ndugu, Jamaa na Marafiki pamoja na wale Maadui zangu tukuka...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Happy birthday Taikon

    Kwema Wakuu! Ijumaa Kama ya Leo, Tarehe Kama ya Leo, mwezi Kama WA leo, Taikon niliwasili Duniani Alfajiri kabla ya jua kuchomoza, nikitokea Nyota ya Tibeli yenye mbawa Mbili irukayo tangu ulimwengu huu mpaka mwingine. Inatarajiwa nitaondoka siku kama ya Leo lakini haifahamiki ni mwezi gani...
  11. Jemima Mrembo

    Happy birthday kwako mwana JF, Bujibuji na wote mliozaliwa leo

    Bujibuji najua huwa hupendi personal life iwe exposed, lakini kwa umuhimu wako hapa Jukwaani, niona nikutakie heri wee na Wana JF wote mnaoadhimisha siku yenu ya kuzaliwa leo.
  12. Baraka Mina

    Happy Birthday Rais Samia! Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu

    Mnamo tarehe 27 Januari 1960 Rais wa Awamu ya Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan alizaliwa huko Makundichi Zanzibar. Leo anatimiza umri wa miaka 62. Ni Rais wa kwanza mwanamke nchini kwetu na mfano wa kuigwa kwa wasichana, wanawake na watu wa...
  13. P

    Happy birthday Tundu Lissu

    Heri ya kuzaliwa kwako Mh. Tundu Antipas Lissu. (Kawimbo) Happy Birthday to youuu, Happy Birthday to youuu Happy Birthday Deat Lissuuu, Happy Birthday to youuuuuuuuuu! Unapoanza mwaka wako wa 54 Mwenyezi Mungu akujalie afya njema na maisha marefu. You are the HERO! Ule mkono wa Mungu...
  14. Poker

    Happy birthday baba Raila Odinga

    Mataga mjifunze kupitia siasa za kenya!
  15. Stroke

    Happy Birthday to Me

    Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa. Ni mwaka mwingine tena wa Bwana. Sifa na utukufu ni kwa Mungu muumba wa mbingu na nchi.
  16. J

    Happy Birthday Dkt. Hussein Mwinyi

    === Kila lenye heri Mzalendo wa kweli wa Taifa hili Rais Dkt Hussein Ally Mwinyi. Mungu akupe miaka mingi zaidi ya baraka na furaha ili uwatumikie zaidi na zaidi masikini wa Taifa hili wa Visiwani na bara,
  17. KENZY

    Happy birthday my lovie!

    Kwako nyonga mkalia ini,mwenye mapenzi yasiyo kifani! Usoni yanijia sura yako nzuri yenye tabasamu la mtoto mchanga!,Naam hakika umezaliwa wa huba!. Ningependa nikutakie heri ya siku yako yakuzaliwa nikufunike kwa namba yako kumi na moja katika mwezi huu wa kumi na moja na mwaka huu wa...
  18. BAK

    Happy Birthday kwako Profesa Emeritiusi Muadhama Askofu Mkuu Dkt. Desmond Mpilo Tutu

    HUYU NDIYE ASKOFU MKUU DESMOND TUTU Happy Birthday kwako Profesa Emeritiusi Muadhama Askofu Mkuu Dkt. Desmond Mpilo Tutu, Askofu Mkuu mstaafu wa Capetown, Kanisa Anglikana Afrika Kusini na Katibu Mkuu mstaafu wa Jumuiya ya Makanisa ya Afrika Kusini. Kupitia sauti yako dunia ilielewa uovu na...
  19. M

    Heri ya siku ya kuzaliwa kwako Rais Mstaafu Mzee Jakaya Mrisho Kikwete

    Ni tarehe 07.10.1950 ndiyo siku ambayo Mzee Jakaya Kikwete alizaliwa! Mzee Kikwete ukiwana kama binadamu kama wengine huwezi kosa mapungufu,lakini Mimi hua nasema wewe ni mmoja wa wanasiasa waliokomaa! Kipindi cha uongozi wako, kulikuwa na uhuru sana, tofauti kabisa na awamu ya tano, watu...
  20. U

    Happy birthday AuchoJr Kwa Kuongeza Umri

    Leo September 29,2021 Aucho Jr anasherehekea cku aliyozaliwa Ni mtoto wa Mchezaji wa Yanga Aucho
Back
Top Bottom