Shirika la Umeme nchini (TANESCO), limesema kuwa limebaini mapumziko ya miezi ya Disemba na Januari ambayo watu wengi wanakuwa nyumbani katika mapumziko ya mwisho wa mwaka ndio sababu ya umeme kuisha haraka kwa watumiaji wa mita za LUKU.
Kwenye mitandao mbalimbali wananchi wanalalamika kuhusu...
Happy new year beautiful people.
Dear nutritionists mlioko JF naomba mnishauri diet itakayonisaidia kurudisha kilo zangu zilizopotea.
Nimekonda hadi nahisi watu wanahisi nina umeme(God forbid).
NB: Siumwi chochote na kila miezi 6/mwaka huwa nafanya general health check up ikijumlisha ini...
Ofisi ipo Dar es Salaam, Kimara inahitaji wafanyakazi watatu vijana "Very Smart Upstairs"
SIFA ZA WAHITAJIKA
-Elimu Form Four Na Kuendelea
-Ujue Kutumia Computer 100%
-Ujue Kingereza Kusoma Na Kuandika (Kuongea achia Wazungu)
-Usiwe Bonge
-Uwe Mwaminifu
-Ujue Customer Care
OFISI INAJIHUSISHA...
Kuna Mtu Mmoja alinipa maana halisi ya Jasusi na Shughuli zake kisha kwa Kujiamini kabisa akaniambia kama wapo nchini Tanzania basi hawazidi 50 na akaniambia kuwa wengi walioko ni Makachero pekee.
Tutafuteni maana halisi ya neno Jasusi ili hata tukiwa tunalitumia tuwe tunalitumia pale tu...
Habari wakuu, tunahitaji mpiga bass guitar wa kila Jumapili kwenye ibada kanisani, muda kuanzia saa tatu mpaka saa tano na nusu. Masaa mawili na nusu kila Jumapili, kwa bei ya 15000/= kila Jumapili. Tupo Zanzibar, guitar lipo nyuzi tano ni jipya halijatumika hata kidogo.
Atakaeridhia kwa hiyo...
Jamaa mmoja akasema " aah wewe tafuta bodaboda halafu mwambie akupeleke kwenye machaka wanako patikana. Bodaboda ndio wanajua chocho zote."
Hell No! Mimi sizungumzii malaya mkuu. Njia hiyo ya kuwatumia bodaboda inafanya kazi kwa 👇
1. Watu wanao tafuta milupo au malaya wanao jiuza.
2. Ina...
Habarini za asubuhi wapendwa
Naomba kuuliza kwa mwenye uelewa na haya mambo anijuze, hivi inawezekana mzazi kusaidia kuongea na afisa wa utumishi kazini kwa mtoto wake ili mtoto apate uhamisho baada ya mtoto kupitia changamoto kubwa kazini kuhusu mwanamke aliyezaa na ye yani ndugu wa mke wakawa...
Kuna Kipindi fulani cha Redio nakisikiliza sasa nz na nikimsikiliza Kiumakini Mtangazaji na Mmoja wa Mchambuzi haraka sana nagundua ni Nusu Wanaume na Nusu Wao watupu.
Wazazi tukomae mno na Watoto wetu wa Kiume na tukiwagundua tokea Udogoni wana Dalili za Nusu Wanaume na Nusu Wao basi haraka...
Hapo vipi?
Kuna miaka fulani hivi, limwanaume mmoja tahira bora angekuwa mti wa mapera..yaani yeye kuna demu sijui anampenda sijui ndio kulogwa.
Ipo hivi, kuna kuna siku huyo demu anampiga anamuambia toka kwangu sikutaki huyo jamaa kin'gang'anizi hatari, halafu jamaa anakopa mpaka pesa kwa...
Hata kama staandika matarajio yenu, kifupi ni kwamba, Tanzania inahitaji tena na kwa haraka mno mtu mwenye mfanano na hayati JPM,
Tuambizane ukweli, ni nani miongoni mwenu ambaye anaweza kuwa Rais wa nchi, wananchi wake wakalemewa na ukali wa maisha namna hii akaendelea kuwaonea huruma...
Naweza kusema licha ya changamoto nyingi za kiuongozi zilizopo nchi zetu za kiafrika lakini pia wananchi kutokuelewa mambo Kwa uharaka na kutekeleza kunafanya nchi zetu kuchelewa kupiga hatua za kimaendeleo. Nitatoa mifano kadhaa.
1. ujenzi wa vyoo Bora, hapa ni matrilioni...
Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi amewataka Wananchi wanaofanya shughuli za Kibinadamu katika Milima ya Lyamba Lyamfipa kuondoka haraka kwani milima hiyo ndio yenye uoto wa asili na kutunza vyanzo vya maji.
Kauli hiyo ya Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Majid Mwanga imetolewa katika Kata ya...
HABARI NJEMA KWA WANAUME NA WANAWAKE WANAIHITAJI MKE AU MME
Kama wewe ni manadada unatamani kuolewa lakini hakuna WANAUME walio serious kukutongoza ili wakuoe Sasa tatizo Hilo linatatuliwa Kwa HARAKA sana Kwa kutumia dawa unakuwa umepata mchumba WA uhakika WA kukuoa na SIO kuchezewa Kwa...
Ni watu wanaosumbua sana,
Reality sio matapeli ila jinsi wanavyoshawishi unaona kabisa ni biashara inayoshahabiana na biashara za kitapeli.
Akianza tu mwambie naomba nikuulize swali , akikupa ruhusa muulize hivi; BIMA maana yake ni kuwekeza unufaike wakati ambao huenda utakuwa hauko vizuri...
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza mabadiliko ya nauli katika safari za masafa marefu na masafa mafupi baada ya kupitia maoni ya wadau wa usafiri nchini.
Kwa mujibu wa LATRA nauli za safari zisizozidi kilometa 10 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 500 sasa itakuwa 600...
babati
bei
daladala
dhidi
dodoma
haraka
kiuongozi
kuanza
kupitia
kutoka
kwenda
latra
mabasi
marekebisho
mbili
moshi
mpya
nauli
rais
rais samia
samia
serikali
umbali
ustawi
Habari!
Hata Marais Kuna wakati huombana ushauri.
Katika familia yetu tuko 8 kwa mama mmoja na kwa baba jumla tuko 17.
So far, kuna brother wetu wa kwanza kabisa yeye ndiye mwenye pesa kuliko wote . Yeye ni mkulima mkubwa kidogo. Nikimaanisha mvuno mmoja million 20 hakosi. Pia ana kijiwe cha...
Nimeona video clip ikimuonyesha mwenyekiti wa UWT Jokate Mwegelo akiwapongeza wasichana waliofanya mtihani wa kidato cha 4 huku wakiwa wananyonyesha watoto wachanga wa siku 3 hadi 8.
Frankly speaking mimi binafsi naanza kuona hii nchi sasa tunaongozwa na mataahira, infact nikaja kugundua...
Ukifika pale Temboni unataka kumuona Kuhani Mussa Richard, kuna dau kama ilivyo kwa manabii wengine ila jamaa kaongeza kitu kinaitwa FAST TRACK. Hiyo ukitoa haina foleni, ile unamaliza kuhesabu pesa tu huyu hapa anakufanyia maombi.
Ila msisahau kubeba pesa za kununulia vifaa vya kiroho ambayo...
Wakuu nahitaji chumba cha kupanga kiwe Tanga mjini mtaa wowote ule kiwe chumba kimoja ambacho kinajitegemea tafadhari niambie bei yake hapa baada ya hapo nitumie namba PM.
Ova.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.