Habari za wakati huu wapendwa
Naomba msaada wa haraka kuhusu usajili wa jina la biashara BRELA
Nilifanya usajilin wa jina la biashara lakini kuna baadhi ya taarifa zilipelea hivyo kutakiwa kurekebishwa na nyingine kuongezwa lakini nilipoingia kwenye akaunti yangu napata ugumu wa kuendelea...
Ndugu yetu Mwigulu anajifunza kazini na hii wizara inahitaji mtu ambaye anaweza na kujua jinsi ya kutatua matatizo na sio kila siku kubishana na wanasiasa. Matatizo makubwa ni haya ambayo Dr Kimei ndiye anaweza kurekebisha kwa haraka
1. Tatizo la dollar
2. Tatizo la riba kuwa juu
3. Kuanzisha...
1. Serikali isitishe kwa muda matumizi yasiyo ya lazima (anasa) yanayohitaji fedha za kigeni kama vile kununua magari ya kutembelea viongozi na safari za nje ya nchi (zote mpaka za SSH hazina tija).
2. Kampuni za ndani zitakazolipwa kwa shilingi zipewe kipaumbele kwenye miradi ya ujenzi na...
Habari,
Nahitaji Nafaka Hizi Hapa Chini.
Ulezi Msafi (Grade 1) Tone 20
Ufuta Msafi (Grade 1) Tone 20
Weka Namba Za Simu Nikupigie Kama Una Nafaka Husika Na Mmiliki Mwenyewe
Salaam, hongera Kwa Uchapakazi murua. Twende haraka kwenye mada.
Tuliambiwa hata baada ya Bwawa la Mwalimu Nyerere kukamilika, bado Bei za umeme zitaendelea kuwa pale pale.
Naamini wewe ni mmoja wa viongozi ambao hawajavimbiwa.
Sikulazimishi, ila nakushauri, wafukuze wote waliotukera...
Kwa kweli nimeshajionea wanawake wengi kwenye pombe ni ngumu hata kuwa wanywaji, pombe kidogo tu unakuta tayari ishampanda kichwani kakolea.
Wanawake pombe zikipanda ile nguvu ya maamuzi huwa inapungua sana kuzidi hata wanaume ambao angalau wanaweza kujihandle kimtindo.
Na mfano mzuri ni hata...
Ile wikiendi ya sikukuu ya Nane Nane niliendesha gari kutoka Dar hadi Morogoro na kugeuza baada ya siku kadhaa, na Jumamosi ya juzi pia niliendesha kutoka Dar hadi Chalinze, nilichokiona barabarani nyakati zote, wakati wa kwenda na hata wakati wa kurudi, kilinishtua na kunishangaza sana, idadi...
Wakuu niaje sijawahi Omba ushauri Jf bt imebidi coz nahisi naenda kudata.
Sitaki tuchoshane na stori,ndeeeeefu ila tu niambieni nimekosea nn mazee maana ni siku ya 5 sijiskii poa nahisi kama mwili mzima unauma na sijalala for fvckin days.
Ni hivi... Juzi baada ya gemu ya Mnyama na Dodoma...
RRRR za falsafa ya mama Samia ina manufaa makubwa sana, tena sana kwa kila Mtanzania na kwa Tanzania kwa ujumla.
R hizi 4 za mama Samia zina fursa kubwa sana ndani yake, kwetu sote. Nawaasa Watanzania tusikurupuke na tusibaki kutawaliwa kimazowea na wala tusiwe na fikra za mama Samia kuwa...
Wadau, nimesikiliza na kufuatilia swala la kupotea binti Warda Mohamed mwanafunzi wa kidato cha kwanza huko kibaha, hakika inasikitisha jinsi Mamlaka husika yaani polisi na oficin ya mkuu wa wilaya Nick wa pili jinsi ambavyo wamelikalia kimya swala la huyu binti aliepotea tangu Mwezi wa nne...
Ni saa 22:09 nimeangalia juu nimekuta mwezi upo spidi kuelekea chini ukiwa na rangi nyekundu tii.
Upo spidi kiasi cha kushindwa hata kwenda ndani kuchukua simu yangu na kuurekodi.
Mikoa ya nyanda za juu jalibuni kuuangalia muda huu.
Update
Story iko hivi,.
Nimetoka rod kuja...
Kwenye kipindi cha xxl cha leo kilichorushwa moja kwa moja kutoka Konde gang Hq ameoneka IBRA. Ila kusema ukweli anyone kana hana furaha, nuru ipotea, na mawazo mengi yaani kwa ujumla yupo yupo tu, Kijana anaguraji msaada wa haraka kuna mazito anayapitia kwa sasa ila haiwekwi wazi tu
Kifurushi cha 2500 Zamani ilikuwa unakitumia masaa 24 but sasa hivi ukikiweka asubuhi kabla ya saa tisa anatumiwa msg kifurushi kinakaribia kuisha, inafika saa kumi na moja kifurushi kimeisha.
Please ni mtandao gani wanatoa vifurushi vinavyo dumu kwa muda elekezi
Mimi ni mtu ninayependa kufanya tafiti mbalimbali za maisha kila siku japo si jambo nililosomea ila huwa napenda tu kuchunguza mambo mbalimbali ya maisha kwa ujumla wake iwe kupitia watu wengine au mimi mwenyewe, twende kwenye hoja kuu.
Baada ya kupata kazi yangu ya kwanza mwaka 2010 kwenye...
Natoa pongezi zangu za dhati kwa IGP Wambura na Waziri wa Mambo ya ndani Masauni.
Tangazo lako la juzi, limetoa faraja na amani na tunaelewa kuwa vyombo vya usalama vipo kazini. Maana ilikuwa hohehahe, kila mmoja na lake, mitandaoni, hususan sii wa hapa JF, tulikuwa badala ya kupingana kwa hoja...
Ni wapi wanachinja yule mdudu mtamu namaanisha kitimoto kwa maeneo ya Sinza na Kijitonyama?
Msaada wa haraka unahitajika wakuu mdomo unawasha sana weekend hii.
Nawasilisha.
Biashara ya vifaa vya pikipiki, bajaji, na guta: Biashara hii inajihusisha na uuzaji wa spea zinazohusiana na pikipiki, bajaji, na guta. Pia, unaweza kuuza pikipiki, bajaji, na guta kama bidhaa kamili kwa wateja.
Hardware Store: Hii ni biashara ambayo inajihusisha na kuuza vifaa vya ujenzi na...
Dereva wa basi hili namba T331 BMM jana tarehe 04/08/2023 wakati tunaelekea Dodoma alinifanyia overtaking mbaya sana na kidogo anisababishie ajali.
Kani-overtake bila tahadhari ya kutosha ambapo kulikuwa na Semi-trailer inakuja kwa kasi kwenye njia yake ya kurudi Dar, hamadi Uso kwa Uso anakuta...
Leo naandika kwa hasira.
Hivi kweli kama Taifa tunachezea ishu nyeti ya uagizaji wa petrol?
Mtu na Mme wake, wanatufikisha kwenye gharama za kijinga kabisa leo hii..!
Taarifa hii hapa chini kwa uchache:-
Mume wa spika wa Bunge, ndiye Mkurugenzi wa EWURA, mamlaka ya usimamizi wa Nishati...
"Nimepigwa na huyu Bondia Golola kwakuwa nimegundua ni Mganga wa Kienyeji, kwani nilikuwa naona mauzauza tupu ulingoni. Leo mnaniletea Mganga wa Kienyeji ipo siku mtaniletea hata majini ili kupigana nami sitaki jamani." Amesema Bondia Mandonga jana baada ya kupigwa kwa KO na Bondia Fundi Moses...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.