Nchi za kiarabu na mnatakiwa kuwashawishi HAMAS haraka kuwaachia mateka wa kiisraeli ili kuokoa maisha ya wanachi,watumishi wa afya huko Gaza
Kwa makosa ambayo HAMAS ilifanya kujenga mahandaki ya kujifichia na kupanga mashambulizi chini ya hospitali shule,kambi za wakimbizi , na israel kuapa...
Kwenu wana JamiiForums, naomba kujua ni route hipi ya haraka na rahisi kupata daladala za kwenda Bagamoyo, kati ya Chalinze to Bagamoyo au Mlandizi to Bagamoyo. Na nauli ikoje kutoka hayo maeneo kwenda Bagamoyo.
Natanguliza shukran za dhati.
Kitendo cha serikali ya CCM kufumbia macho WAHUNI Jeshini waliojichukulia sheria mkononi na kupiga, kujeruhi na kuua raia wasio na hatia HAKIKUBALIKI asilani.
Tunafahamu ni kwa muda mrefu sasa majeshi yetu yote (Jeshi la wananchi, Polisi,Magereze n.k) yamekuwa yakitumika na serikali hii ya CCM...
Mwaka 2015 nilipata Admission ya kwenda kusoma Masters kwenye ujasiriamali pale UDSM. Nilishapokea maelekezo yote ikabakia kulipa tu ada. Nilivyojicheki nikaona hadi wakati ule nilikuwa nina pesa ya kulipa ada na gharama zingine kwa mwaka mmoja tu. Hata kama Masters sio muda mrefu bado pesa...
Huyu Mwamba hakupaswa kusahaulika Kwa haraka African Union. Huyu alihimiza taifa moja Afrika (badala ya nchi vipande-vipande 53). Tafadhali AU anzisheni Gaddafi day au Gaddafi Scholarship tumkumbe Kamanda wa Afrika.
**Ikiwa mlishindwa kumlinda basi hata kumkumbuka tu kinawashinda nn?
Naomba nikuulize maswali yafuatayo:
1. Kilichosainiwa kwenye HGA kati ya DPW ulikifahamu kabla?
Kama jibu ni ndiyo
2. Kwanini hukurudi kwetu waumini kutueleza yatakayojiri ili kusikia jamii yako ina hoja gani?
3. Kwanini ufanye siri?
Kama jibu ni hapana,
3. Ulienda Ikulu kufanya nini?
4...
Juhudi za kuwafikishia raia wa Palestina misaada kwa haraka zimepata nguvu baada ya washirika wawili muhimu wa Israel kupaza sauti zao kwa pamoja.
Mfalme Abdallah hapo juzi Alkhamis alitua Cairo bila mwaliko akitokea Italia,Uiengereza na Ujerumani kushauriana na viongozi wa nchi hizo kuhusiana...
Ni sehemu kibao kwa watu tusiojuana hudhania mimi ni kijana mdogo wa miaka 25 kumbe ni mtu mzima nina 33 mwakani mapema tu naingia 34.
Mwili, Ngozi na sura bado vinawachanganya wengi kuhitimisha bado ni kijana mdogo ila huanza kuujua utu uzima wangu tukianza kuongea ama wakijua nina familia...
Utafiti mpya uliofanywa na Chuo Kikuu cha Essex na Chuo Kikuu cha Adelaide nchini Australia umebainisha kuwa kukodi nyumba kutoka kwa mtu kibinafsi au kampuni binafsi kunaweza kumsababisha mtu kuzeeka haraka kwa asilimia 100 kulinganisha na wanaomiliki nyumba zao wenyewe.
Njia hili imeonekana...
Kwa mara nyengine viongozi wa Iran wameionya Israel iache unyama wake inaoufanya huko Gaza haraka kabla haijakumbwa na tetemeko la upinzani.
Kauli hiyo imetolewa na Iran huku wanamgambo wa Hezbollah wakisema wameshajirayarisha vya kutosha kupigana na Israel muda utakapokuwa sawa.
Kundi hilo...
Ni Mwendawazimu ( Mentally Retarded ) na Mpumbavu ( dame Fool ) ndiyo ataamini na atathubutu kusema na kujipa Moyo kuwa Tanzania iliyoko Kundi F huko AFCON 2024 nchini Ivory Coast itaweza kufanya vyema mbele ya Wababe na Wazoefu tukuka wa Soka Afrika akina Morocco, Congo DR na Zambia.
Rais...
Huko ulimwenguni wameshatabiri kuwa bei ya mafuta itazidi kupaa hadi 2045, kama hamuelewi maana ya mwendo kasi mtaielewa, ile ya kauli ya piga tajame TZ haifai kutumika tena.
Serikali kama inavyofukua madini basi sasa wakati umefika wa kuivuta juu hazina ya mafuta, na kwa vile kiwanda cha...
Haya Wazee wa Kukopi Taarifa zangu GENTAMYCINE hapa Jamvini JamiiForums akina Ricardo Momo na Edo Kumwembe bila kuusahau Mtandao wa WhatsApp wa hiyo Timu na Wengineo si huwa mnajifanya mna Taarifa? Sasa mbona hii Mbichi kabisa ambayo GENTAMYCINE The King ninayo peke yangu nyie hamna na bado...
Watu wanauliza, kwanini awamu ya JPM ya Kalemani haikuwa na mgao? Jibu hilo hapo anatupa mwamba yeye mwenyewe...
https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==...
Kuwa na Afya njema ni zaidi ya kukosa maumivu mwilini, jeraha au kuvunjika mifupa. Mpira unachezwa na mwili pamoja na akili. Mchezaji che Malone amepata ajali ya gari usiku pale maeneo ya Mikocheni jirani na shule ya FEZA. Hata kama mchezaji wetu huyu kisiki Che Malone hakupata majeraha ya mwili...
Tayari umeshajulikana na Uongozi umeita Wazee Kusoma Kitabu kwa Wachezaji wote Wazawa Washirikina ( wale wale ) wa kutoka Zanzibar waliosoma Kitabu Kipindi kile cha Simba Taliban ( waliokuwa Maadui ) wa Mafanikio ya Klabu ( Simba SC ) na hatimaye akina Ngumi Jiwe Wakafa kwa Ajali Mbaya njiani...
Salaam wakuu, Nime ona ni share Fursa hi ya nafasi za kazi zilizo patikana
👉Wana hitajika wataalamu wawili, wa kushughulikia maswala ya umeme wa viwandani.
👉Pamoja na mtu anae jua lugha ya kichina, kwa ufasaha vizuri.
👉Eneo la kazi ni Tanga na Daresalaam.
👉Ila Kuna vituo vya kuzungukia pia.
Kauli za ney wa mitego ni ngumu kuliko za sifa. Sifa boniventure anaonewa. Aachiwe haraka.
Hivi hiki kiwimbo Cha sifa kina maneno mazito Kama nyimbo ya amkeni ya ney? Kama sio why ney yupo nje na sifa yupo ndani?
Tuachane na Hilo, twende kwa Lissu, Hivi kwa maneno ya lisu ukiyalinganisha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.