haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. Nia ya mheshimiwa Rais ni njema, turekebishe mapungufu yaliyoonekana ili DPW aanze kazi haraka hapo bandarini.

    Nchi hii ina mambo jamani, yaani kuna vita zinaendelea chini chini huko ndani ya chama Mungu amsaidie mama yetu SSH. Nia ya uwekezaji pale bandarini ni njema kabisa, dhamira safi kabisa. Ni uwekezaji unaokwenda kukata mirija wa watoto wa mjini ambao wamekuwa wakinyonya pale kwa raha zao. Sasa...
  2. Ukimuomba pesa rafiki yako anakusaidia kwa haraka, lakini kila akikuomba kwako huna kitu.

    Na mwingine anasaidia sana rafiki zake na jamaa zake wanapopata anguko la uchumi, lakini likija upande wake hawamsaidii, akikwama anakwama kwelikweli. Katika uislamu tumefundishwa kwamba mkopeshaji ''mwenye kukopesha'' anathawabu nyingi kulikoni mwenye kutoa sadaka. Yaani wewe kama 'Umemkopesha...
  3. J

    Nape Nnauye abadilishwe Wizara haraka sana

    Waziri Nape Nnauye anaongoza kampeni za kuua Mamlaka ya serikali Mtandaoni (E-GA). Syndicate inayoongozwa na Nape Nnauye imepanga kuitoa taasisi hii (E-GA) , toka utumishi iliyo chini ya ofisi ya Rais , na kuipeleka Wizara ya TEHAMA. Lengo lililonyuma ya uamuzi huu ni katili sana, Nape...
  4. Kwa uamuzi huu sasa Urusi kumaliza vita kwa haraka

    Kuanzia sasa meli yoyote itakayokatiza bahari nyeusi kuelekea Ukraine itachukuliwa kana kwamba imebeba silaha kwaajili ya Ukraine na inaweza kushambuliwa. Hatua hiyo ya Urusi imekuja siku mbili tu baada ya kujitoa kwenye mkataba wa usafirishaji wa nafaka uliosimamiwa na Umoja wa mataifa pamoja...
  5. Yanga SC mkithubutu tu Kumuacha huyu Mchezaji wenu 'Mchochea Migomo' Klabuni, Simba SC wanamsaini haraka sana

    Na ndiyo Mchezaji ambaye Kisiri kabisa anawindwa na Simba SC Kusajiliwa baada ya Taarifa za ndani ambazo GENTAMYCINE nimehakikishiwa kuwa kutokana na kuwa ni Kinara wa Kuongoza Migomo (na Nduguye anayeondoka) kwa Wachezaji Wenzake Posho na Mishahara ikichelewa na kwamba Yanga SC hawamtaki tena...
  6. Simba SC Haina faida yoyote kwa mo, Simba ndio wanufaika ,namshauri mo aachane haraka na SC,.uko

    Ukipita mitaani ukawakuta mashabiki ,WA Simba na wachambuzi wa soka watakuonyesha kwamba mo dewj anaidhulum Simba au wanataka billion 20, wakati huo huo mo dewj ameendelea kutumia pesa zake kuihudumia timu kwa mambo mbalimbali ambapo tangia ameanza kuifadhili timu mpaka Leo huenda ametumia zaidi...
  7. SoC03 Jinsi ya kupunguza/ kujiondolea stress haraka ili upate amani na furaha

    Na mimi huwa natumia hizi njia kama naona nna mawazo sana. Kwaiyo nawe zinaweza kukusaidia. Stress huanzia pale unapokubali kuendeshwa na mawazo yanayokujia. Bongo zetu ni mashine za mawazo, bila kujali ni mazuri au mabaya. Yenyewe inachapisha tu. Sasa pale ubongo unapochapisha mawazo mabaya...
  8. 5

    Lithuania inaitaka NATO kuipa Kyiv njia kujiunga uanachama wa NATO

    Rais wa Lithuania amewataka viongozi wa NATO kushughulikia shinikizo la Ukraine la kujiunga na muungano wa kijeshi wa NATO katika mkutano wa kilele katika mji mkuu wiki ijayo. Amesema hatua hii ndio njia pekee kwa Rais Putin kusarenda.
  9. M

    Taasisi zote za Serikali zihamie Dodoma

    Wananchi toka mikoa ya pembezoni mwa nchi tunaumia sana kusafuri toka Sumbawanga, Kigoma, Kagera kwenda mpaka Dar es salaam kupata huduma kwenye taasisi za serikali. Tunaomba wahamie haraka Dodoma. Ikulu na wizara zote zimeshahamia Dodoma. Wao wanasubiri nini?
  10. Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

    Nchi ya maelekezo kila mahali, kuna siku mtaleta maafa makubwa sana nchi hii. Ndugu Watanzania, tukiwa katikati ya sakata la DPW, lilibuka sakata la mwanafunzi wa Panda hill school kupotea, kwa jina Ester. Sakata hili lilivuta hisia za wengi kiasi cha waziri mkuu kutoa tamko kuwa anawaagiza...
  11. Hivi ni lazima tunaosafiri kwenda Mkoani Mara tupite Mkoani Mwanza? Hakuna Chocho lingine la kufika haraka?

    ONYO Ukijijua Wewe ni Mhaya, Mnyaturu, Muha, Mnyiramba, Mrangi, Mkerewe na Mnyamwezi tafadhali kaa mbali na huu Uzi kwani nina uhakika kwa Ushamba wenu mkubwa hakuna mnachokijua na wote huwa hamna Ratiba za Kusafiri kutokana na kutokuwa na Pesa kama tulizonazo Watu wa Mkoa wa Mara ( Musoma )...
  12. Insemination Officer anahitajika haraka

    TANGAZO LA KAZI: Position: Insemination Officer QUALIFICATION: *Certificate/Diploma in Animal welfare and/or Laboratory technology or related activity *Recent Graduates are highly recommended * Tanzanian Key skills/knowledge. Experience in Animal Health, Behaviour and welfare Experience in...
  13. NEMC iangazieni kwa Tunza lodge Mwanza haraka (noise pollution)

    Wananchi wa Ilemela Mwanza tuna taabu kubwa, hapa naandika hii thread ni saa sita usiku, hawa Kwa Tunza lodge wanapiga muziki sauti ya juu sana hakuna kulala. Tena leo wamemualika DJ AllyB kila saa "Nasemaje", yaani tunasubiri alfajiri wakimaliza labda ndio tutalala. Huyu Salum mmiliki wa Kwa...
  14. Parcel from UK to Tanzania. Kampuni gani inasafirisha haraka?

    Wasalaam, Title yajieleza. Kampuni gani kusafirisha parcel/package kutoka Uingereza (UK) kuja Tanzania? Kampuni yenye unafuu wa gharama. Apart from kina DHL, sijuwi FEDEX, na mapapa wenzao.
  15. Hivi ni mimi tu naona kama miaka inakimbia sana(nyakati zinapita haraka sana)

    Salamu wakuu, niende moja kwa moja kwenye maada. Hii kitu huwa najiuliza sana. Hivi kwa nini nyakati zinakimbia sana, kwa mfano kutoka mwaka mmoja kwenda mwingine naona unaisha haraka sana, mwezi mmoja kwenda mwingine, vile vile wiki moja kwenda nyingine. Hebu just imagine mtu kama Magufuli...
  16. Spika Tulia, umetuaibisha Wanyakyusa kupitisha Mkataba wa Bandari. Jisahihishe haraka

    Spika wa Bunge Dr Tulia Mwansasu umetuaibisha na kutushushia heshima wanyakyusa wenzako kwa kitendo chako cha kukubali kutumika na kupitisha mkataba wa kitapeli wa bandari. Unatufahamu wanyakyusa hatutaki ujinga kwenye mambo ya msingi, umepewa dhamana kubwa ya kuendesha chombo kikubwa katika...
  17. Dkt. Biteko amtaka Mkandarasi kukamilisha jengo la madini kwa wakati

    Mkandarasi wa Jengo Jipya la Wizara ya Madini Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ametakiwa kuongeza kasi ili kukamilisha jengo hilo kwa wakati. Rai hiyo, imetolewa leo Juni 13, 2023 na Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko wakati wa ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo linaloendelea kujengwa...
  18. Msaada wa haraka unahitajika

    Wakuu habari za mchana
  19. Rais Samia: Sifurahii Mgogoro wa Yanga na Feitoto. Nataka umalizike

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Chakula cha Usiku na Timu ya Yanga kwa ajili ya kuwapongeza kwa hatua waliyofikia ya kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF). Hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ikulu Magogoni jijini Dar...
  20. Jiulize haya ili uweze kufanya maamuzi haraka na ujipunguzie mzigo wa mawazo (stress)

    Maamuzi ndio yanachagua tufanye nini, tufanye nini na maisha yetu, au tufanye nini na wapenzi wetu. Ili kufanya maamuzi kwanza inabidi kujiuliza; ~ Ni kitu gani nataka? ~ Kitanifanya nijisikiaje? ~ Je, kitanisaidia kusonga mbele? ~ Ni kitu gani ningependa kitokee? Ukishajipatia majibu ya hayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…