The National Revival Movement Party (Azerbaijani: Milli Dirçəliş Hərəkatı Partiyası) is a political party in Azerbaijan. The party's leader is Faraj Guliyev, who is well-known politician. At the 2010 parliamentary elections, it won 1 out of 125 seats. In the 2015 parliamentary elections, it won 1 out of 125 seats.
Naona wapiganaji maarufu huwa wanajikita katika mambo ya CCM, mpaka wafuasi tunapata khofu juu yao,inakuwaje hawa viongozi tunaowategemea wanaingilia mambo ya Chama Cha Mashetani (CCM), mpaka wanafikia kusema huyu anafaa huyu hafai,
hivi inakuwaje?
Huku uraiani tunashindwa kuwaelewa viongozi...
Tumeshuhudia kila kitu kupanda bei, ndio kila kitu kasoro vinywaji tu. Tulizoea kelele na ukosoaji mkubwa enzi za JPM na muhanga mkubwa kabisa akiwa ni JK.
Sioni hayo yakiwa kama zamani hii ina maana gani?
Wana JF
Kama ulikuwa hujui watu waliokuwa wanaaminika kwa misimamo dhabiti ni watu wa kigoma, hawa jamaa huko nyuma walikuwa vyuma sana kupinga uthalimu wowote ule uliokuwa unafanywa na serikali, walikuwa wakali wa hoja, waliaminika sana Kupita maelezo, ugonjwa wa usaliti ulioanzishwa na Dr...
Nisiwachoshe.
Sikilizeni alichoimba Ney wa Mitego.
Nafikiri ndio msanii pekee aliyeonyesha kutetea anayoamini kwa muda wote.
Unaweza ongeza lolote kuhusu Ney kama unalo.
USSR na Urusi ya leo wana legacy gani Afrika? Nimeona juzi kati kuwa wakati mambo yamemfika kooni, Patrice Lumumba aliomba msaada USSR kuweka nchi sawa. Nchi ikatulia. Bahati mbaya akapinduliwa na Mobutu akawatimua wa Soviets.
Hapa karibuni, waasi na wababe wa kivita walijaa karibu CAR yote...
Kamanda wa vikosi vya nchi kavu vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa tangu uje utawala wa Kizayuni karibu na mipaka ya nchi, Iran imezidi kuguswa na suala la usalama wa mpaka wake wa kaskazini magharibi na kwa sababu hiyo harakati za utawala huo haramu zinafuatiliwa...
Mke wa Rais wa zamani wa Ivory Coast Bi Simone Gbagbo leo ameshiriki katika uzinduzi wa harakati ya kisiasa, ikiwa ni hatua moja kuelekea kuasisi chama chake cha siasa kwa ajili ya uchaguzi wa rais wa mwaka 2025.
Simone Gbagbo ametilia mkazo mwelekeo wake wa kuwa na "Kodivaa yenye nguvu, iliyo...
Wakuu nimeona nipite na hii sababu naona kama viongozi wetu sometimes wanakua wamekosa kazi za kufanya na kuanza kuyasakama mambo ambayo yapo toka enzi na hata wao pia ni wateja wazuri wa ao watu wanao wahita makahaba.
Kwanza kabisa biashara ya ukahaba kwa jiji la Dar ni biashara ya Muda mrefu...
JE, TUFUMBE MACHO AU TUTAFUTE SULUHU LA MACHINGA?
Labda niseme kwamba mimi ni machinga kwa style yangu ya biashara, na niseme wazi kwamba nimefanya umachinga tangu nikiwa shule ya msingi au niseme kabla sijaanza shule ya msingi.
Maisha yangu, ambayo ni maisha ya machinga wengi, yalikuwa ni...
Habari za majukumu wanaJF
Leo ningependa kutambulisha tovuti zangu
Katika harakati za kusaidia jamii ya kiafrica kujiajiri au kutumia mitandao kujipatia kipato,
niliamua kuanzisha tovuti mbali mbali ili kusaidia jamii ya africa kujiari, lengo langu kubwa ni watu kutumia mitandaon kujipatia...
Siwezi kusema sana na wewe kama mtendaji mkuu wa Chama tikasikia kesi ya Ugaidi kama alivyo kwa mwenyekiti wako. Mwambie yupo ndani wewe hujashtakiwa na mtu. Wakati mnahangaika na mashtaka yake lazima muendelezo suala la madai ya Katiba Mpya.
Naamini kusudi zima la kumkamata Mbowe ni kufifisha...
Wasalaam wana JF
Ushaidi wa mtu kuwa na akili ni pamoja na kujitambua na kujua haki zake. Haki ni kama wembe zinakata pande zote, inapopokonywa kwa mwenzako wewe una uhakika gani utaipata?
Kila nikisoma uzi humu ndani naona wapo watu wanaofurahia kuona wananchi wenzao wakionewa na kunyimwa...
Jina lake kamili ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo na kifupi chake ni CHADEMA kifupi ndani ya ufupi wa jina ni CDM, lakini kuanzia ngazi ya msingi ya hiki chama hakihakisi kabisa jina la chama hichi , sasa maswali yanakuja mengi na kutaka kujua hivi hiki chama ni cha mlengo gani?
Kuna wakati...
Ndugu zangu nimekuwa na nyie hapa kwa zaidi ya miaka 7 sasa.
Kulingana na mwenendo wa siasa za nchi hii naomba niachane kabisa na siasa, ni kujipa presha na usumbufu usio na faida.
Mwanzo nilifikiri tatizo ni Marais wanaotawala hii nchi kumbe tatizo sio Marais wanaotawala hii nchi bali ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.