Naombeni wale wenye uzoefu wanisaidie kwa watu 300. je kila mtu anaweza kunywa bia ngapi? soda ngapi? juice ngapi zinatosha? maji mangapi? champain ngapi? n.k. nikipata kujua kuhusu vinywaji ingependeza zaidi. naomba mnisaidie.
Napenda kupewa Elimu ilikuwaje wakachagua kidole cha kuvishwa Pete ya harusi na siyo vingine, pia kwa asiye na vidole labda kwa ajali au ugonjwa huwaje?
Naomba kuuliza wanaofanya/waliowahi kufanya hii biashara
Camera gani nzuri kufanyia video na photo shooting?
Camera ziwe ngapi katika usiku wa shughuli kwa ufanisi zaidi?
Wanaepukaje changamoto ya kuishiwa battery charge?
Kwa tanzania hususan Mbeya, huwa wanalipwa kiasi gani kwa hii shughuli...
Ama Kweli! Ukistaajabu ya Musa uyataona ya Firauni. Katika hali isiyotarajiwa wageni waalikuwa zaidi ya 150 katika Sherehe ya harusi ya Ephrahim Jonasi na Bisunga Nyabusani ambaye ni mtumishi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Kahama (KUWASA) wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamepigwa...
Ni jamboo moja unaweza hisi la kawaida lakini limetesa ndoa nyingi sana sana mno bila wao kuzijua. Wapo walioshtukia lakini walishapigwa sana hata amani hakuna tena ndoa src yale mabox mliokimbilia kufungua
Zawadi za harusi n jambo jema lakini kuziombea kabla ya kufungua ni bora zaidi. Watu...
Habari
Karibuni wateja kwa huduma za Upambaji kwenye sherehe mbalimbali, pia tunatengeneza keki za sherehe mbalimbali kama ubarikio, harusi, sendoff, nk na vilevile tunatengeneza kadi za harusi, kipaimara, sendoff, kitchen party, bag party, mazishi, kadi za hongera, seasonal cards, Business...
Hebu acheni ujinga wa kutuchangisha michango ya harusi wakati hakutakuwa na sherehe yeyote kwa mwaka mzima huu. Kama kuna ulazima wa sherehe basi hamtazidi watu kumi
Sasa MC, buffet, DJ, Ukumbi, Mapambo, magari ya kukodi, etc kwa ajili ya nini?
Naomba mnipotezee na vikao vyenu vya Whatsapp!
Ninavyoona hii michango ya harusi ni mnyororo wa kutajirisha watu tu kwa kisingizio cha kuwanufaisha/ kusherehesha wanaharusi.
Kiukweli, mnyororo huu itabidi ifike wakati uvunjwe (kama sio kizazi hiki basi kijacho) kwani kamwe haupo kwa maslahi ya wanaharusi kama inavyodhaniwa na wengi, zaidi...
Nakumbuka siku moja nilikosa nguo ya kuvaa kwa harusi na nilialikwa kitambo na mchango nilitoa, siku yenyewe ya harusi ndio nikakumbuka kua kuna shughuli na muda haukua rafiki...basi nikajivalia dishdasha langu hili hapa na nilikua nikiulizwa na kila mtu umenunua wapi ???? Usiwe miongoni mwa hao...
Kitchen Party tuliifanya nyumbani. Tulipika wenyewe tena nilipika chapati mpaka saa 10 ndiyo nikaenda saloon. Chakula kilikuwa pilau, chapati na mchuzi wa kuku, ndizi nyama na kachumbari. Vyote tulipika nyumbani na binamu walihudumia.
Watu walikuwa kama 50 hivi majirani na marafiki...
Nimendika baada ya kuona post kama hii ila ina utofauti kidogo.
Kwa upande wangu hii ilinitokea Mwakajana ambapo kuna dem nilimuweka target nikasema huyu anaweza kuwa mke kwa mvuo wake, maana binafsi ninajali sana hisia zangu na ninajua mizigo inayo niwehusha. Basi huyu alikua anakaba engo...
Kuna hii tabia imezuka siku za hivi karibuni japo ilikuepo pia zamani. Tabia yenyewe ni hii ya maharusi kuingia ukumbini huku wakicheza muziki kwa step ili "kuchangamsha" shughuli.
Kichekesho ni pale unapokuta mmoja wapo wa maharusi hasa mwanaume sio mtu wa muziki na hajui kabisa kucheza...
Ile tabia ya wachumba kufanya sherehe za gharama kubwa wakitegemea michango ya watu imewagharimu uhai wanandoa mara baada ya harusi yao huko Kenya.
Walikodi hoteli ya nyota 5, walikodi helikopta na mbwembwe nyingine nyingi wakiamini michango itawacha wakiwa mamilionea baada ya harusi. Lakini...
Katika msururu wa barua kutoka Afrika, mwandishi Zeinab Mohammed Salih anaangazia swala la ukeketaji kwa mara ya pili nchini Sudan.
Baadhi ya wanawake nchini Sudan Kusini wameamua kufanyiwa ukeketaji mwezi mmoja ama miwili kabla ya harusi yao ili 'kujifanya kuwa mabikra'.
Hili linafanyika hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.