Tunatoa promotion ya kufungia mwaka. Gauni lolote utakalo chagua kukodi gharama itakuwa 100,000/- tu. MAGAUNI yapo mengi na ni mazuri sana. Ofa hii mwisho tarehe 31/12/2019
Wahi Sasa ujipatie gauni lako la HARUSI upendeze siku ya HARUSI yako.
Tupo ukonga banana.Tupigie 0717441943 au 0621940560...
Newly Married Couple Commits Suicide over Wedding Debt in Kisumu
Two families in Kisumu are mourning their two children who together committed suicide 4 days after their beautiful wedding. According to Sources, the newly married couples allegedly killed themselves because of the huge debt they...
Katika hali ya kusikitisha nchini kenya bwana na bibi harusi wameamua kujinyonga ili kuepukana na madeni baada ya harusi yao.
=======
Mtandao wa Kenya today umeripoti kuwa wanandoa wawili Keneth na Mary Odipo waliofunga ndoa ya kifahari huko Kisumu wiki mbili zilizopita wamejiua kutokana na...
Habari zenu wanandugu!!!
Nimekuwa mshenga nasimamia harusi ya ndugu yangu. Jana tulikuwa tunawaza zawadi ya bibi harusi tukataja mambo mengi sana. Kisha nikawaza..
1. kuna haja kweli ya familia ya bibi harusi kumnunulia kila kitu binti yao wakati anaenda kuolewa? yaani kitanda, kabati, vyombo...
Hii Kitu nilitaka kuipost hapa miezi kadhaa iliyopita sema nikasahau, leo kuna jamaa kanipigia anataka nimtumie dolali za mchango wa harusi ya binamu yake ambaye hata simjui wala sijawahi msikia.
Tuendelee:-
Wakuu hii kitu bado bongo ipo tena siku hizi ni project kubwa na za garama ya juu...
Nakodisha mashela MAPYA na yaliyovaliwa kidogo. Bei ya ofa ya kufungia mwaka. Shela lolote utakalochagua bei ni 150,000/ wahi sasa uchague kilichobora upendeze kwenye Harusi yako Kwa bei Chee kabisa.
Napatikana banana ukonga.Simu 0717441943
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.