A. Ya Kuoa / Kuolewa kwa Kuomba ( Kupitisha ) Michango kwa Watu na bado wakija Ukumbuni Bia za Kulazimisha kupewa, Soda za Kuvizia na Chakula cha Kukadiriwa na hapo hapo bado unatakiwa ukawawazawadie wana Ndoa Meza Kuu?
B. Ya Kuoa / Kuolewa kwa Wanandoa Kujichanga Wenyewe kwa kila Kitu huku...
RIP Fredwaaa.
Nalaani kitendo alichafanyiwa mke wangu mpendwa siku ya harussi yetu.
Siku ya harusi mke wangu na mimi tukiwa ukumbini tulishtuka kuona mtu akichukua mic na kuanza kumdai waifu mbele ya wageni waalikwa.
Kwani kulikuwa na shida kusubiri wageni watoe zawadi kisha tulipe deni.
Kwenye Sherehe za harusi na mikusanyiko ya jamii, vibaka sasa wanakwenda kwa Mshehereshaji kutangaza matangazo kama vile "gari yenye usajili namba fulani imezuia njia"
Unapotoka kwenda nje ya gari lako unakuta watu wenye bunduki wakijua kuwa una funguo za gari, wanakuamrisha kuendesha gari nje...
Wakuu wanajukwaa wasalaam,
Msaada, kwa kijana anayeanza maisha na anataka kufunga ndoa ya kikristo bila kutumia gharama kidogo za harusi.
Au afanyeje ili kuepukana na gharama za harusi, je umewahi kushuhudia ndoa/ harusi ya bei rahisi? Je likuwaje?
Je umewahi kuhudhuria ndoa isiyo na harusi...
Ni katika wakati ambao nilikuwa nawaza ni kwa namna gani nitaweza kukusanya michango ya ahadi kutoka kwa marafiki zangu walio mbali au nje ya nchi kwa njia rahisi kwa shughuli hiyo na ndipo nikapata wazo la kutengeneza web App ambayo itakuwa ikifanya management ya weeding and kitchen party...
Nilishangaa mno ile ya mara ya Kwanza kuona Wakazi wa Zanzibar hawakupewa nafasi ya Mwili kwenda Kisiwani Kuagwa ila kwakuwa jana Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan (atokaye Zanzibar) Kaapishwa leo mmeiweka.
Kama kuna Upuuzi mkubwa niliouona katika Ratiba mpya (iliyobadilishwa) ni kuona tarehe...
NI KAWAIDA HAYA KUTOKEA KWENYE "MSIBA" AU KWENYE "HARUSI"
Kwa Mkono wa, Robert Heriel
Harusi na msiba ni matukio muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. Tofauti ya matukio haya mawili ni kuwa tukio moja kila mwanadamu hutamani kulifanya lakini wachache ndio hubahatika kufanya. Tukio hilo ni...
Pledges za michango yote ni milioni 18, harusi ni mwezi huu wa tatu mwishoni, hadi muda huu watu wachache wametoa, cash iliyopo ni milioni moja kasoro. Bwana Harusi kachanganyikiwa kaniachia mipango yote nipange mimi, nafanyaje?
Bwana Harusi aliahidi kutoa milioni tano lakini katoa laki tano...
Maisha ya Wasomali yamejaa mikiki miki mingi tangu kuzaliwa hadi kifo. Ni watu wasioijua amani, na huenda wala hawaipendi.
Wamezaliwa na bunduki na wanakuta nazo. Misibani wanafyatua marisasi na harusini pia.
Wasomali ndio wababe wa Kiafrika, hawa walilishinda Jeshi la Marekani hadi Wamarekani...
Kiwango hicho cha tozo kitaanza kutozwa tarehe 01 Februari, 2019. Kibali hiki ni kwa watakaotaka kupiga muziki kwenye Bar, Pub, au ukumbi wa starehe
Lakini pia kitawahusu wanaotarajia kupiga muziki kwenye send-off, harusi/ndoa, jando na unyago na birthday
Aidha, kibali hiki kitapaswa kukatwa...
Maisha haya ni mafupi sana. Huna haja ya kujinyima raha ya nafsi yako hata kwa dakika moja.
Pwani kuna msemo kuwa "raha jipe mwenyewe". Kuna watu wanadhani wakiingia kwenye hiyo jela iitwayo ndoa watapata raha, wanaishia kupata karaha lkn wanaambiwa wavulilie. Yaani waugulievndani kwa ndani...
Leo ni sherehe ya harusi ya Haji manara, inarushwa live azam tv sinema zetu.naona vigogo kama wote. Namuona le mbebez anakapila kapila macho tu...na wewe uoe babu.
Uzi tayari
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania;
Je, ni sahihi kwa baba wa kambo na baba mzazi (biological father) kwa pamoja kuhudhuria katika sherehe ya harusi ya binti yao? Ni busara ipi itumike?
HIKI KISA NI KIREFU SANA ILA NINAOMBA KUANDIKA KWA...
Chakula kitatolewa tu kwa wazazi na ndugu wa maharusiImage caption: Chakula kitatolewa tu kwa wazazi na ndugu wa maharusi
Idadi ya wageni watakaoruhusiwa kuhudhuria harusi nchini Kenya imepunguzwa hadi kufikia watu 50 pekee kutokana na ongezeko la maambukizi ya virusi vya corona nchini humo...
Nyota wa Nigeria kwenye mtandao aliyehuduria harusi pamoja na wapenzi wake sita wenye ujauzito akosolewa na umma Gazeti la Daily Mail la Uingereza limesema, nyota wa Nigeria kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram anayejulikana kama " Pretty Mike " amehudhuria sherehe moja ya harusi akiambatana...
Hivi karibuni nikiwa mkoa mmoja kaskazini mwa nchi yetu, nilihudhuria sherehe ya harusi, ambayo pamoja na kushangaa na waliojitambulisha ni wenyeji wa mkoa wa kaskazini na siyo mwambao, sherehe nzima nyimbo zilizotawala ni taarabu za kisasa(rusha roho na mipasho) kingine kilichonishangaza ni...
Mkuu wa wilaya ya Wanging'ombe mh Kanoni amepiga marufuku sherehe zote zilizopangwa kufanyika wilayani kwake tarehe 26 na Oktoba kupisha Uchaguzi Mkuu.
Mh Kanoni ametaja sherehe hizo kuwa ni pamoja na harusi na makongamano ili watu wajiandae na matayarisho ya kupiga kura siku ya Jumatano, 28...
Niliwah kushiriki kwenye kamati ya harusi ya mtu Wang wa karibu, ilikua ni Mara ya kwanza kwangu kushiriki ktk kamati ya maandalizi ya harusi nilijifunza Mambo mengi lakin kitu kilichoniacha mdomo wazi ni gharama ya harusi kwa Zama hizi, budget ya harusi ilikua km hivi:
*Mapambo mil 1
*Picha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.