harusi

  1. S

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
  2. M

    Mmejitahidi sana kuipamba na kuinogesha harusi ya leo, ila hata haijafikia 25% ya iliyokuwa Harusi ya Mtoto wa Mzee Rupia

    Wengi wenu hapa JamiiForums bahati mbaya miaka hiyo ya mwishoni ya 90 bado mlikuwa katika Zipu za Baba zenu ila kwa Wakongwe tulikuwepo na mpaka hii leo sijaona bado Harusi ya Kuizidi hiyo. Ilikuwa ni Harusi ya Mtoto wa Mzee Rupia ( Tajiri wa Kihistoria Tanzania ) na Binti yake Mzee Mramba (...
  3. F

    NSSF fao la kujitoa hawalipi wanachama. Ila wanatumia Hela za wanachama wao kwenye harusi ya Nandy na Billnass

    Kweli dunia haipo fair Watu hawana ajira wakienda kudai mafao yao wananyimwa hela hakuna Ila harusi za wasanii zinamwagiwa mahela kibao na NSSF
  4. N

    KANJANJA LA CLOUDS: sema na hili la mrundi usigharamiwe harusi

    Mzee chawa mwenyewe full shobo dundo usizojua hata kuzi balance,zee la kuleta historia za miaka 6 hadi 10 ya new signings za utopolo naku challenge useme hili kuhusu bwana Bigirimana kama utagharamiwa harusi yako na maboss zako hao unaojitahidi kuwafurahisha na somo la historia Bigirimana...
  5. M

    Nashauri Kadi za Harusi za Sasa ziwe na 'Options' zifuatazo.....

    Option #1. Mchango ni Tsh 5,000/= Utakaa tu Ukumbini na ukipiga Miayo ila Kula utakula kwa Babaako au kwa Mkeo. Optioy#2. Mchango ni 15,000/= Ukiwa Ukumbini utapewa Maji Chupa Moja na Bites kadhaa ila wakati wa Kula utaishia tu Kuwashangaa Wenzako. Option #3. Mchango ni Tsh 50,000/= ambapo...
  6. amadala

    Toa neno lolote kuhusu michango ya Harusi

    Hello Wadau!! Naenda Moja kwa Moja kwenye topic. Mimi binafsi naenda kwenye style ya uombaji michango, Jana mishale ya mchana ghafla najikuta nimeungwa kwenye group la kuchangia mchango wa harusi ya classmate wangu ambae sijaongea nae Toka mwaka Jana japo Kila mtu ananamba ya mwenzake, naona...
  7. musicarlito

    Bora kumchangia mtu Mahari au harusi?

    Sio vizuri kuomba omba kwa mambo uliyoyapanga mwenyewe tena na tarehe unaijua ya tukio Ni wajibu kuchangia matatizo kama misiba, magonjwa ajali nk...kwa sababu hakuna mtu anapanga au hujiombea hayo japo yapo kwa kujitakia Lakini kawaida watu husema huwa sheria...tuna desturi ya kuchangia mambo...
  8. Sky Eclat

    Harusi ya Jackie Bouvier na John Kennedy 1953

    Wametumia American measures wanasema shela yake ilikua ya urefu wa yadi 50. Mkononi bibi harusi alivaa bracelet ya almasi iliyokuwa zawadi kutoka kwa John Kennedy
  9. my name is my name

    Nimempelekea kadi ya mwaliko ya harusi X wangu

    Tarehe 30 mwezi wa 7 naoana na mwanaume ambae ni wa ndoto zangu. Kabla ya kukutana na huyu mwanaume wa ndoto zangu hapo nyuma nilikua na uhusiano na kaka mmoja asiejielewa. Wakati tunaachana alinitolea mbovu na miapizo kibao. Asa nataka nimjulishe kua nipo na survive na nimempata mtu sahihi...
  10. MamaSamia2025

    Kufungisha ndoa takatifu huku Bibi Harusi akiwa mjamzito ni kuhalalisha uzinzi

    Nawasalimu katika jina la chama pendwa CCM. Leo nimekuja kitofauti. Leo ninatoa maoni yangu kuhusu mambo ya mapenzi na ndoa. Kabla sijaelezea nataka kila msomaji ajikumbushe ule msemo usemao "fuata maneno yangu sio matendo". Leo nitaongelea kitendo cha madhehebu yetu hasa ya kikristo...
  11. Google Diggers

    Birthday party: Hizi sherehe Huwa zinachangiwa kama ilivyo kwenye masuala ya harusi na send-off????

    Ni kawaida kukuta reservation kwenye mabar, ma pub na maeneo mengi mashuhuri. Hawa wanaokutana as if ni jambo la maana Sana hivi mdg zangu wanachangia au Ndio mambo ya kifahari. Naenda Zang maeneo nakuta Kuna reservation imewekwa🧐💅💅baada ya Muda naona mabox ya keki yakiingia. Ukiuliza ni nn eti...
  12. Teko Modise

    Una lipi la kumshauri bwana harusi?

    Weka ushauri wako kwa bwana harusi
  13. K

    Wife kanuna baada ya kuona hizi picha zangu nikicheza kwenye harusi ya jamaa yangu

    Last week jamaa angu alikua anaoa,so kwenye sherehe nikachapa tungi sana then nikakamatia mtoto flani wa kike nikaruka nae debe sana, kumbe mle ukumbini wife alikua na makachero wake ambao walimtumia picha za kila tukio nililofanya. So baada ya kuona picha zangu nimekamatia kiuno cha mtoto wa...
  14. Mia saba

    Swali kwa wadada, hivi kinachowaliza siku za harusi huwa ni nini?

    Unakuta haamini Kama kaolewa? Anajua anaenda kulala uchi (popo) kila usiku? Anajua msela atabandua papuchi Bila malipo? Au Huwa nimaigizo? Maana nimeshindwa kuelewa machozi yanahusikaje pale
  15. Mia saba

    Nini kinakufanya usiisahau siku ya harusi yako?

    Vijana wengi tunaogopa kuingia kwenye ishu za ndoa rasmi Ila tunda tunapata adi Basi. Sababu gharama za harusiNni changamoto mno. Je, wewe uliye ingia katika ndoa kwa kufanya harusi Ni Jambo gani linakufanya huitamani hiyo siku kila siku Bila kuisahau.
  16. Robert Heriel Mtibeli

    "Usijenge Familia kukiwa kumekuchwa" Vijana Zaeni na oeni mungali mna nguvu

    Wakuu Kwema! Leo sina mengi! Ujumbe huu unawahusu zaidi wasomi hasa kutoka dini ya kikristo. Vijana acheni kusubiri Embe kwenye Mnazi! Msichelewe, ikiwa Una mwenza wako, na una miaka 27-30 amueni kuzaa ikiwa mnaona mambo Yenu bado hayajakaa Sawa. Msisubiri embe dodo kwenye mnazi. Safari ya...
  17. Sky Eclat

    Dkt. Ndyanao Balisidia aliyeimbiwa mwimbo wa harusi na kaka yake Patrick Balisidia miaka ya 70

    Mwanamuziki wa zamani Patrick Balisidia alizaliwa mwaka 1946, mwaka uliofuata yaani 1947 alizaliwa dada yake aliyepewa jina la Ndyanao. Patrick na Ndyanao walielewana sana na walikua kama mapacha. Siku ya harusi ya Ndyanao, kaka yake Patrick alimuimbia mwimbo wa harusi ambao wengi mnaufahamu...
  18. U

    Harusi ya Mtoto wa Kike wa Rais Museveni aliyeolewa Mtoto wa Jenerali Tumukunde

    Photos attached
  19. JanguKamaJangu

    Harusi ya Nandy na Billnas ni Juni 25, 2022

    Kapo pendwa kunako Bongo Fleva, Billnass au Nenga na Nandy ‘The African Princess’ wanatarajia kufunga ndoa Juni 25, mwaka huu. Hiyo ni kwa mujibu wa Baba wa Nandy, Charles Mfinanga alipokuwa akizungumza mara baada ya hapo jana Billnass kumvisha Nandy pete ya uchumba. Utakumbuka hiyo ni mara ya...
  20. JanguKamaJangu

    Bi Harusi ashindwa kutembea, aona shimo na joka kubwa, ex wake adaiwa kumroga

    Stori ya kushangaza nchini Rwanda imetokea, Bi harusi aliyetambulika kwa jina la Nadine anadaiwa kurogwa na Ex wake ambaye walipendana kwa muda mrefu na ndiye aliyemsomesha. Inaelezwa kuwa jamaa alikuwa akimgharamia kila mahitaji yake yote, alimnunulia gari, viwanja ila mwishowe Nadine...
Back
Top Bottom