harusi

  1. F

    Harusi ya Majizzo, Millard Ayo: Vijana matajiri hawapendi kuchezea pesa zao wala kusumbua watu na michango

    Habari wadau, Nimeungwa group la harusi ghafla la kijana mfanyakazi mwenzangu anadai michango ya harusi yake. Nimesoma Bajeti ya harusi yake ni milioni 25. Nikawaza huyu jamaa ni maskini mwenzangu. Anategema ajira na mshahara ni wa kawaida tu. Why ana akili ndogo namna hii ya kuchezea pesa...
  2. H

    Nimeamua Kumshtaki Mahakamani Mke Wangu Siku 5 Baada ya Harusi

    Habari za zenu wana MMU, Leo asubuhi nilileta bandiko, kwa mke wangu alinidanganya yeye ni bikra, lakini baada ya ndoa nilikuta hana bikra ni shimo lenye dilatation ya 4cm yani kama ni mjamzito aliyeko kwenye labor unafungua partograph kabisa! Nimeamua jumatatu ya wiki ijayo naende kumfungulia...
  3. Mchochezi

    Mwaka 1991 katika harusi ya Freeman Mbowe

    Katika pitapita zangu nimekutana na hii picha ya harusi ya Freeman Mbowe mwaka 1991. Utaona ni kwa namna gani Mbowe alikuwa katika hadhi gani kwa miaka hiyo. Hii picha inafikirisha sana. Freeman Mbowe nakupa maua yako ungali uhai ili uyanuse.
  4. Yofav

    Ni kiasi gani kinapaswa kuchangiwa kama mchango wa harusi?

    Habari wakuu, ni katika hali ya kunishangaza leo nimepokea kadi ya mchango kutoka kwa jirani yangu ambae anatarajia kufunga ndoa. Nimepokea kadi hii na shughuli yao inaonekana inafanyika mwezi ujao, Hii ni kadi ya kwanza napokea ya kuhusu haya masuala toka nizaliwe 23years ago maana nilizoea...
  5. R

    Ulishawahi kupoteza marafiki sababu ulishindwa kutoa mchango wa harusi?

    Imekuwa kawaida mtu anapokuwa anatarajia kuoa/kuolewa kutoa kadi za michango kwa ndugu, jamaa na marafiki ili wakamilishe jambo lao. Kimbebe kinakuja pale umepewa kadi halafu kutokana na changamoto mbalimbali ukashindwa kutoa mchango huo. Jamaa huwa hawaelewi na ndio inaweza kuwa chanzo cha...
  6. GoldDhahabu

    Kama Tulivyochangishana Michango ya Sherehe, Sasa Tuanze Kuchangishana Michango ya Maendeleo

    Katika maeneo ambayo Watanzania wameonesha ushirikiano wa hali ya juu mno, ni kwenye masuala ya sherehe. Wengi wanaoshirikishwa wamekuwa wakitoa ushirikiano murua kuanzia kwenye uuandaji kamati, kuchangisha michango na hata kula na kunywa. Miongoni mwa shughuli za sherehe ambazo zimekuwa...
  7. J

    Mama wa bibi harusi aona aibu: kwenye harusi wa binti yake. Aona aibu mbele ya wageni

    Habari wiki iliyopita nilikuwa kwenye harusi moja hivi nilialikwa. Sasa nda wa ukumbini na maharusi kuingia. Sasa katika utambulisho binti aliwatambulisha wazazi wake wa kumzaa na BABA mlezi. Iki hivi binti anawazazi wake kwenye kabisa wa kumzaa ila hawakuweza kuishi pamoja Baba alioa kwingine...
  8. Bill

    Sendoff ya Yanga imefanyika kwa Mkapa, Harusi na kuvaa Madela/Medali itakuwa Algeria Jumamosi

    Yanga, amemaliza sherehe ya kuaga Mashindano ya Losers, CAF confederation CUP. Wageni na washuhudiaji karibu milioni 60 walihudhuria sherehe ya sendoff au kuagwa kwa Yanga Mashindano ya Losers. Harusi ni Jumamosi, Yanga wanaenda tayari wamejiandaa kuvalishwa madela au medali. Hili ni tukio la...
  9. Magari ya kukodisha

    Njoo kwetu ukodishe magari ya harusi msiba, study tour, sherehe na bata mbalimbali

    Ukurasa huu ni maalumu kwa ajili ya magari ya kukodisha ya aina mbalimbali kadri yanavyotufikia kwenye ofisi yetu ya ubungo Kwasasa huduma zetu za kiofisi zinapatikana Dar es salaam Dodoma Mwanza Arusha Kilimanjaro Mbeya Uliza maswali yako yanayohusu magari ya kukodisha,trips,gharama,ushauri wa...
  10. Moronight walker

    USHAURI: Nani asimame kati ya Baba mlezi na Baba mzazi kwenye send off na harusi!!

    Habari wana jf kuna ishu inachanganya huku, kuna harusi miezi 3 ijayo sasa huyu binti anayeolewa anababa yake mzazi ambaye Hakushi naye alikuwa anaishi na mama yake wa mzazi wa kumzaaa na baba wa kufikia, Sasa kwenye malezi Baba wa kufikia ndo alikuwa ana muhudumia kila kitu na alikuwa anaishi...
  11. Donnie Charlie

    Bwana harusi afariki dunia akifungua zawadi iliyotegwa bomu

    Bwana harusi Adlyyne Wangusi amefariki dunia baada ya kufungua zawadi ambayo ilikuwa imetegwa bomu na mume mwenza. Bomu hilo lilidaiwa kutegwa na mpenzi wa zamani wa bibi harusi, ambaye alikuwa na hasira kutokana na mwanamke huyo kuolewa na mwanamume mwingine. Taarifa ya Jeshi la Polisi...
  12. benzemah

    Sherehe ya harusi yavunjika baada ya kugundulika bwana harusi ameoa na ana watoto saba

    ‘Hivi ni vijimambo’ unaweza ukaita hivyo, baada ya sintofahamu kutanda katikati ya sherehe ya harusi kutokana na vurugu iliyosababishwa na taarifa iliyomfikia bi harusi kuwa anayefunga nae ndoa ana familia yenye watoto saba. Sherehe hiyo iliyokuwa ikifanyika siku ya Jumapili katika jimbo la Edo...
  13. Achapombe cha pombe

    Nimejiondoa kwenye makundi sogozi ya harusi

    Jumla ya magroup sita yananitaka nitoe si chini ya laki laki. Nimeleft. Sitaki ujinga. Hizi ndoa za maghalama hizi ni upuuzi mtupu. Watu kuoana muoane wenyewe mizigo mtubeneshe sisii, shenzi. Mimi natoaga tu mwanaharamu apite mara zote kulipishana mahela ni ujuha. Kwani mnashindwa nini...
  14. BARD AI

    Bwana Harusi alivyofariki kwa ugonjwa wa ajabu

    Mmoja kati ya watu watano waliofariki dunia kwa ugonjwa wa ajabu katika Kata ya Maruku na Kanyangereko Bukoba vijijini, mkoani Kagera alikuwa bwana harusi mtarajiwa. Watu hao waliofariki dunia ni kati ya saba walioripotiwa kuwa na ugonjwa huo huku wakiwa na dalili za homa, kutapika, kutokwa...
  15. MoseKing

    Ni shamra shamra za harusi ya binti wa Samia weekend hii

    NI bashasha kwa waalikwa.
  16. Craig

    Jinsi ya kupata mwanamke unayemtaka kwenye ukumbi wa harusi

    Moja kwa moja kwenye mada kichwa Cha habari kime jitosheleza. Kwa uzoefu wangu hakuna mahali mwanamke anapatikana kirahisi Kama harusini na msibani.. ukumbini unaweza pata pisi Kali kwa ucheshi tu. Hakikisha umetupia code classic koti na shati na ikiwezekana tupia miwani uwe na muonekano wa...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mpira wa miguu ni mchezo unaokutanisha msiba na harusi kwenye uwanja mmoja

  18. B

    MSAADA: Michakato na hatua za ndoa mpaka kukamilika

    Habari ya Uzima wanajamvi. Natumai wengi wetu, Mungu wetu wa Rehema ametuvusha Salama kufika mwaka 2023. Jambo la Kumshukuru sana Mungu. Nijikite sasa kwenye Mada yetu husika wanajamvi. Kama ilivyoada kila mwanadamu huwa ana malengo yake husika ndani ya Mwaka mzima ili kujiweka juu zaidi katika...
  19. Analogia Malenga

    Mwanza: Bwana harusi ajinyonga akisubiriwa ukumbini

    Sherehe ya harusi kati ya Swadiku Abas (50) na mke wake, Elieth Rwegashora (40) ambao ni wakazi wa Mtaa wa Zenze eneo lililopo Kiseke wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, iligeuka msiba baada ya bwana harusi kujinyonga muda mfupi kabla ya sherehe kuanza. Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi...
  20. Justdr

    Kwanini wanawake wanapenda sana harusi kuliko ndoa yenyewe!

    Wanawake emu njooni hapa mtuambie kipi kinawafanya mpende sana shughuli/harusi kuliko ndoa yenyewe? Binafsi kuna wanawake kama 5 nishawashirikisha hili jambo, na nilikuwa nikiwaambia hivi langu "nataka nikuoe tufunge ndoa ila kusiwe na harusi hata ikiwepo iwe ya kifamilia tu, watu wasiwepo...
Back
Top Bottom