harusi

  1. mdukuzi

    Kijana aliyetelekezwa na mke siku ya harusi atunukiwa tuzo ya mwanaume bora wa mwaka na Waziri Gwajima

    Yule mwamba aliyenyimwa mke siku ya harusi kwa kisingizio cha kwenda kwenye send off akiwa chakari,amepewa tuzo. Amepewa tuzo ya mwanaume bora wa mwaka na waziri Doroth Gwajima Kwa kweli jamaa anastahiki tuzo kweli maana mimi mwanamke anikatae siku ya harusi nyumba yao ningeichoma moto...
  2. Cute Wife

    Rais Mwinyi: Anayehoji pesa zote za harusi ya mwanangu nimepata wapi aoe na yeye tutamchangia

    Wakuu, Rais Mwinyi amjibu aliyehoji kapata wapi hela za kufanya harusi ya kifahali hivyo. Ila hili nalo lilikuwa jambo la kuaddress kwenye Mkutano wa CCM, au ndio kiki apate kuongelewa kipindi hiki tunapoeleka kwenye uchaguzi mkuu 2025...
  3. T

    Hivi inakuaje kwenye sherehe za harusi Kwa wazazi waliotengana?

    Kwanza nitoe pongezi ziende Kwa wazazi wote pastor John shusho na Christina shusho Katika sherehe ya kumuaga binti Yao wa kwanza .. swali hivi wazazi wakitengana nani ana haki ya kusimamia shughuli za kumuoza Binti na je vipi kuhusu kuwapa nafasi ndugu wa pande zote... Mimi naona Kuna haha ya...
  4. U

    Harusi na Michango yake chimbuko jipya la mitaji ya biashara Kwa vijana

    Nimeona niongelee hili jambo, kwani linatrend sana, tatizo la ajira limekuwa kubwa sana, kiasi kwamba vijana wengi wameshindwa kuajiriwa au kujiajiri Kwa ukosefu wa mitaji. Nafurahi pia Kusema kuwa ,utaratibu uliopo Tanzania wa kuchangiana Kila Kijana anapotaka kuoa imekuwa ni mkombilozi Kwa...
  5. Roca fella

    Harusi yageuka msiba baada ya fumanizi

    Bwana harusi abdoulatif nchini Cameroon katika Jimbo la bafoussam akiwa chini ya ulinzi wa polisi baada ya kuleta maafa kwa kumjeruhi na kumuua kijana Ernest ademilo kwa kumfania akiwa na mama yake mzazi abdoulatif. Aidha mtuhumiwa huyo anadaiwa kufanya hayo ikiwa ni siku yake ya harusi...
  6. mdukuzi

    Hii ndoa itadumu kweli?Baba wa bibi harusi amruhusu mkwe wake kurudi saa nane usiku mbele ya waalikwa

    Niliwahi kuleta uzi humu kuwa ukitaka kujua wazee wa ovyo wanaongezeka kwa kasi nenda harusini.. Leo nimeona clip mtandaoni baba anamwambia binti yake kuwa ole wake siku alete kesi kwake kuwa mumewe amerudi saa nane za usiku... ,akaendelea kudai kuwa hiyo ni kawaida sana kwa wanaume, Kichaa...
  7. chinatown

    Je, kuna uhalali na ulazima wa michango ya harusi?

    Embu tujadili na kuangalia umuhimu/ulazima wa hii michango ya harusi .Tunaishi kijamaa ndani ya mifumo ya kipepari,tuna vipato vya kawaida sana hasa kwa ndugu zangu wafanyakazi. Wafanyakazi wanakipato kidogo mno hakiendani na uhalisia wa maisha,na pale anapoishi kijamaa kwa kushiriki hizi...
  8. ndege JOHN

    Hivi nyie kataa ndoa huwa mnamaanisha kutokuishi kabisa na mwanamke au mnamaanisha kutofunga ndoa kisheria (harusi )

    Aisee unajua tunaweza kuwa tunabishana kuhusu kataa ndoa sijui kubali ndoa lakini hatujui maana yake vizuri. Ndo maana Nina swali je mnachomaanisha ni hamtaki kabisa kuishi na mwanamke pika pakua au hamtaki tu kufunga ndoa kisheria. Kama ni kutoingia kisheria hata mimi nitawaunga mkono ila je...
  9. Cute Wife

    Pre GE2025 Makonda: Harusi yoyote itakayofungiwa Arusha Serikali ya mkoa italipia ukumbi

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amesema sherehe ya harusi yoyote itakayokuwa inafanyika Mkoani Arusha na kuhusisha wasiokuwa Wakazi wa Mkoa wa Arusha, Serikali ya Mkoa chini yake itagharamia ukumbi popote ndani ya Mkoa huo ili kufanikisha harusi hiyo. Makonda amesema hayo wakati...
  10. mdukuzi

    Ukihudhuria harusi au sherehe utagundua wazee wa ovyo wanaongezeka kwa kasi nchini

    Ashakum si matusi,nawaheshimu wazee wangu ila tukubali wale wahuni na mabaharia wa miaja ya 90 ndio wazee wa sasa. Kama hujui miaka ya 90 kulikuwa na wimbi la vijana kuzamia nchi za nje kupitia neli,tukiwaita mabaharia,achana na wahuni wa mitaa ya magomeni,manzese,tandale na temeke,wahuni hao...
  11. Half american

    Hii kali

    Picha ni Mwanandoa aliyezaa nje mtoto kisha hakumuoa huyo dada. Mwanamke aliyekua anamuoa alikuwa hajui kama ana mtoto nje. Siku ya harusi wakati wa kutoa zawadi, mwanamama aliweka mtoto kwenye beseni kama zawadi.
  12. Prakatatumba abaabaabaa

    Hivi kwanini tunachangishana michango ya harusi?

    Kwanza vitu vingine kwenye maisha sio lazima ni sifa tu, hakuna utofauti wowote kwenye ndoa either ufanye sherehe au usifanye, lakini kumekua na kero kubwa sana juu ya hii Michango ya harusi, ndoa sio bahati mbaya ni maandalizi ya muda mrefu, unakuta mtu huna mazoea naye ya karibu sana kwa...
  13. M

    Harusi za wenye hela Samatta, Majizo, Lulu, Millard Ayo zipo simple hakuna sherehe. Ila Harusi za vijana hohehahe tunakabana michango

    Habari wadau. Najiuliza kwa nini vijana matajiri wenye hela wanafanya harusi simple zisizo na michango wala sherehe kubwa zisizozidi bajeti hata milioni mbili. Mbwana Samatta alifunga ndoa akiwa anacheza mpira ulaya hakuna sherehe wala nini Majizo mmiliki wa EFM alifunga ndoa na Lulu...
  14. fareed uziel

    Ma boyfriends wa mke wako mtarajiwa wapo kwenye group lako la harusi na wanachanga

    Kama kichwa cha uzi kinavosema. Usasa na utandawazi umewafanya watu kua open sana. Usikute huyo mchumba wako akiwa serious kuolewa na wewe anawaaga ma boyfriends wake kiroho safi na kuwaelezea kua mi ndio naolewa ila urafiki wetu ubaki(kwa akili za wanawake) so sababu na wanaume wa kisasa wapo...
  15. Mjukuu wa kigogo

    Harusi za kidijitali

    Hii ndio harusi iliyotrend sana hii wiki.Kimaadili hali ni tete.
  16. KING MIDAS

    Baada ya kulemewa sana na madeni, sasa uwanja wa Real Madrid ni ukumbi wa harusi

    ⚪⚪ Real Madrid C.F. wameanza kuandaa harusi katika uwanja wao wa Bernabeu kama njia mojawapo ya kukusanya fedha ya kulipa mikopo ya mabilioni ya fedha waliyokopa kwa ajili ya kufadhili ukarabati wa uwanja huo. •Kwa mujibu wa Mundo Deportivo Klabu ya RealMadrid sasa ina deni kubwa zaidi kuliko...
  17. OKW BOBAN SUNZU

    Baada ya mshahara kutoka watu wenye harusi wameanza simu

    Daaah, Inakata stimu kwa kweli. Yaani hata mama sijamrushia muamala. Yaani hata kuhemea bado napotezea ili mshahara upoe kwanza. Yaani hata hela haijampumzika kwenye akaunti. Yaani hata mwenyewe sijajipa pole na tulizo la nafsi. Wenye maharusi tupumzisheni jamani, wekeni bajeti kulingana na...
  18. peno hasegawa

    Ili ufanye harusi au sherehe Moshi lazima ulipe Kodi za Manispaa Tsh. 230,000

    Manispaa ya Moshi chini ya Sheria ndogo za (ada na ushuruj ya Mwaka 2019, Tangazo in Serikali Na. 148 la Tarehe 15/02/2019, imeainisha ada na tozo mbalimbali katika kuendesha sherehe kwenye kumbi na maeneo ya starehe. Mchanganuo wa ada na tozo hizo ni kama ifuatavyo; Tshs. 60,000.00, Kibali...
  19. R

    Je, ni sawa kuchangisha michango ya harusi kabla ya Kupata mchumba?

    Salaam,Shalom!! Ndugu mmoja akapita Kwa jamaa zake katika eneo alilokuwa akifanyia biashara, akawashirikisha kuwa amepata mchumba na ataoa hivi karibuni, hivyo anaomba michango Kutoka Kwa wadau. Jambo Hilo likawa kheri masikioni mwa Rafiki zake. Ndugu huyo, akachangisha michango pesa nyingi...
  20. M

    Kanisa la Kilokole Lavunja ndoa baada ya Bibi harusi kukutwa hana Uke!

    Habari wadau, Mchungaji wa kanisa la kilokole akitoa ushuhuda wa kilichotokea kwenye ndoa ya waumini wake. Bwana harusi na yeye anaeleza kwa urefu alichokutana nacho kwenye usiku wa kwanza wa ndoa yake. Ndoa hiyo ilifungwa katika kanisa la Pentecostal Assemblies of God (PAG) na kuvunjwa...
Back
Top Bottom