Katika miaka ya hivi karibuni, ugonjwa wa "misplaced priorities" umekuwa tatizo sugu miongoni mwa Watanzania. Kwa lugha nyepesi, tunaweza kusema kuwa vipaumbele vya jamii yetu vimepotoka, mara nyingi vikiegemea kwenye matumizi yasiyo ya lazima badala ya kushughulikia changamoto za msingi. Mfano...
Wakuu,
Wanawake wa Kenya mnakwama wapi?
Ni excitement au despration ya kuingia ndoani?
Nitumie nafasi hii kuwasii wanawake wa kitanzania msiige mfumo huu.
Mwaka unaisha hivyo ni harusi moja pekee niliyoalikwa, ni tofauti na miaka ya nyuma.
Labda pengine mlolongo wa matukio kadhaa umefanya mwaka huu kutokuwa kwenye mipango ya kuoa kwa vijana mabachela naowajua, maana kama ni michango ipo.
Pengine nikadhani labda tatizo ni uchumi ila nimekataa...
Jamani, kuna mtu katupiga Tshs 60m mchango wa harusi. Sasa mie nashindwa kuelewa kama aliomba kibali cha serikali kama anavyosema Waziri Mkuu Majaliwa. Kama hakuomba na hairuhusiwi nijiwahi nikadai hela yangu, maana nilimpa wakati ninazo sasa nimechacha!
Mkiyapata majibu ya swali hili mtajua umuhimu wa kulinda ndoa zenu.
Maandiko yanasema mwanamke mjinga huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.
Umeolewa unakuta sms moja tu kwenye simu ya mumeo unaondoka na watoto.unaenda kuolewana lizee au unageuka nyumbandogo ya mume wa mtu.
Hao watoto...
Ndoa na kuoa ni jambo zuri na la heshima na MTU kupata mazishi ya heshima pia ni jambo zuri .
Ila huwa nafatilia vifo vingi hasa katika familia masikini vinatokana na ukosefu wa fedha za matibabu.
Kuna wakati familia inamchangia MTU harusi au sherehe ambayo inaweza Ku-cost hela nyingi lakini...
Africans, we are poor, lakini we are acting rich.
Kwamba unaogopa kusemwa?
Unaogopa kuitwa masikini?
Unaogopa lawama za kutoarika watu?
Unaogopa kutoendana na mila tulizozizoea?
Au ndio njia mbadala ya kupatia pesa za michango kujiboost maisha kidogo?
Muda mwingine hadi tunageuka kero pale...
Habari waungwana wa humu.
Bila shaka hakuna aliye mgeni wa kadhia hii kwenye maisha yetu ya kila siku kwenye jamii zetu..
Kama kawaida ya watu duni umoja wetu ndio nguvu yetu ya kufanikisha yale yanayoonekana yako nje ya kimo chetu kiuchumi.
Mshikamano ni jambo la msingi sana lakini inakuwa...
Uko tayari kuanza safari? Kodi gari kwetu kwa safari isiyo na usumbufu, iwe ni safari fupi au ya mbali!
Weka nafasi sasa na uendeshe kuelekea uhuru wako
+255 655 633 302
Katika hali kuendelea kufurahi lakini ghalfa watu wanadondosha machozi na vilio vingi baada ya kupokea au kushuhudia mmoja wao anapata tatizo ambalo linampelekea kufariki dunia.
Sikia hiki kisa kutoka huko Cameroon
=========
Katika hali ya kushangaza Jumamosi ya Oktoba 26, bibi harusi...
Daaaah juzi nlikua kwenye Harusi nkakanyaga Waya kwa Bahati mbaya Mziki uka zima
X wangu Aka lopoka
Huyo ndio Alivyo Akiona Chakula atulii sehemu moja
Mni follow basi jaman 😌
1. Meza ya Sherehe 450,000 (ya mzunguko wa viti 10 -12)
2. Kiti cha sherehe 80,000 (ni kiti cha kilo 7, sio vile vya 50,000)
3. Vitambaa vya Meza 50,000 (rangi mbalimbali)
4. Kreti ya Glasi 100,000 (zipo za kuhifadhi glasi 25, 36 na 49)
5. Viti vya Maharusi 2,500,000 (kutoka nje)
6. Stuli za...
Habari wadau?
Kuna jambo linanikwaza sana. Unakuta mtu ana harusi. Anaomba mchango kama deni vile! Unamchangia mtu laki ukiingia ukumbini mtu unapewa kifungashio cha juice na soda hata elfu kumi haifiki.
Inakuwa tena kama tunampa mtaji bwana harusi. Jipange bwana harusi ndo uombe hela.
Habari zenu wakuu. Mko vizuri?
Nimekutana na video Instagram ya Dotto Magari akiwa na bosi wake Issa Tambuu ambapo Dotto ametangaza kuwa harusi yake itagharimu Milioni 60 kama bajeti.
Dotto alifunga ndoa juzi juzi hapa na mkewe Bi Aisha, harusi ikija siku chache tangu amalize dili la ubalozi...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kwenye mazingira ya Jiji la New York nchini Marekani, Wanandoa Wawili (Nova na Reemo Styles) walijikuta na Wageni wachache harusini kutokana na kuweka Kiingilio cha zaidi ya Tsh. 700,000 kwa kila mwalikwa.
Uamuzi wa kuweka kiwango hicho ulitokana na wao kubaini...
Hii wiki mbaya kwangu
Naandika hapa x wa mama mkwe wangu kaninyima chakula🥺
Tuachane na hayo
Huyu X wangu Eliza mchaga wa rombo macho kama anakula kungu shingo mithili ya twiga wa nyalandu shape kama bajaji mapenzi hajui ila anajua kupenda na kutoa hela tatizo la kuachana naye baba yake...
Kama mnavyojua ndugu zangu sisi ni wanyong mpaka pale sisiemu itakapotoka madarakani.
Hivyo maisha yetu ni ya kuunga unga na kusaidian ili siku zisonge.
Na mtu pekee wa kukuinua ni mwanafamilia mwenzako Dada au Kaka.
Mimi nilimaliza masomo baada ya kuhangaikiwa sana na Dada yangu na Kaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.