Wakuu, kuna jambo ambalo siku hizi limekuwa la kawaida sana katika mitaa ya Dar es Salaam, lakini wengi wetu hatulipi uzito unaostahili.
Tembea maeneo ya Kariakoo, Posta, Mwenge, Ubungo, Sinza au hata kwenye mitaa yetu ya kawaida. Utakutana na watu wakitembea huku macho yao yakiwa kwenye simu...