hatma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni ipi hatma ya General Antoine Byangolo Ngondo wa jeshi la Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo?

    Brigedia General Antoine B. Ngondo; ni mmoja wa wanajeshi wa ngazi ya juu, waliokuwa mashariki ma nchi hiyo, wakati vita vya jeshi la nchi hiyo na kundi la waasi la M23 vimeshamiri. Baada ya kuzidiwa na waasi, wenzake waliondoka na boti kuelekea Bukavu,kupitia ziwa Kivu. Kwa bahati mbaya...
  2. Hatma ya mtoto wako ipo mikono mwako

    Hatma ya mtoto wako ipo mikono mwako! Huyu mtoto ameniacha hoi! Ebu chukua picha ndo mtoto wako mwenye miaka mitatu anatema vitu namna hiyo? The whole purpose of education is to turn mirrors into windows. Huyu mtoto ni Tesla Armor Glass kwa huu uwezo!
  3. Chadema Mpya na hatma ya siasa zetu!

    Kuchaguliwa kwa Tundu Lissu kuwa mwenyekiti wa Chadema kunatoa fursa ya kushughulikia madhaifu kadhaa ndani ya chama hicho wakati kikijiandaa na uchaguzi wa 2025. Maeneo muhimu yanayohitaji tahadhari ya haraka ni pamoja na: 1. Mshikamano wa Ndani na Umoja Chadema imekuwa na migogoro ya ndani...
  4. Hatma ya Tanzania iko juu ya Watanganyika na Wazanzibar

    Hatma ya Tanzania iko juu ya watanganyika na wazanzibar, lakini athari za kisiasa inaweza kuwa doom day kwa Tanzania. Lakini kanuni ya asili itaamua mustakabali wa Tanzania,itaacha kiashiria cha hatari juu ya watanganyika na wazanzibar,lakini kanuni ya asili sio matokeo ya kisiasa wala kiuchumi...
  5. PICHA: Miamba ya Upinzani yenye misimamo isiyoyumba hata nukta moja yakutana kwaajili ya mazungumzo juu ya hatma ya CHADEMA na WanaChadema

    Taifa hili limewekwa na Mungu mikononi mwenu hakikisheni mnasimama kuhesabiwa hata kama ni kwa chapa ya moto.
  6. Pre GE2025 Masaa 48 ya Mbowe kuamua hatma na uelekeo wa chadema kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Ni wazi kauli ya mbowe inayosubiriwa kwa hamu na gamu kubwa sana na wana chadema na taifa kwa ujumla, atakayoitoa mbele ya waandishi wa habari, ndani ya masaa 48 yajayo, itaamua mustakabali, uelekeo na myukano wa kisiasa wa aina ya kitofauti mno ndani ya chadema kuelekea uchaguzi wa ndani ya...
  7. Waziri Kabudi: Tutazungumza na NSSF kuhusu hatma ya mafao ya uzeeni ya Waandishi wa Habari

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palagamba Kabudi amesema kuna umuhimu mkubwa wa kuangalia suala la mafao ya Uzeeni ya Wanahabari kutokana na baadhi yao kupitia changamoto ya kiuchumi wanapozeeka. Amesema hayo katika Mkutano wake na Wadau wa Sekta ya Habari na Utangazaji...
  8. Ujuaji mwingi wa Waafrika kuhusu mambo ya imani ndio unafanya wao kuwa watumwa kwa watu wengine

    Mbona hatujapata sasa suluhisho la haya yote. Maana ujuzi halisia wa kitu ina maana hauwezi tena kuwa mtumwa wa kitu hicho. Unaweza kuta mtu anaandika kwa uhakika kuwa sababu ya magumu yako ni nyota yako imeharibiwa au dhambi zako lakini unashangaa kuna tajiri mmoja yupo ana dhambi zaidi yako...
  9. Changamoto kubwa ya Kiusalama kwa Urusi na hatma ya Usalama barani Ulaya

    NATO wamecheza mchazo mkali sana wa kisiasa dhidi ya MRUSI. Mosi, wameanzisha mtafaruku Lebanon kwa kumtumia mshirika wao mkubwa Israel, jambo ambalo limepelekea vikosi vingi vya Hizbullah kuondolewa nchini Syria na kurudishwa Lebanon kuzuia uvamizi wa Israel. Jambo hili limechangia kwa kiasi...
  10. LGE2024 Hatma ya TAMISEMI na Uchaguzi kujulikana leo, Jaji Ngunyale kutoa hukumu

    Hatma ya kesi inayomhusu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) katika kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji inatarajiwa kujulikana leo, Oktoba 28, 2024, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam. Soma, Pia: Bob Wangwe aiomba...
  11. Nini hatma ya Shilingi ya Tanzania baada ya kuporomoka dhidi ya Dola ya Marekani?

    Ukweli ni kwamba tokea mwaka 2023 shilingi ya tanzania imeporomoka kutoka 2330 mpaka 2730 kwa dola moja ya marekani ukilinganisha na shilingi ya majirani zetu KENYA ambao shilingi yao inazidi kupata nguvu dhidi ya dola ya marekani hasa mwaka huu wa 2024 Nini maoni yako, wapi tunakosea...
  12. M

    Maandamano ya kesho tar. 23.09.2024 yataleta hatma ya Taifa letu.

    Kesho siku ya jumatatu tar. 23.09.2024 yanatarajiwa kufanyika maandamano ya wananchi wakipinga serikali kutochukua hatua stahiki dhidi ya Utekaji, utesaji na mauaji ya watu ambayo yamekuwa yakifanyika hivi karibuni hapa Nchini. Maandamano hayo yanakwenda ama kuwamaliza kabisa kisiasa na...
  13. Pre GE2025 Hatma ya Soka na wenzake waliotekwa ni shimo kwa CHADEMA?

    Machache lakini mazito Soka na wenzake wanasadikiwa kukamatwa na jeshi la polisi. Soka aliitwa kufuatilia pikipiki yake iliyopo polisi (ni vigumu raia kujua taarifa za kitabu cha RB cha polisi) Soka alitoa taarifa kuwa anafuatiliwa kukamatwa na hata alipokamatwa huko Iringa akielekea Mbeya...
  14. LGE2024 Hatma ya Demokrasia Tanzania: Madhara ya Tamisemi Kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Hatua Muhimu kwa Serikali na Upinzani

    Katika mfumo wa kidemokrasia, uchaguzi huru na wa haki ni kiini cha utawala bora na uwajibikaji. Katika muktadha wa Tanzania, uchaguzi wa serikali za mitaa una nafasi muhimu katika kuwezesha ushiriki wa wananchi katika mchakato wa maamuzi na kusimamia maendeleo katika ngazi za chini. Hata hivyo...
  15. SoC04 Hatma ya wastaafu

    Baada ya kutumikia umma kwa miaka mingi na kufikia umri wa miaka Sitini, mfanyakazi alitoa mchango kwa taifa letu huitwa mstaafu. Anaacha kazi na kurudi kwenye jamii akiwa hoi kama sio hai ya kusuasua. Japo sina ufahamu mkubwa kuhusu sheria taratibu na kanuni za utumishi wa umma, hivyo pengine...
  16. Hatma ya Ramaphosa mikononi mwa Wabunge

    Mpira Kati. Ramaphosa ni ama amwage pesa kwa Wabunge kama alivyozima kashfa ya Phala Phala au apumzishwe na kuanza kupokea Kikotoo. Japool ana hela ila madaraka matamu zaidi. Ingekua Tungekinya party caucus wangeitwa ukumbi Maarufu na kila mbunge apewe salfeti ya mahela. Watu wapige kimyaa
  17. M

    Ziara za Makonda hazina tena mvuto, asubiri hatma yake sasa

    Wakuu, Ziara za Makonda hazina tena mvuto na hakuna chombo kinachoripoti, ndio ajue kuna nguvu zaidi yake. Ni wakati sasa atulie aache kuzalisha migogoro na uchonganishi kwenye taasis za serikali
  18. Wachezaji wanasubiri kujua hatma ya Ten Hag kabla ya kusaini mikataba

    Presha inazidi kuwa kubwa kwa Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag ikidaiwa baadhi ya wachezaji wa klabu yake hawajafanya maamuzi ya mikataba mipya klabuni hapo wakisubiri kujua mwelekeo wa ajira ya kocha huyo. Matokeo mabaya ya timu hiyo yanatajwa kuwa yanaweza kuwa kikwazo kocha huyo...
  19. A

    Hatma ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar iamuliwe na wananchi

    Kumekuwa na manung'uniko mengi linapokuja suala la muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar huku kila upande ukionesha kutoridhishwa na muungano huu. Suala la muungano tangu kuanza kwa kwake mpaka sasa limekuwa likitawaliwa na maamuzi ya watu wachache ( Elites), huku mawazo na mitazamo ya...
  20. S

    Somo kupitia Kwame Nkrumah na ndoto za United State of Africa na tafakari ya hatma ya EAC

    Habari za leo wana JF, Kama kichwa Cha habari kinavosema ngoja nianalyse mtazamo wangu Kwa kuangalia connection iliopo ktk past event baada ya uhuru wa nchi za Africa, current events tulipo na mtazamo wangu tunapoelekea. Nikiwachambua iconic hero's Kwame Nkuruma na Julius Nyerere Je! nani ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…