hatma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Norah Mzeru ataka kujua hatma ya zahanati ya kata ya Mafisa, Morogoro

    MBUNGE NORAH MZERU ATAKA KUJUA HATMA YA ZAHANATI YA KATA YA MAFISA MKOANI MOROGORO "Je, lini Serikali itamalizia ujenzi wa Zahanati ya Uwanja wa Ndege katika Kata ya Mafisa Mkoani Morogoro?" - Mhe. Norah Waziri Mzeru, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro "Katika kusogeza huduma za afya kwa...
  2. YEHOVA

    Je, nini kipo nyuma ya BBC na hatma ya Ukristo na Wakristo duniani Ushoga kama mwelekeo wake Mpya?

    Hakuna kama Yehova, 1. Nimefanya utafiti wa kina na nimebaini BBC sio chombo Cha habari tena Cha kuaminika duniani, 2. Katika utafiti wangu pia nimegundua BBC ni chombo Cha habari kinachoendeshwa na mashoga kwa 100% 3. Zaidi sana nikagundua ndio chombo kilichojipa kazi ya kupambana na Mungu...
  3. Stuxnet

    Hatma ya Muslim University of Morogoro na Maono ya Aga Khan kuwasaidia Waislamu kujenga Chuo Kikuu

    Kipindi cha Ali Hassan Mwinyi, Aga Khan alikuja nchini kwa mara ya kwanza baada ya kutokanyaga ardhi ya Tanzania kwa miaka 20. Kwa maneno ya Mohamed Said Aga Khan aliitisha mkutano wa Waislamu ambao una mchanganyiko wa BAKWATA na wawakilishi wa iliyokuwa EAMWS. Na kwenye mkutano huo HAKUKUWA na...
  4. Yoyo Zhou

    Jumuiya yenye hatma ya pamoja: Ushirikiano wa kilimo kati ya China na Afrika ni wa kunufaishana

    Afrika ina rasilimali kubwa za kilimo. Lakini kutokana na sababu mbalimbali, kiwango cha maendeleo ya kilimo barani humo kimebaki nyuma kwa muda mrefu, na hata nchi nyingi haziwezi kujitosheleza chakula. Kwa hivyo, nchi za Afrika zinachukulia maendeleo ya kilimo kama kazi kuu ya kujiendeleza...
  5. Yoyo Zhou

    Jumuiya yenye hatma ya pamoja: China yasaidia Afrika kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya tabianchi

    Ikilinganishwa na sehemu nyingine haswa nchi zilizoendelea, nchi za bara la Afrika zimetoa hewa ukaa chache. Hata hivyo, bara hilo limekuwa mojawapo ya maeneo yanayoathirika zaidi na mabadiliko ya tabianchi katika miaka ya hivi karibuni. Kutokana na mabadiliko hayo, majanga kama vile ukame...
  6. BARD AI

    Hatma ya Katibu Mkuu CCM kujulikana leo

    Barua inayodaiwa kuandikwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, kuhusu kujiuzulu wadhifa huo, ni miongoni mwa mambo yanayojadiliwa katika kikao cha Kamati Kuu (CC) ya chama hicho leo. Katika kikao hicho kinachofanyika Ikulu ya Dar es Salaam, Chongolo ni miongoni mwa...
  7. Objective football

    Simba hawezi pata matokeo mbele ya Asec Mimosa wiki hii

    Tusichoshane Wana lunyasi wenzangu hio gemu hatutoboi, mbaya zaidi walituahidi kuelekea hii gemu kocha mkuu mpya atakuwepo kwenye technical bench yetu. Mpaka sasa matola na cadena bado wapo na tetesi ni kwamba Mgunda amesaini tayari mkataba wa kuitumikia TANZANIA PRISONS Nawauliza viongozi wa...
  8. ubongokid

    Mbwembwe za Makonda na Hatma ya Rais Samia

    Mgema akisifiwa............ Bashite aka Makonda aka kadhaa nyingine Huyu bwana ni mzee wa mbwembwe na kiki.Mbwembwe na kiki zake sasa zimeanza kumcost SAMIA Suluhu,Gharama ya Mbwembwe za Makonda tunaanza kuziona kwenye uchaguzi wa 2024 serikali za mitaa. Hakuna ambaye hafahamu sifa kuu ya...
  9. Pang Fung Mi

    Maudhui ya Mapenzi na Ngono Hakika yana Run Dunia ya Mitandaoni.

    Ama kwa hakika unaweza kusema Mungu wa kanisani na msikitini, na kwenye milima na majabali amekauka kwenye nafsi za binadamu. Kila post ya kingono ngono, maudhui ya mapenzi yanapata mileage mfano huko Twitter (X) , ni kufuru ni mwendo wa Angalia video kwenye comments. Popote pale Insta, hapa...
  10. Erythrocyte

    Mahakama kutoa uamuzi wa Kesi ya Halima Mdee na wenzake Desemba 14

    Wakati baadhi ya Walalamikaji hao wameanza kuvaa sare za ccm , huku wengine wakihutubia kwenye Majukwaa ya CCM, imetangazwa kwamba hukumu ya kesi yao dhidi ya Chadema itatolewa Desemba 14 2023. Ikumbukwe kwamba Halima Mdee na wenzake , akiwemo Dada yangu Sophia Mwakagenda walifungua kesi...
  11. BARD AI

    Liberia: Wananchi Milioni 2.4 kuamua hatma ya Urais wa George Weah leo

    Zoezi hilo linafanyika kwa kukamilisha kipindi cha kwanza cha miaka 6 cha utawala wa aliyewahi kuwa Mwanasoka Bora wa Dunia wa FIFA mwaka 1995, George Weah ambaye aliingia Madarakani mwaka 2017. George Weah anakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa Wagombea Urais 19 akiwemo aliyewahi kuwa Makamu...
  12. L

    Ujenzi wa jumuiya ya China na Afrika yenye hatma ya pamoja waimarishwa

    Ujumbe wa China kwenye Umoja wa Afrika, Akademia ya Sayansi ya China, Shirika la Mpango Mpya wa Maendeleo ya Afrika, Shirika la Fedha la Teknolojia za Kilimo la Afrika na taasisi nyingine hivi karibuni zimetoa kwa pamoja pendekezo la “Kuimarisha Uvumbuzi wa Sayansi na Teknolojia kati ya China na...
  13. Venus Star

    East Africa Federation na Hatma ya Tanzania

    Kabla ya wakoloni kuja Africa tuliishi kwa namna yetu. Bahati mbaya historia ya Afrika imepotezwa kwa makusudi au kupotoshwa. EAST AFRICA COMMUNITY KWA SASA The Republic of Burundi The Democratic Republic of the Congo The Republic of Kenya The Republic of Rwanda The Republic of South Sudan...
  14. L

    China na Afrika zajenga jumuiya yenye hatma ya pamoja katika nyanja za amani na usalama

    Kongamano la tatu la Amani na Usalama kati ya China na Afrika lenye kauli mbiu ya “Utekelezaji wa Mpango wa Usalama wa Kimataifa, Kuimarisha Mshikamano na Ushirikiano kati ya China na Afrika” linafanyika mjini Beijng, na kuhudhuriwa na zaidi ya wajumbe 100 wakiwemo viongozi wa majeshi ya nchi za...
  15. Zanzibar-ASP

    Nini hatma ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo (China project) ikiwa bandari zote kachukua Mwarabu wa Dubai?

    Nimejaribu kuwaza kwa kina haya yanayoendelea hapa Tanzania kuhusiana na sekta ya bandari. Sote tunajua tayari Serikali na bunge wamepitisha na kusaini mkataba wa uendelezaji na uendeshaji shughuli za bandari zote za Tanganyika kuwa chini ya umiliki na usimamizi wa milele wa muarabu wa Dubai...
  16. CONSISTENCY

    Watanzania tujifunze na kujadili hatma ya vizazi vyetu, hali ya nchi ni mbaya sana

    Kuna mambo mengi ya hovyo yanaendelea nchini, Bandari Utalii Madini Mikopo ya kijinga Ufisadi CAG report Mfumuko wa bei n.k Wanasiasa tumewapa dhamana kubwa ya kutuongoza ila nasikitika kusema wengi wa wanasiasa nchini Tanzania ni walafi, vibaraka na watumwa wa wageni. Nasikitika kusema Rais...
  17. Private investigator

    Page ya TAMISEMI imedorora, taarifa za uhamisho hamtoi, watu wanahama kimyakimya na hatma yetu hatuielewi

    Nategemea kuhama na nimekamilisha taratibu zote. Nasubiri majina kwenye ubao wa tovuti ya TAMISEMI lakini sioni kitu. Cha ajabu hapa kazini kwangu, watumishi wapya tunawapokea wakiwa na Uhamisho kutoka nje ya MKOA. Nataka kujua anayepokea hizi rushwa TAMISEMI na Mimi nimpelekee anihamishe.
  18. B

    Ujinga ni kizingiti kikuu kwa Hatma ya hili nchi

    Anasema mwanazuoni: Karibu Tanzania ambako wajinga ndiyo werevu na werevu ndiyo wajinga.
  19. A

    Ni nini hatma ya tiketi za bure za Rais kwa mashabiki kwa mechi ya Yanga vs. USM Alger?

    Miezi michache iliyopita Rais alitoa tiketi 20k bure kwa ajili ya mashabiki kwenda kuishangalia Taifa Stars vs. Uganda matokeo yake tulipigwa. Jana katoa tena tiketi 5k bure kwa mashabiki kwenda kuishangilia Yanga vs. USM Alger. Je, historia itajirudia?
  20. B

    Je watanzania tunahitaji nini? tunafikiria na kuwaza nini? nini hatma ya nchi yetu kama mali tunazo, ardhi tunayo, je ni lini tutaondoka na kero.

    Kero kama maji, umeme, afya, elimu, ujinga na umasikini, lini tutaweza kuwa na umoja na ushikamano katika kujenga nchi, kutoa ubinafs kwa walio na nafasi, kujitegemea kupitia rasilimali zetu tulizonazo, kukataa rushwa na kutenda haki, je tunahitaji nini kama nchi ili tuweze kusonga mbele.
Back
Top Bottom