Tahadhali naomba kujua ni Nini hatma ya wafanyakazi ambao kutokana na sababu (za awamu iliyopita) walikaa Miaka 9 Bila kupanda daraja achilia mbali nyongeza ya mshahara!
Kwa Mfano wale ambao waliajiriwa Mwaka 2014. Walikuja kupanda daraja mwaka 2021. Imagine!
Je Nini hatma Yao? Je Kuna namna...
FATED TO DIE
(MWENYE HATMA YA KUFA)
SEHEMU YA 01
“Baby, mambo ni mengi nashindwa hata kutulia” aliongea Salome akiwa ameshikilia simu yake, yalikuwa majira ya usiku na alikuwa akiongea na mpenzi wake ambaye kwa muda huo alikuwa maeneo ya mbali na nyumbani kwao. Baada ya kama nusu saa kupita...
MAMA WA WATOTO WAKO AMEISHIKILIA HATMA YAKO!
Anaandika, Robert Heriel
Shahidi.
Ujumbe huu ni Kwa Watibeli, wanaume na Wanawake wanaohitaji kuishi Kwa furaha katika Ulimwengu huu.
Unapochagua MKE sio tuu unachagua Kiburudisho cha kukupa utamu kila usikiapo hamu ya ngono.
Mke ni zaidi ya...
Mchele kutoka nje.
Je tumejiridhisha kwamba uliopo nchini hautoshi?
Je uzalishaji wetu wa mchele ni kiasi gani, mahitaji kiasi gani na upungufu kiasi gani
Hizo tani elf 90 za mchele zitaingizwa kwa muda gani
Je wakulima walioko shamba kwa sasa mchele wao watauza wapi wakikutana na huo wa nje...
Nawapa salamu wanajukwaa, wala tusitumie muda mwingi sana tuingie moja kwa moja kwenye mada tajwa.
Baada ya Baraza la mitihani la Taifa-NECTA kutangaza matokeo ya kidato cha nne ambayo yametoka siku ya leo-29 Jan 2023, nimeona niunganishe na yale matokeo ya kidato cha Pili ambayo yaliwahi...
Habar wana jamii nauliza. Je, covid 19 imeishia wap naona wale wazungu walokua wanaweka lockdown leo wana socialize kawaida je ni kwambo covid ipo au ilikua ni siasa tuuh
Na cha kushangaza zaidi ipo china ambapo marekani huamin ndo ilipotea
.....let us discus this thread
Wana CCM wamekaa miaka sita Bila kujibu hoja za upinzani; lakini pia Kwa safu waliyonayo hakuna timu ya kupambana na wapinzani. Nchi imepitia mdororo WA kiuchumi usiosemwa, madeni yameongezeka na miradi isiyoendelevu NI mingi. Kufunguliwa Kwa majukwaa ya kisiasa maana yake nikuruhusu akina Tundu...
Wakuu,
Wakati anapewa kijiti toka kwa mtangulizi wake, alipewa maagizo mengi atekeleze. Yapo ya muhimu sana yalipaswa kutimizwa mwaka huu unaoisha lakini aliona yataharibu hatma ya muhula wa pili kwake.
1. Uandishi wa katiba Mpya ulipaswa kuanza mwaka huu lakini hakuna dalili yoyote hadi Sasa...
PILI MWINYI
Uingereza hivi karibuni ilitangaza kukubali kufanya mazungumzo na Mauritius juu ya hatma ya visiwa vya Chagossia, ikionekana kurudi nyuma kidogo baada ya kugoma kwa siku nyingi kufanya mazungumzo hayo licha ya shinikizo kubwa iliyokuwa ikipata kutoka nchi mbalimbali duniani. Kwa juu...
Wakuu,
Leo kupitia hapa nitaendesha mjadala huru kabisa kati ya wapenzi, wakereketwa, na wanachama wa vyama viwili vikubwa vya siasa Tanzania CHADEMA na CCM.
Tutaangalia hatma ya nchi yetu kwa kuangalia mitazamo mbalimbali kama;
Ni nini Watanzania wafanye nchi iendelee na ipae kiuchumi?
CCM...
Mimi huwa ni mfuatiliaji wa mada mbalimbali zinaziobukaga humu ndani kuhusiana na maendeleo ya mikoa mbalimbali ikiwemo ya Kagera.
Pamoja na kwamba mada nyingi huwa zinaishia katika mabishano ya kuwashutumu wanaKagera kwa majivuno, na wengine wakisema ni wavivu lakini kuna mambo fulani huwa...
Mkutano Mkuu wa 20 wa Wajumbe Wote wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) umemalizika hivi karibuni. Mkutano huu una umuhimu mkubwa kwa Wachina na hata jamii ya kimataifa. Akitoa ripoti katika ufunguzi wa mkutano huo, Xi Jinping alisema, China daima imeshikilia malengo ya sera yake ya kigeni...
Dr Yuval Harari, mshauri mkuu wa mwanzilishi wa WEF, Dr. Claus Schwab, amesema bila aibu na kumung'unya maneno kwamba wanadamu wote kama ikiwa lazima wataangamia, isipokuwa "The Elite."
Dk. Yuval Harari anaingia kwenye vichwa vya habari tena kwa matamshi yake tata kuhusu hatima ya wanadamu kwa...
Salamu kwenu wa JF wote!
Kwako Mwanaume mwenye Mchepuko.
Mwanaume una Mchepuko tena ni Single Mother, unamhudumia vizuri kila kitu anapata lakini hutaki afanye kazi yoyote wala Biashara huo ni wivu au ndiyo kupenda sana? Je, unafikiria hatma ya huyo Mchepuko kwa maisha ya baadaye?
Awali ya yote ningependa kumshukuru Mungu kwa kunipa uhai na afya njema mpaka sasa ya kuweza kuandika Makala haya yenye kuleta badiliko kwa jamii hususani kijana na jamii inayotuzunguka katika mstakabali wa maendeleo yao.Pale watakapochukua hatua ya ziada kuondokana na hali ya kusitasita na woga...
MARTHA KARUA: NAHESHIMU MAAMUZI YA MAHAKAMA ILA SIKUBALIANI NAYO
Aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Azimio la Umoja katika Uchaguzi wa Urais Kenya, Martha Karua amesema anaheshimu maamuzi ya Mahakama lakini hakubaliani nayo.
Mahakama ya Upeo imetangaza kupitisha matokeo yaliyompa ushindi William Ruto...
Hakika katika migogoro inayoendelea ni dhahiri kuwa watu wengi tumekuwa tukitamani kuona nini mwisho wa yote yanayoendelea kutokea hivi sasa.
Mpaka sasa Urusi inaendelea na kile inachokiita kuwa ni "oparesheni ya kijeshi" katika taifa la Ukraine. Watu wengi tunatamani kuona mwisho wake.
China...
Ni ukweli usiopingika ,achilia mbali mahaba tuliyonayo ,maana kila binadamu ana chaguo lake ,pro NATO na pro Russia wote wana haki ya kuwa na mahaba ,kwa kadri ya ufahamu na mitazamo ya namna mbalimbali.
Ila sasa wakuu hii vita tuambiane ukweli tuu majira ya baridi ndiyo yatatoa matokeo halisi...
Jifunze kuzuia ulimi wako usinene mabaya – Mtume Petro anatueleza kwamba ‘Kwa maana, Atakaye kupenda maisha, Na kuona siku njema, Auzuie ulimi wake usinene mabaya, Na midomo yake isiseme hila’ (1Petro 3:10).
Jizuie kunena unapokuwa na hasira – Katika Waefeso 4: 26 imeandikwa ‘Mwe na hasira, ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.