Siku moja nikiwa kijiweni kwetu na vijana wenzangu tukipiga stori mbili-tatu asubuhi. Mwenzetu mmoja ambaye ni fundi wa bajaji aliniuliza swali lililofanya nifike mbali sana kuhusu hali za mataifa yetu ya kiAfrika, huku nikimshukuru Mungu kwa hali ambayo bado tunayo Tanzania kama Taifa.
Jamaa...
"Baada ya kushinda kesi ya Mh Freeman Mbowe na wenzake, mjadala sasa ni juu ya matumizi ya 350M, hatujadili uhai wa Akwilina. Nani alimuua? Nani anawajibika? Mkurugenzi wa Kinondoni anawajibikaje? Kwanini hakutoa barua za mawakala? Athari walizopata warufani. Uhuni huu utaisha lini?"
- Mch...
Kwenye mkutano wa baraza la Umoja wa Mataifa uliofanyika Septemba 2020, Rais Xi Jinping aliushangaza dunia kwa kutoa ahadi kuwa China itafikia kilele cha utoaji wa carbon mwaka 2030, na kuanzia hapo itapunguza kiwango hicho hadi kufikia 0 mwaka 2060. Wataalamu wanakubaliana kuwa China ni moja...
Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) limetoa tahariri ikisema, wakati China inapohimiza ujenzi wa jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja, Marekani inanyakua nafasi ya maendeleo ya nchi nyingine ili kujiendeleza zaidi.
Hivi karibuni, Waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi alihudhuria...
Baada ya hukumu ya mahakama kubatilisha wosia ulioachwa na Reginald Mengi, mjane wake, Jackline amesikitishwa na hali hiyo ikiwemo sababu zilizopelekea mahakama kutokubali wosia huo.
Jackline ameshangazwa na uwezo wa kuandika na kuzindua kitabu kwa mume wake ingali alikuwa na shida ya kiakili...
Mwaka jana (2020) mwezi wa kwanza TCRA ilitoa wito ya watu wote kutumia .co.tz na ukitumia .com ni kosa ambalo unaweza kulipishwa faili au kifungo.
Swali langu ni je, mpaka sasa sheria hiyo ipo? na kama bado ipo kwa nini baadhi ya watu wanaendelea kutumia .com? naomba ufafanuzi kwa wanaofahamu...
Mzee alituita vijana wake wote pale nyumbani. Akasema anataka tumfuate tuanze safari. Nakumbuka mdogo wangu alimuuliza "mzee mbona hatujajiandaa na pia unataka twende wapi?"
Mzee alimkazia macho na kumwambia "tunaanza safari muda huu ni safari ya miaka 5. Tunakoenda tutakujua huko huko mbele'...
Ndugu zangu, kuna tatizo lipo lakini ni kama kila mtu anajaribu kulifumbia macho wakati katika hatua yake ya juu kabisa itakuwa ni hasara ya watu wote.
Katika mazingira mbali mbali unakuta mtu anatetea kitu si kwa sababu kitu hicho ni sahihi bali kwa sababu kulingana na upande aliopo kwa wakati...
Inasikitisha lakini haishangazi, kwamba wapo baadhi ya watu, wakiwemo Watanzania wenzetu wameanza tena kurejea tabia iliyokuwa imeanza kukoma, ya udokozi wa mali ya umma, wizi. Kwamba baadhi ya wafanyabiashara waliokuwa na mwenendo mzuri wa kulipa kodi wameanza ujanja na kulegea katika msimamo...
Habari wana JF,
Nimesikiliza hotuba ya muheshimiwa Raisi kwa uzuri kabisa nikamwelewa, lakini lugha hii yetu pendwa (kiswahili) hajazungumzwa mahala popote.
Hapo awali kiswahili kilitiliwa mkazo kwa sababu zinazojulikana na utawala uliopita. Lugha ya kiingereza ilionekana ni anasa au kielelezo...
Kwa wale ambao wameshapitia hii hatua tayari na wana uzoefu hebu tupeane experience ni changamoto gani unaweza kukutana nayo siku utakapokwenda ukweni kutambulishwa.
Na jinsi gani unaweza kuiepuka hii changamoto ili usije ukaonekana kituko?
Pia soma...
MAKOSA YA JINAI YASIYO NA DHAMANA YANADHAMINIKA
(Non Bailable Offences are Bailable)
Obadia Kajungu, Esq.
ADVOCATE.
Dibaji (Forewords)
Sisi wanasheria ndiyo kikwazo cha haki nchini Tanzania na hii ni kwa sababu tumeacha kuzitendea haki sheria kwa kushindwa kuzitafsiri sambamba na matakwa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.