Baraza la serikali ya China limetoa waraka wenye kichwa “Safari ya China kutoka umasikini hadi kwenye neema” ukitaja maendeleo yaliyopatikana nchini China kuanzia mwaka 1952, hadi mwaka 2020. Baadhi ya takwimu zilizotajwa kwenye waraka huo, ni kuwa katika kipindi hicho pato la taifa la China...