Inasikitisha lakini haishangazi, kwamba wapo baadhi ya watu, wakiwemo Watanzania wenzetu wameanza tena kurejea tabia iliyokuwa imeanza kukoma, ya udokozi wa mali ya umma, wizi. Kwamba baadhi ya wafanyabiashara waliokuwa na mwenendo mzuri wa kulipa kodi wameanza ujanja na kulegea katika msimamo...