hela

  1. NFRA lipeni fedha za mahindi ya wakulima ili waanze maandalizi ya kununua pembejeo

    Tunaishukuru sana Serikali kwa uamuzi wa kununua Mahindi ya Wakulima kwa Bei elekezi ya KG 1 Tsh 860. Hata hivyo tangu Wakulima wapekele Mahindi yao bado hawajalipwa Fedha zao hali inayosababisha kuleta ugumu wa kufanta maandalizi ya Kilimo kwa msimu huu wa Masika ambao kwa mikoa ya Nyanda za...
  2. Tafuta hela, scrub sio udada!

    Nimetafuta hela juani, siku nyingine vumbini, mara nyingine ni kwenye mvua au porini nalala na fisi. Sasa nakuja mjini kuchukua hela mara moja, kwa nini nisiingie saloon spa kufanya scrub kujiweka safi na masaji kuupa mwili raha! Tafuta hela, ukipata hutaona kama scrub ni udada. Weekend njema...
  3. Hivi tabia ya kupiga picha na hela, ni ujanja au ushamba?

    Naona watanzania kwasasa wengi wao wamekuwa na hulka ya kupiga picha na hela trna hela za kutosha. Je tabia hii wewe unaichukuliaje, ujanja au ushamba?
  4. Obama na Michele watimiza miaka 30 kwenye game, hamna hata siku moja Michelle aliomba hela eti gesi imeisha.

    Jana Obama na Michelle wametimiza miaka 30 ya kuwa pamoja. Pamoja na kutimiza umri huo hamna hata siku moja ambayo Michelle alimuomba Obama hela akanunue gesi achilia mbali luku, vocha, hela ya kusuka nk.
  5. Hatimaye Chief Godlove abambwa. Adaiwa kupost hela feki mitandaoni ili kuwahadaa watu kwamba ana hela

    Chief Godlove ame bambwa. Kuna video ina sambaa mtandaoni iki mu expose Chief Godlove . Katika video hiyo chief anaonekana akiwa na hela ambazo ukichunguza vizuri utagundua kwamba ni note moja ya elfu kumi kwa juu ila kwa chini ni vimbao. Ukitazama vibaya unaweza kufikiri ni mabulungutu...
  6. Mnadanganywa kusoma sayansi ili walio soma kiswahili/History wawaongoze na kula hela zenu.

    Mgabe alishawahi kusema fisrt class students become engineers, doctors and so and so third class students become politicians, witch doctors and so and so in order to eat the money of the first class students. Huo ndo ukweli waliosoama history ndiyo watoa maamuzi ya fedha zenu ziende kwenye...
  7. Hakuna Kauli mbovu na ya kizembe niliyowahi kuisikia kama hii ya "Tafuta Hela"

    One of the most reckless statement ever... Kauli ya kizembe sana.. Mtu anafanya kaz serikalin au kwa Kampuni binafsi unamwambia tafuta hela? Unataka aibe au? Na hii kauli ya reja reja sio ya bahati mbaya, ni ya machekbobu wanaotamba kwenye mitandao na scraps za dola 10-15k. Hii kauli inakuwa...
  8. Watu wanaomlaumu Vicky Kamata, wanadhani Magufuli alipomtumbua Dkt Servacius Likwelile alimuacha na hela. Bila kujua alilelewa na Vicky

    Katika Uongozi wa Awwmu ya tano, 13 Agosti 2016 aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli alimtengua Dkt Servacius Likwelile, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango(sera) nafasi yake ikachukuliwa na Doto James. 19 Machi 2016 Vicky Kamata alifunga ndoa na Likwelile. Watu...
  9. B

    Ameniambia" Tafuta Hela" Najiuliza mbona yeye Wenye Hela hawamuoni?

    Duniani kuna majambo na vijambo. Basi bwana juzi nikiwa natoka kwenye mishe zangunza kijamii nikapita Atm. Eneo hilo kuna Parking so nikajump kidogo pale na kuweka Mkweche wangu. Eneo hilo hilo kuna Yard ya Wauza Nyapu. Turudi nyuma kidogo, siku hizi ukikutana na Mwanamke Mzuri au mwenye...
  10. Mapenzi hayamsaidii mwanaume kupata hela zaidi ya kutoa hela

    Wengi tunatamani mahusiano tukiamini itakuwa njia pekee ya kutuliza nafsi pamoja na uchumi. Mambo yamekuwa ni kinyume, na imekuwa ni karaha; kama huwezi kuhudumia kwa kutoa pesa, hapo migogoro lazima iwepo. Wanaume wamefanywa chuma ulete au watumwa kwa kutumikishwa kuwatafutie hela au uhakika...
  11. Kuna watu wakipata hela huwa wanahangaika sana

    imagine hii ni choo Peshizi jamani a
  12. Hii tabia ya Wanawake kuibiwa hela imeshamiri sana!

    Ni majanga. Utasikia nimeibiwa na boda, wamekwapuwa pochi yangu baada ya kutoka kutoa hela Mlimani City, ilikuwa na smart phone na ile laki tano niliyotoa baba watoto! Au nikiwa ndani ya daladala, nafikiri yule kijana pembeni yangu alipulizia madawa ya usingizi au ya kulevya, akanikokota...
  13. Hapa Kuna Siri gani kuhusu ukiwa na hela unapoteza shauku ya Kupata kitu mfano swala la kuoa Mtu ukipata hela unalisahau kama huwa lipo.?

    Nilichogundua Binadamu huwa anakuaga na mipango Mingi akiwa Hana hela. Mfano back the days Mimi na classmates zangu tuliwahi kupanga Mambo ya kuoa nk but now hao classmates wapo Sehemu nzuri wengine katika Taasisi kubwa na wengine wafanyabiashara so Hakuna hata mmoja kaoa na hawataki kusikia...
  14. Ni ipi logic ya kupewa hela au zawadi yoyote siku ya kuzaliwa kwako?

    Yaani nimezaliwa tarehe kama ya leo unanipa zawadi au hela kwamantiki gani? Kwamba unanipa zawadi kwa kuzaliwa? Unanipa hela sababu nimezaliwa leo? Sijaelewa naomba kueleweshwa.
  15. Hela ya kuwalipa akina Morrison na Doumbia huna huyu Makabi Lilepo ndiyo Ungempata?

    Na Mashabiki wa Timu yako wengi wao wasivyo na Akili wakaanza Kuamini kuwa Five Five za Kubahatisha FC watamsajili Kiungo Mshambuliaji Makabi Lilepo na hatimaye dirisha la Usajili limepita Jana hajaja. Haya haraka sana tafuteni Pesa za Kuwalipa akina Morrison na Doumbia kabla hawajaenda FIFA na...
  16. Simu ya milioni 1+ ila unahangaika na bando, utafaidi kweli? Kwanini usinunue simu mid range ya kati halafu hela inayobaki uwekee kwenye bando?

    Walengwa hasa ni wale wanaopata pesa za ghafla (zawadi, kuhongwa, betting, michezo, kuotea, boom la chuoni, n.k) na wale wanaojidunduliza. kununua simu ni hatua ya kwanza tu, bado kuna mambo yanafuata. ni sawa na gari inabidi ununue kwa kuzingatia ulaji wa mafuta, bei za spare, gharama za...
  17. Waziri Mwigulu: Dola sio hela yetu kwani hatuizalishi wala Hatuprint. Tuna akiba ya Dola Bilioni 5.2

    Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amezungumzia kuhusu Mjadala wa Dola kuadimika unaoendelea Nchi. Amesema watu inabidi watambue kwamba Dola sio hela yetu bali tunaipata pale tunapopata Mkopo, Msaada, tunapouza bidhaa ama Huduma nje ya Nchi ndo tunapata Dola. Sera za kifedha za Marekani...
  18. Hii ya kuchanganya hela na simu mfuko mmoja, inatugharimu sana

    Hapa nilipo nimepoteza hela wakati natoa simu, kawaidi ukishapoteza hela huna haja ya kurudi kutafuta tena.
  19. Urafiki na madereva wa masafa marefu ukiwatumia hela 75% hesabu umetoa sadaka

    Hawa jamaa wanakuwaga na shida mbalimbali katika safari zao wakipatwa na shida. Unakuta mzee msaada hapa gari imepata tatizo nisaidie kunitumia hela mimi bosi wa gari akinitumia nitakutumia na shida ninunue spea kufnge chapu niendelee na safari. Baada ya kutuma mzee asante sana nimepata...
  20. Wale wawekezaji wa MTFE wapigwa na kitu kizito hela hazitoki

    Maisha ni magumu ndio lakini sio kinachokuja kwako ni chakula, kwanini watu hawajifunzi any way endeleeni kutapeliwa tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…