hela

  1. Wapi naweza kubadilisha Egyptian Pound kuwa Hela ya Tanzania?

    Salamu. Ama baada ya salamu Mimi ni mzima wa siha muruwa. Mwezi Dec nilipata wasaa wa kutembelea nchini Misri, ratiba yangu ilikuwa very tight kiasi kwamba hata airport sikuweza kubadilisha Egyptian Pound kuwa USD. Sasa zimekaa ndani Nina zaidi ya Pounds laki Moja ya Misri, ubalozini...
  2. M

    Muarabu katoa hela ndefu sana kwa Yanga

    Bench la ufundi, Hersi na baadhi ya wachezaji. Na ndio maana Pacome alianzishiwa benchi. Tukubali tu kuwa haya ni maisha na kuna hela ukionyeshwa ni ngumu kuikataa hata kama wewe ni paroko. Muarabu akitaka jambo lake anaweza kukupa hata behewa la SGR
  3. E

    Ibenge kala hela za watu na wameshindwa kufikia malengo

    Kiuhalisia safari ilibidi iishie Sudani , mgonjwa akaongezewa drip kidogo ndugu wakapata matumaini Ibenge mtu m bad sana
  4. Nime-request kuuza vipande vya UTT tangu Jumapili, leo ni Ijumaa bado hela haijawekwa kwene Acc? Je, ni sawa ndio inavyokuwaga?

    Wataalam wa UTT nipo acc ya ukwasi Kwa maelezo, niliambiwa ni siku mbili za kazi mpunga unakuwa ushasoma leo ni wiki. Hadi napata wasiwasi
  5. Kumiliki nyumba au ardhi haviwezi kukupa utajiri bali vinalaza hela, fuatana nami ujifunze experience yangu ya umiliki wa hizi mali

    Kumiliki nyumba au ardhi haviwezi kukupa utajiri mkubwa, fuatana nami ujifunze experience yangu ya umiliki wa hizi mali Mimi Mr Why nataka nishare experience yangu ya umiliki wa nyumba na ardhi Nimemiliki nyumba na ardhi kwa muda mrefu lakini havikunipa fedha za kutosha Mwanzo nilidhani kuwa...
  6. M

    DOKEZO Mwaka wa tatu huu tokea niajiriwe sijawahi kulipwa hela yangu ya kujikumu

    Kama kichwa cha habari kinavyosema mm ni mtumishi katika halmashauri ya mji wa Tarime, toka nimeajiriwa miaka mitatu iliyopita na sijawahi kulipwa hela yangu ya kujikimu na kila ninavyofuatilia imekuwa ni danadana. Wenye mamlaka tusaidieni tuweze kulipwa hela ya kujikimu kwa maana ni haki yetu.
  7. Akili za mtu mweusi zinashangaza , unanunua jengo la Billion 1.6 baada ya hapo unasema hauna hela ya uchaguzi!.

    Chama Chadema kuna watu waliokosa maono . Tundu lissu , yupo sahihi kutokubali kukichangia hiki chama I agree with him. Mimi nachojua life is about priority Maisha ni swala la vipaumbele zaidi . Kulikuwa kuna haja gani ya kununua jengo la billion 1.6 wakati tunashindwa kugharamikia uchaguzi...
  8. Hivi ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo tu ndani ya nyumba kwa matumizi anaongea sana na kununa nuna?

    Hebu niambieni ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo kwaajili ya matumizi ya ndani ya nyumba Huwa anaongea sana maneno mengi halafu muda mwingi anakua na hasira na kununa nuna hovyo ?
  9. G

    Ronaldo pamoja na kuwa na hela nyingi mpaka leo hajaoa (ana mchumba tu), lakini wewe Pangu Pakavu ushajitwisha majukumu

    Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa. Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress? Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata. Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
  10. Mwezi huu wa December peke yake nimeombwa hela na wanawake takriban 29

    Wengine nimewapiga block, Wengine nimewapotezea sipokei simu zao,wengine nawqoiga kiswahili. Hakuna niliyemuambia kuwa sina.na hakyna niliyenpa hata mia Mwanaume usiseme sina.utakuwa John Cena, Hivi wanawaje hudhani sisi tunaikotahela?
  11. Makazi ya Magori wa Simba Sc kijijini kwao Rorya: Wanangu tutafute hela

    Msisitizo kwamba Tutafute hela ni wa kweli. Cheki makazi ya maana kabisa. Sio wewe unaenda kujenga kijijini kwenu huko Singida bado unaenda kubanana karibu na sokoni
  12. G

    Unapodai risiti dukani na kupewa yenye kiasi pungufu kuliko hela uliyolipa unachukua hatua gani ?

    Dukani unaambiwa bidhaa ni kiasi flani na unalipia unawakumbusha risiti, wanakutolea yenye kiasi pungufu
  13. B

    Mambo kwa ushahidi: Nimeshampa baby wangu Anita hela ya sikukuu

    Ni Mimi David Omujuni rekwanzila mjukuu wa kanyaitodi Tukogee ebu hatari ola ita NIWATAKIE CHRISTMAS NJEMA AND HAPPY NEW YEAR
  14. K

    Anaomba Sana Hela, sasa Leo nimemchana

    Huyu demu nimemtongoza hata wiki mbili hakuna tayari matatizo Yake yote ya kifedha amenipa Mimi Leo hili Kesho kile Sasa nimechoka nimeona nimuambie ukweli
  15. Q

    Tundu Lissu: Hela za Abdul ndicho chanzo cha mtafaruku CHADEMA

    Lissu anagombea Uenyekiti kwa hasira baada ya kuletewa Wenje ili amuondoe kwenye nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti aliyokuwa ametia nia. Akiwa anajibu maswali kwenye kipindi cha ClubHouse, Lissu amesema, "Yanayoendelea Chadema chanzo chake ni hizo hela za Abdul nilizozikataa ambapo Wenje alikuwa...
  16. B

    Tunapoelekea msimu wa sikukuu, tuma hela ya Kusuka, hela ya nguo, hela ya viatu lakini usimsahau Mama yako na Baba yako.

    Ewe kijana jitathimini sasa. Mpaka sasa umeshamtumia pesa ya kusuka, pesa ya viatu na mmeshapanga sehemunya kukutana kula bata. Mpak muda huu Atm ishaumia mara kadhaa kqa ajili ya kumnunulia pamba za sikukuu. Je umejiuliza mpaka muda huu umemtumia Baba yako na Mama yako kiasi gani? Panga...
  17. Nimepata agents wa kuniuanganisha na kazi nchini POLAND. Je ni nitapa au nitaliwa hela yangu tu Bure na kazi nisipate

    Me ni mwenyeji wa Kanda ya kati uko mkoa x ila kwa sasa nipo mjini Dar baada ya kupata huu mchongo. Kuna jamaa angu alinstua kwamba nije Kuna kazi imepatikana uko nje ya ulaya katika nchi ya Poland. Basi nikawa nimekuja toka wiki iliyopita kufatilia basi akawa ameniunganisha na uyo agent na...
  18. Nimempa mwanamke wangu mchongo wa kuingiza elfu 50 kila siku na bado ananiomba hela za matumizi

    Naona mahusiano haya yatanishinda, asubuhi kaamka anataka nimtumie hela anunue gesi, mchana kanitumia meseji tena anataka nimsaidie kulipa ada ya chuo saa hizi anataka hela ya kwenda kusuka Nimewaza na kuwazua sijamuelewa ikiwa kazi anafanya ya serikali na kuna mchongo nimemconnectia anapiga...
  19. Kama hatulumchangia Lissu hela za kununua gari, kwa nini anaamini tutampa kura aqe Rais wa nchi?

    Mambo mengine ni kufanya tathmini tu ya kawaida, Lissu aliitisha mchango kwa nguvu kubwa sana, lakini alichopata ni cha kununua pikipiki ya SUN-LG. Anapata wapi nguvu ya kuamini tutampa kura?
  20. Kumbe Rais anapewa Milioni 60 kila mwezi kufanyia chochote anachoona kinafaa? Utaratibu gani huu?

    Wakuu, Kumbe ukiachana na mshahara Rais wa JMT anapewa Milioni 60 nyingine kila mwezi kutoka kwenye kitu kinachotambulika kama MFUKO WA RAIS? Kwa mwaka hiyo ni Milioni 720. Kwa hiyo kwa mwaka Rais ana Milioni 720 ambazo atachagua atafanyia nini? Hii pesa yote inapita kwenye wizara gani? And...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…