BARUA KUTOKA JELA
Kuna mbaba mmoja, mwanae lifungwa jela,
Jina lake sitotaja, nakataliwa na mila,
Machozi yakamvuja, mfukoni hana hela,
Barua kutoka jela, ilimkomboa baba.
Aliandika barua, kwa mwanae gerezani,
Dhumuni ni kumwambia, meshindwa lima shambani,
Nguvu zake mepungua, hawezi jembe...