heslb

  1. M

    Chuo cha Kampala hakijatupa ‘refund’ za Mwaka 2023, wanadai wanazirejesha Bodi ya Mikopo, kama kweli HESLB toeni tamko

    Sisi Wahitimu wa Shahada katika Chuo cha Kimataifa Kampala kilichopo Gongo la Mboto, Dar es Salaam hatujapewa malipo yetu yaliyozidi (refund) kutoka kwenye fedha tulizokuwa tunalipiwa na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB). Wakati tukiwa mwaka wa pili (Mwaka 2023) kuna wengi...
  2. A

    KERO HESLB hawatoi fedha za kujikimu kwa wakati

    Shida kama haikupati hutaona ukubwa wake. Loan board hawatoi fedha za kujikimu kwa wakati. Wazazi wakishaona tumepata mkopo unakuwa umewatua mzigo na wanajitoa kwenye kukupatia fedha za kujikimu. Loarn boad wanatuumiza Sana. Wanapopitiliza Sana mda wa kutupatia fedha za kujikimu. Kawaida...
  3. A

    KERO Wanachowafanyia HESLB wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu siyoo uungwana kabisa

    Kila baada ya siku 60 mnufaika wa mkopo wa bodi ya mikopo HESLB inabidi apewe pesa ya kujikimu na chakula shilingi 10,000 kwa siku lakini mpaka leo naandika uzi huu hakuna mwanafunzi hata mmoja Tanzania aliyeingiziwa pesa ya Boom ilihali malipo vyuoni yaani Disbursement imewanyika takribani wiki...
  4. J

    Namna ya kusign pesa za heslb kwa wanachuo

    Nimesign boom Jana ya awamu ya kwanza baada ya ku appeal Sasa kwenye lo verification imekuja Moja na kwenye failed imeandika Moja apo wasiwasi wangu kwenye failed.lakin message nimetumiwa uku kuwa installment imekamilika niende ku confirm kwa loan officer apa ndo nataka nijue ili niende na...
  5. K

    KERO Changamoto ya kupata fedha za kujikimu kutoka HESLB ni janga kubwa Kwa wanafunzi walio Appeal, mtandao hakuna

    Tangu kuzinduliwa Kwa application Mpya ya kusaini pesa za kujikimu maarufu kama HESLB wallet mtandao hakuna watu wamepewa pesa lakini wanashindwa kusaini kutokana na tatizo la mtandao.. Ukienda HESLB head quarters wanasema mtandao hakuna. Sasa mnataka watu waishije jamani njaaa imekuwa njaaa...
  6. K

    Msaada kuhusu HESLB, Maisha magumu hela hakuna boom hawaweki

    Wakuu Naomba kuuliza kama Kwenye account yako ya sipa kuna allocation ya meals and accommodation pamoja na tuition fee! Ila hakuna disbursement wala check number. Na hujapata message ya boom shida inakuwa ipo kwa loan officer AU shida inakuwa Kule board ya mikopo? Mana loan officer chuoni...
  7. Naomba kuuliza tuliokata rufaa kweny dirisha la mkopo HESLB majibu lini?

    Jamani naomba kuuliza mwenye taarifa au uzoefu wowote atusaidie kwa sisi tuliokata rufaa kweny dirisha la mkopo HESLB majibu lini tujue wapo kimya hatuelewa lolote jamani
  8. T

    KERO Chuo cha DIT hakijatuma taarifa zetu HESLB, Wanafunzi hatujapata ‘boom’ wiki ya 5 sasa, hali ni ngumu

    Chuo Habari zenu wakuu, Sisi Wanafunzi tunaoendelea na mwaka wa masomo ukitoa wale wa Mwaka wa Kwanza ambao ni wapya hapa Chuo cha DIT (Dar es Salaam Institute of Technology) tuna changamoto ya Chuo kutotuma taarifa zetu kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Tulifungua Chuo...
  9. Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi itazamwe kwa ukaribu

    Baada ya HESLB kufunga maombi na kutoa twakimu ni wazi bodi hii inakosa muelekeo katika vipaumbele vya kozi za kutoa mikopo. Katika soko la ajira na kujiajiri ufundi wowote ungefaa kuwa kipaumbele katika utoaji wa mikopo. Pili kinachotolewa mkopo ni kozi au Hali ya mwanafunzi. Ukiangalia kwa...
  10. L

    Sipati Disbursement kwenye account yangu ya HESLB

    Habarini. Leo watu wengi disbursement zimekua displayed kwenye account zao za Heslb Ila kwangu bado hakuna mabadiliko. Kwanini?
  11. Nashindwa ku-apply for appeal kwenye kiunganishi cha Bodi ya Mikopo (HESLB)

    Mwenye kuelewa namna ya kufanya Apply For Appeal kwenye mfumo wa OLAMS HESLB naomba msaada maana kila nikiingia mfumo unaniandikia "An Error Occurred Please Try Again" Msaada kwenye tuta wakuu
  12. Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024

    Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024. 1.Wengi wanapata hii msg “Your verification has been passed successfully ,regular visit your account for viewing application status “ mpaka leo hii tar 3 November 2024 jumapili kimya.Hii...
  13. Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024

    Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024. 1.Wengi wanapata hii msg “Your verification has been passed successfully ,regular visit your account for viewing application status “ mpaka leo hii tar 2 November 2024 jumamosi kimya.Hii...
  14. Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024

    Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024. 1.Wengi wanapata hii msg “Your verification has been passed successfully ,regular visit your account for viewing application status “ mpaka leo hii tar 2 November 2024 jumamosi kimya.Hii...
  15. Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024

    Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024. 1.Wengi wanapata hii msg “Your verification has been passed successfully ,regular visit your account for viewing application status “ mpaka leo hii tar 2 November 2024 jumamosi kimya.Hii...
  16. Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu HESLB imetimiza miaka 20, je imekuwa msaada ipavyo kwa wanafunzi wasiokuwa na uwezo kufikia elimu ya juu?

    Ni takribani miaka 20 sasa tangu mwaka 2004 ambapo Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB) ilianzishwa na imekuwa ikitegemewa na idadi kubwa ya wanafunzi wanaomaliza kidato cha sita kuelekea vyuo vikuu. Licha kutoa mikopo kwa wanafunzi wengi lakini bado imekuwa ikilalamikiwa na...
  17. Majibu ya HESLB

    Habari Wana JF. Baada ya dirisha la 4 dogo account yake inasema hivi Bodi ya Mikopo (HESLB)
  18. Jinsi ya kusitisha mkopo heslb

    Habarini wakuu kama title hapo juu inavojieleza.... nimepewa mkopo kwa mwaka wa masomo 2024/2025 lakini kuna mambo hayajakaa sawa hivyo sioni kama naweza kusoma this year hivyo basi naombeni msaada kwa anayejua utaratibu wa kusitisha mkopo wa elimu ya juu (HESLB)
  19. DOKEZO Bodi ya Mikopo ya elimu ya juu (HESLB) wanataka kukiuka mkataba wa kimalipo kwa wanufaika

    Bodi ya mikopo (HESLB) kwa hili mnataka kuvuka mipaka kwa kutaka kukata pesa za posho kwa intern (watarajali) doctors, nurses etc. Kwanza intern sio muajiriwa anakuwa katika mafunzo kwa njia ya vitendo na halipwi mshahara anapewa posho ya kujikim ndio maana TRA hawawakati kodi. Pili mkataba...
  20. Msaada kuhusu status ya HESLB

    Wadau naombeni ushauri wenu, ikiwa status ya HESLB ina onyesha hivi, je unatakiwa u upload passport size picha au laah, maana kuna mdau kaniambia kwamba hautakiwi u upload picha, hiyo sehemu ni wao wenyewe wata upload, ushauri tafadhali kwa wenye kujua kuhusu hili.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…