Wenzangu naomba munisaidie Kuna huu ujumbe wa HESLB ukiangalia ALLOCATION za akaunti zetu za SIPA! Unamaana Gani pia utachukua MUDA Gani Hadi kukaaa sawa au kurudishwa katika Hali ya kawaida?
Kuna kijana nimemfanyia application ya mkopo heslb,sasa toka jana naona account yake imebadilika na kuwa SIPA, sasa nikiingia kwenye allocations za mkopo inanipa ujumbe huo hapo chini.
Je, hii inaashiria kakosa au kapata mkopo?
Wanafunzi wa shahada mwaka wa kwanza 30,311
Wanufaika 2,157 mikopo ya ‘Diploma’
Wanafunzi 588 kunufaika na ‘Samia Scholarship’
TZS 99.7 bilioni kutumika kuwagharimia mikopo, ruzuku TZS 2.9 bilioni
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Jumatano (Oktoba 09, 2024) imetangaza...
Kama head inavyojieleza, hivi kuna uwezekano mdaiwa akaangalia deni analodaiwa HESLB pasipo kwenda ofisini kwao?
Na kama hakuna huo uwezekano kwanini wasiweke mifumo online watu tukawa tunafuatilia mwenendo wa madeni yetu?
SOME ADDITIONAL CONTENTS.....
JAMANI NIMEINGIA KWENYE ACC YANGU KAMA...
Ndugu wana JF, hii changamoto nimeiona kwa watu kadhaa ambao application zao zina makosa ila hazijapewa uwezo wa ku edit na wamekiri kabisa hakuna option ya marekebisho na siku zinakimbia kufikia deadline.
Je, ni kuonesha bodi ya mkopo hawajazipitia hizo fomu za maombi au wanaangalia vipengele...
Bodi ya mikopo(HESLB) imeunganisha mifumo ya kimkakati Kwa ajili ya kuwafikia wanufaika wenye kipato lakini hawajaanza kurudisha mikopo hiyo.
Heslb imeingia makubaliano ya ushirikiano na wakala wa usajili, ufilisi na udhamini(RITA), NIDA na taasisi za kibenki lenye lengo la kuwatambua...
Wahitimu wa Diploma Chuo cha DIT hatujapata AVN Namba, tunashindwa kuomba Mkopo, tunaomba Bodi iongeze muda wa maombi
KUONGEZWA KWA MUDA WA MAOMBI YA MIKOPO 2024/2025
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa muda wa...
Sitachoka kuwalalamikia RITA, unatuma cheti cha kuzaliwa walichotoa wenyewe, wanakaa nacho zaidi ya wiki 3, baadae wanakujibu picha ya kivuli haionekani vizuri.
Wanakwambia kitume upya. Ukishakituma baada ya siku kadhaa wanakujibu cheti walichotoa wenyewe eti hakiko kwenye orodha...
Habari wanajamvi,
Kama kichwa cha habari kinavo jieleza tajwa hapo awali.
Mimi ni kaka na nina wadogo zangu wawili, mmoja kamaliza Kidato cha sita mwaka huu na mwingine yupo Kidato cha nne. Mi Sina elimu kubwa sana kitu ambacho huwa na wapambania sana madogo wasome wafike mbali ili watimize...
Hivi unapokwa umepata mkopo asilimia 100 hii inakuwa ina maana gani?
Pia soma: Ukipangwa mafunzo JKT na hujaripoti mafunzoni, je nikiomba mkopo HESLB nitapata?
Habari.
Naomba kwasilisha kero wanayopitia baadhi ya wanafunzi wanufaika wa mkopo unaotolewa na HESLB ambapo hela kwaajili ya kadi za bima ya afya kwenye akaunti zao inaonyesha wameshalipia lakini kadi haziko activated.
CHANZO CHA TATIZO
Kosa linalofanywa na HESLB ni kulipa hela hii moja kwa...
Kusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ Wanafunzi UDSM tuliokosa mikopo 2023 na waliopata mikopo kidogo tunaambiwa lazima tuwe na Kadi ya CCM ndio tutahudumiwa
UFAFANUZI: UANACHAMA WA CHAMA CHA SIASA SI SIFA YA KUPATA MKOPO
Jumanne, Agosti 13, 2024
Tunapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa...
Wajumbe wa Baraza Kuu La UVCCM Taifa wanaotokana na Vyuo na Vyuo Vikuu Nchini Tanzania leo Wametembelea Bodi ya Mikopo Ya Elimu ya Juu na Kukutana Na Mkurugenzi DR Bill Kiwia.
Imeelezwa kuwa lengo la Ziara hiyo ilikuwa ni kukutana na Wataalamu wa bodi na kuona ni namna Gani Wamejipanga...
Habari wadau poleni na utekelezaji wa majukumu ya Kila siku katika harakati za kulijenga taifa
Kero yangu ya leo inatoka kwa mamlaka inayohusika na usajili wa vizazi na vifo Tanzania RITA
RITA wamekuwa Wana makosa yake Yale Kila mwaka yanayojirudia na hivyo kukwamisha baadhi ya watu kupata Haki...
Kisheria bodi ya mikopo ya elimu ya juu pekee ndiyo bodi rasmi ya serikali ya kutoa mikopo, kulingana na vigezo mbalimbali vilivyowekwa. Wako vijana wanaokosa mikopo wakati wanavyo vigezo vyote, kwanini fedha hizo zielekezwe kwa wengine ilihali ni fedha ya umma na inatolewa kwa mfumo na...
Bodi ya mkopo kuna changamoto katika mfumo wake wa maombi ya mkopo(OLAMS) haufunguki kabsa. Sasa sijui watu husika wameshaiona changamoto hii maana muda ni mali na deadline ikifika wanapita mulemule hawakumbuki kuwa changamoto hii imechelewesha wanafunzi kufanya application mapema.
Kutokana na...
Hello good morning guys
Leo tuna huduma zifuatazo;-
1. Heslb Loan application
2. Tin no application
3. Ajira portal(ajira za ualimu)
4. Birth and death certificate
5 .University application
Karibuni kwa huduma
0711406248
Samahani, naomba kujua hivi bodi ya mkopo wa elimu ya juu Inatuchukuliaje Watanzania? Maana kwenye mwongozo wa mkopo wa diploma 2024/25 wanaruhusu mwenye elimu ya form four, certificate na form 6 aombe mkopo.
Cha ajabu ukiingia kwenye mfumo wa kuomba mkopo (OLAMS) education level wameweka...
Mimi ni Mtumishi wa Serikali, nilikuwa mnufaika wa mikopo ya Bodi ya Mikopo (HESLB) wakati nikisoma Chuo Kikuu!
Baada ya kuhitimu na kufanikiwa kupata kazi, nikaamua kulipa mkopo wote niliokuwa nadaiwa na Bodi ili nifute deni kisha nikaomba kiasi ninachodaiwa.
Kilichotokea wakanipa balance...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.