Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo (Ijumaa, Juni 28, 2024) imezindua Kampeni Maalumu inayolenga kuwashirikisha wananchi kwa kutumia simu na mitandao ya kijamii, kuwafichua wadaiwa sugu wa mikopo ya elimu ya juu.
Kampeni hiyo, inayofahamika kama Fichua imezinduliwa jijini...
Salaam!
Ni jumanne iliyo njema sana.
Moja Kwa moja kwenye mada.
Bodi ya Mikopo (HESLB) imekuwa ikiwaangamiza watumishi wa umma ambao waliwahi kuwa wanufaika wao walipoamua kujiendeleza kielimu bila kuzingatia kanuni ya 1/3 (Moja ya Tatu) ya mshahara. Nimeshuhudia na/kuona watumishi wakipokea...
Salaam Wakuu,
Nianze kuwatwanga maswali, hivi, enzi zenu ninyi wazee mlipokuwa mnatumia boon kusaidia familia zenu nani aliwaingilia huko? Mlipokuwa mnatumia boom kuwalipia wadogo zenu ada na kuwasaidia pesa za kujimu ili nao waweze pata elimu kama wewe kuna aliyewaingilia kwenye matumizi yenu...
Mbunge wa Iringa Mjini Madam Jesca Mtambasavangu bila kumung'unya maneno ameshutumu vikali tabia ya wanavyuo kutumia Fedha za Mkopo wa Kujikimu Boom kubeti badala ya kusoma na kutumia Kwa malengo yaliyokusudiwa.
Akiongea Bungeni Kwa Uchumi amewashangaa Vijana wanaodhani betting itawatoa...
bodi ya mikopo
boom kubeti
elimu chuo kikuu
heslb
jesca mtambasavangu
kukopesha mkopo
kukopeshwa boom
mikopo chuo kikuu
mikopo elimu ya juu
mkopo elimu ya juu
Tunaomba Mtusemee!
Hawa bodi ya mikopo Kuna figisu wanafanya mara ya kwanza walisema tarehe 20 Mei watatoa mikopo, lakini tarehe ishirini ikafika kwa SAUT Mwanza wakasema tuende tukahakiki account zetu za benki. Tukaenda hapakuwa na uhakiki, Ilikuwa ni kusaini makaratasi tu. Juzi wamesema...
Jambo hili huweza kusaidia Kwa namba moja au nyingine katika kujikwamua kimaisha mara baada ya masomo hivyo Kwa Tanzania tuitakayo Kwa kipindi Cha miaka 5 Hadi 25 jambo hili linaweza kuwa chachu ya mabadiliko miongoni mwa wanamabadiliko.
Hivi ukimaliza form six ukapangwa mafunzo JKT na hujaripoti mafunzoni je nikiomba mkopo HESLB nitapata? Naomba mwenye kufahamu hili anijuze. Natanguliza shukrani
Hi!
Welcome to our services.
We offer the following:
✅ Topic Selection Consultancy;
✅ Writing, Editing and Arrangement of Projects, Field Reports, Research Proposals, Dissertations & Theses
✅ Data Translation /Transcription (e.g. Kiswahili audio to English text or vice-versa)
✅ Data...
Salaam, Mimi ni mnufaika wa mkopo wa masomo kwa asilimia 50%. Nimekuta kwenye mfumo wameniandikia deni la 575,690,250.00.
Nimeshituka kwani nasoma miaka mi3 masomo ya ya ualimu na kwasasa nipo mwaka wa2.
NB: Mimi ni mwajiriwa
kwa mfano Mimi niliomba mkopo mwaka jana nikakosa je ninapoomba tena mwaka huu nikaweka barua ya kustaafu ya mzazi ambaye amestaafu mwaka jana je ninaweza pata mkopo? ( Ngazi ya shahada )
Ni mbaya sana. Yaani semester ya kwanza vyuoni inamalizika lakini watoto wengi wale waliopata mikopo batch ya mwisho hawajapata. Watoto hawa wamekuwa wakiingia na kutoka Ofisi za Maafisa Mikopo vyuoni na hata kwenye Ofisi zao hao HESLB lakini hawasaidiwi chochote.
Imeniskitisha nimekutana na...
Habari, Naomba tujadili hili ni sawa?
Tarehe 3 January 2024 bodi ya mikopo ilitangaza kuongeza KOZI mpya tatu zitakazonufaika kwa mikopo diploma na kueleza kuwa maombi ya mikopo yataanza tokea siku hiyo. Katika taarifa hiyo Bodi ya mikopo HESLB haijataja deadline au siku ya kufunga dirisha la...
Ofisi za HESLB -Mwanza wajirekebishe wanahudumia wateja kwa kujisikia na hawana haraka. Mfano mtu anataka statement ya deni lake tu inamchukua mtu masaa mawili hadi nane.
Hivi statement ya deni inafuatwa wapi?. Yaani mtu anatoka Morogoro hadi Dar se salaam hujapata loan statement.
Waziri...
Ni jambo la kushangaza kidogo lakini hali halisi ndiyo iko hivyo. Wanafunzi wanaosoma vyuo binafsi kada za afya wamenyimwa "Ada" huku wale wanaosoma kada zingine mfano ualimu wakipewa japo kitu kidogo.
Ndiyo mmewapa pesa ya kujikimu lakini kama mwanafunzi hawezi kujilipia ada yafaa nini...
Hadi sasa wanajamvi sielewi kama zile taarifa za kuwa mwaka huu zaidi ya wanafunzi 220000 wanatajwa kunufaika na mkopo wa masomo kutoka heslb kuwa ni kweli, kwa sababu kila siku hapa kitaa madogo walioenda chuo kwa bashasha lote wanarudi kitaani na sura zilizokosa tumaini kabisa, yaani ni huruma...
Habari Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo Cha utumishi wa umma (TPSC). Mimi ni mnufaika wa mkopo kwa bahati mbaya namba yangu ya simu ilikosewa wakati wa usajili, nmefatilia Sana bodi ya mkopo ili nibadilishe namba ya simu imeshindikana naambiwa watafanyia kazi lakin mpk leo Amna...
Habari Watanzania,
Napenda kuuliza hivi kama kuna ambaye amewah kuwa mnufaika wa HESLB na aka appeal (kata rufaa) na akaongezewa mkopo.
Ni mbinu gani ilitumika had akapata licha ya kuwa syo tasaf member, wazazi wapo wote na hamna ulemavu wowote.
Nimesema hivo kwa sababu mwaka wa Kwanza 60% ya...
Habari JF,
Naomba kuuliza, kuna amesikia tamko lolote kuhusiana na wanafunzi walioomba mkopo wa HESLB kwa ngazi ya postgraduate? au kuna yeyote aliyefanikiwa kupata?
Maana naona kimya kimetanda na vyuo vimeshafunguliwa huku wanaoambiwa wasubiri ni diploma peke yao.
Tamko la mwisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.