heslb

  1. Rajabu Quimberlry

    Nimejaribu kureset password ya HESLB imekataa, nafanyaje?

    Jamani msaada Mie password yangu kwenye account ya HESLB nilisahau. Nimejaribu kurecover, kureset password lakini imekataa. Sijui hata nifanyaje.
  2. Chidi master

    Hivi ukichelewa kusaini pesa ya kujikimu inarudi HESLB?

    Naomba kuuliza wadau. Hivi ukichrewa kusaini pesa ya kujikimu, pesa hiyo itarudishwa bodi na hutopewa tena hata ukisaini au inakuwaje? Naomba kujibiwa.
  3. J

    Nashauri serikali itoe mikopo kwa wahitimu kupitia HESLB

    Habari, Naishauri serikali kupitia bodi ya mikopo HESLB ianze kutoa mikopo kwa wahitimu wa vyuo vya elimu ya juu. mkopo uwe wa fedha taslimu milioni tano 5,000000/=. Mkopo huo utolewe katika vigezo na mazingira yafuatayo: Kabla ya kuhitimu kila mhitimu atatakiwa kubuni wazo la mradi ambao...
  4. R

    HESLB na uombaji wa mikopo kabla ya matokeo ya mitihani ya kidato cha sita

    Nadhani si haki bodi ya mikopo ya elimu ya juu kuwalipisha/kuwalazimisha wanafunzi kuomba mikopo kabla ya matokeo ya mitihani ya kidato cha sita. Point yangu ni kuwa: 1. Kama mtu amefeli, hana sifa za kuomba, kwanini alipe hizo 30,000 Tsh 2. Mkopo una vigezo, mfano Programu.. huwezi kujua...
  5. Eboo

    Msaada: Unawezaje kupata mkopo iwapo uli-discontinue chuo?

    Habari wanajamvi, Je, mnufaika wa mkopo katika mwaka uliopita na akadisco chuo, anawezaje kupata mkopo tena iwapo yupo kwenye chuo kingine kwa sasa? Kwa anayefahamu asaidie kushare tafadhali.
  6. Influenza

    HESLB: Hatujapunguza mikopo ya Wanafunzi. Tunatoa fedha za kujikimu kulingana na siku za masomo

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefafanua kuwa inatoa mkopo kwa Wanafunzi kulingana na siku za masomo kwa kila robo ya mwaka wa masomo Imeeleza kuwa kutokana na COVID19 siku za masomo za robo mwaka ya nne ya muhula wa masomo wa 2019/20 ambazo huwa ni 60 zimepungua kwa...
  7. mr mkiki

    Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha waandamana baada ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kukata pesa zao za kujikimu

    Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu- Arusha wakiandamana usiku huu kuishinikiza Bodi ya Mikopo Nchini HESLB kurejesha kiwango kilichosalia cha 510,000/= kwa mwaka huu wa masomo 2019/2020.
  8. T

    HESLB: Serikali imeanza kulipa Malipo ya robo ya nne ya Mwaka wa Masomo 2019/2020 kwa Wanafunzi 132,119 Jumla ya TZS 66.9 Bilioni

    Kama ilivyo kwenye sheria za bofi ya mikopo, kila mnufaika atapewa kiasi kinachoendana na siku alizokaa chuoni. Hapo awali kabla ya Corona, boom moja ilikuwa 505,000 hadi 520,000 lakini kwa mfumo huu itakuwa pungufu. Je, kama boom limepunguzwa, vipi kuhusu ada na direct cost? Vilipunguzwa...
  9. Mgiriki MTz

    Je, RITA wameshaanza kuhakiki vyeti vya kuzaliwa kwa wanaojiandaa kuomba mkopo HESLB?

    Habari wana jf, Husika na kichwa cha uzi naomba kujua kama RITA wameshaanza uhakiki wa vyeti kwa njia ya mtandao kwa vijana wanaojiandaa kuomba mkopo HESLB? Pia naomba kujua kama bodi ya mikopo,HESLB kama tayari wameshatoa vigezo vitakavyotumika mwaka huu? Nawasilishà. #jEshi.
  10. Victor Mlaki

    Fahamu mambo yafuatayo yanayofanyika katika urejeshaji wa mkopo wa elimu ya juu "HESLB".

    Kwanza kabisa ni ukweli usiopingika yapo maboresho makubwa yaliyofanywa na Bodi ya mikopo miaka ya karibuni kwa lengo la kuwa mfuko endelevu na kunufaisha Wanafunzi wengi zaidi. Mabadiliko hayo kwa kiasi kikubwa yamewaumiza walipaji wengi hususani walioanza kulipa kabla ya mwaka 2017. Kuna...
  11. Emman1985

    Je, katika suala hili naweza kupata mkopo kutoka HESLB

    Poleni na majukumu wadau. Nimehitimu chuo kikuu 2013 BSc. Ed. na kwa sasa naplan kurudi kusoma Medicine. Nikiomba mkopo kuna uwezekano wa kupata? Wenye uelewa katika hili naombeni taarifa tafadhali.
  12. sabuwanka

    Je, HESLB ina mchango katika kutokomeza umaskini?

    Wanabodi, poleni na majukumu pamoja na misiba iliyowakuta wenzetu wa moshi baada ya kukanyagana wakati wakati wakikanyaga mafuta ya upako chini ya neno la unabii kutoka kwa mtumishi mwamposa mnamo 01.02.2020 Pili, naendelea kupongeza juhudi za serikali ya awamu ya tano kwa kuongeza utoaji wa...
  13. beth

    Bodi ya mikopo yawatoa hofu wanafunzi

    MKURUGENZI MTENDAJI WA HESLB, ABDUL-RAZAQ BADRU, PICHA MTANDAO Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema ina fedha za kutosha na hadi jana imeshapokea Sh. bilioni 186 kutoka serikalini kwa ajili ya malipo ya miezi mitatu iliyoanzia Oktoba. Kauli hiyo imekuja ikiwa ni siku...
  14. Lexus SUV

    Ni benki gani huwa zinasaidia wanafunzi wa Vyuo Vikuu (bachelor degree students) wanaokosa mikopo kutoka HESLB

    Habari za leo wakuu? As regard with the heading above, ninapenda kuulizia ni benki zipi zinaweza wasaidia wanafunzi wa vyuo vikuu, mikopo ya ada tu (tuition fees), ili kufanikisha upatikanaji wa elimu kwa mlengwa? At any interest rate and which can be paid after completion of studies, maana...
  15. beth

    Waliokosa mikopo elimu juu wapewa matumaini

    Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha Serikali imesema kuwa wanafunzi waliopunjwa na wale waliokosa mikopo inayotolewa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB), wataipata kwa sababu kilichokwamisha ni mfumo. Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, William Ole...
  16. C

    HESLB mkimaliza kuwaumbua wadaiwa sugu Jumatato ijayo, muwaumbue pia na wale wanaofanya tatizo la ajira kuongezeka nchini

    Nichukue fursa hii adhimu kabisa kuwapongezeni watu wazima ambao ni Watendaji wa Bodi ya Mikopo nchini ( HESLB ) kwa kuweza kupoteza muda wenu mwingi, kujadiliana, kuchanganya fikra zenu hadi baadae mkaja na maamuzi ambayo Kwenu mmeona yana Tija ya kuwaumbua wadaiwa sugu wa mikopo na kuweka...
  17. deliverance man

    Msaada kwa anayejua kuhusu Third Batch ya mkopo wa HESLB

    Jamani kwa anaejua labda, kama kuna Third Batch ya mikopo kutoka HESLB maana naona hakuna taarifa yoyote. Kama unajua lolote naomba tujuzane inatoka lini?
  18. Mpogoro

    Bodi ya mikopo tujaribu ubunifu zaidi baada ya nguvu bila maarifa

    Siku chache zilizopita nilitumiwa picha ya frontpage ya gazeti moja likimnukuu Mkurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu akisema "Wadaiwa Bodi ya Mikopo Kusakwa Majumbani Usiku" nikashtushwa kidogo nikasema nitakapopata muda nitajaribu kuweka bandiko moja hapa nitoe maoni yangu kuhusu ulipaji...
Back
Top Bottom