Miaka mitano hii imeigawanya sana jamii. Ukiwa mfanyakazi Serikalini una nafasi fulani na inakupatia mshahara mzuri basi uliambiwa wewe unatakiwa uishi kama shetani awamu ya tano
Hapo inabidi umlipie feesza chuo mwanao. Mtoto ambaye wazazi wake hawaonekani kuwa na uwezo mzuri kiuchumi wanapata...
Bado nalia na Sheria ya Bodi ya Mikopo ya 2016.Leo nimesoma katika gazeti moja la nipashe majibu kuhusu Utekezaji wa Sheria hii.
Pamoja na mambo mengi Bodi wanasema wanakata asilimia 15 badala 8 na Retention fee inayokatwa kwa mdaiwa eti Sheria hii ilihusisha wadau ikiwemo vyama vya wafanyakazi...
Hawa wabunge wangu wa Tanzania nilikuwa nawasubiri kwa hamu kila kikao cha bunge angalau mmoja atapaza sauti juu ya hiki kilio cha watanzania juu ya asilimia 6 inayojulikana kama retention fee.
Ukweli ni kwamba hakuna wakuhoji Ile Sheria. Sheria Ile kama ingetokea kwamba ipigiwe Kura, nahisi...
Let's assume mtu aliyesoma sayansi na kupata mkopo 100% ambao jumla ni kama milioni kumi (10,000,000) akakaa mtaani miaka saba, akapata ajira ya ualimu mshahara wa mtu laki tano.
🇹🇿Huyo atakua na penati ya 10% kwa miaka mitano = 10,000,000*10%*5=5,000,000
🇹🇿 Mwisho wa mwaka atapigwa value...
Baada ya Mwl. Iddy wa Geita kufichua uonevu wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, Hatimaye Bodi wameamua watoke hadharani tena ni Jumapili [emoji116][emoji116][emoji116]
Watu mbalimbali wamehoji kwa nini Watumishi wanapoidai Serikali hakunaga hiyo 'Rentetion fee'?
Abdul Razaq Badru Mkurugenzi wa Bodi amefafanua kwamba mnufaika ataanza kulipa baada ya miezi 24 [miaka 2 ] kama hana ajira.
Baada ya hapo Deni linakuwa kwa 10% kila mwaka.
Watu ambao hawajaajiriwa kwenye sekta rasmi wanapaswa kurejesha 100,000/= au ASILIMIA KUMI 10% ya pato analolipia kodi...
Hebu kila mtu atazame kwa umakini Risiti ya Mshahara (Salary Slip) ya mtumishi huyu (Mwalimu) aliyesoma kwa pesa za bodi ya mikopo - HESLB...
Ni mjadala unaoendelea ktk group moja la WhatsApp huko na hiki ni kilio cha mwalimu huyu ambaye sasa yuko very frustrated na hajui afanyeje ku - overturn...
Walibadilisha sheria ya makato kutoka 8% mpaka 15%. Mabadiliko haya yakawahusu hadi wale ambao walikuwa wanakatwa 8% katika mshahara. Wadau walipiga kelele lakini bodi hawakujali.
Sasa wameanza tena uhabaishaji wao kwa kuongeza makato (retention fee) kitu ambacho hakipo katika mikataba ambayo...
Ugumu mnaopata nyinyi kulipa madeni, ndio huo huo wanaoupata wananchi wa kawaida wenye madeni lukuki kwenye salary slip zao, ila hamkujali mkawaongezea makato ya Bodi ya Mikopo kutoka asilimia 8 mpaka 15 ya Basic salary.
Kwahiyo, leo mnapoomba kupunguziwa madeni, kwa hakika sisi wengine...
Wadau nauliza utaratibu wa HESLB 2020/2021 juu ya wanafunzi wa POSTGRADUATE kunako upewaji wa Mkopo, JE nawao wanaunganishwa kwenye hizi BATCH 2 zilizotangazwa?
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefafanua kuhusu taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusiana na utaratibu wa kupata majibu ya maombi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu katika mwaka wa masomo 2020/2021.
Taarifa iliyotolewa leo Jumatatu (Oktoba 19, 2020) na Mkurugenzi...
Hili genge liitwalo ccm limefanikiwa kutugawa na sasa tumegawanyika vipande vipande. Kuna ambao wanaona nguo, tshirts, kofia, khanga, lift, chakula na fadhila nyingine ni muhimu sana kwao kwa sasa kuliko hata ahadi na ilani ya uchaguzi.
Kuna ambao mikopo midogo midogo, bendera na mabango ni...
Nimepitia masharti niliyosaini katika mkataba wa kuomba mpoto wa kufadhiri masomo yangu ya elimu ya juu,kati yangu na Bodi ya mikopo (HESLB) nimegundua sikuelewa na hata kama ningeelewa ningesaini tu, kwa sababu ya uhitaji niliokuwa nao.
Lakini kuna masharti magumu sana hasa ukizingatia hatujui...
HESLB YATOA SIKU TANO (05) ZAIDI KUOMBA MKOPO
Ni kuanzia Oktoba 1 hadi 5, 2020
Lengo ni kuwapa fursa vijana waliokuwa JKT kuomba
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inawajulisha wanafunzi waliomaliza mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) hivi karibuni kuwa mfumo wa kuomba...
Habari..!!
Kwa mujibu wa tangazo la HESLB limeonesha kuwa kuanzia leo wametoa fursa kwa waombaji kurekebisha taarifa zao. Binafsi nilitumia partial transcription na sasa ninayo full ila sijapata information yoyote naona naambiwa siwezi kuedit wa kuchange kitu chochote.
Kwa yeyote aliyepata...
Lissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi.
- Bima ya afya kwa Watanzania wote.
- Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka.
- Hakuna tena kukatwa asilimia 15 kisa mkopo. Tutakatwa asilimia tatu tu.
- Elimu ya maarifa, kubadili...
afya
barabara
barua
bima
ccm
chadema
elimu
fedha
haki
heslb
kampeni
kesi
kilimo
lissu
lisu
maendeleo
magufuli
mahakama
mpya
mshahara
mzalendo
pikipiki
rais
serikali
sheria
siasa
tanzania
tundu lissu
uchaguzi
uchumi
urais
usalama
ushauri
viwanda
wafanyakazi
wananchi
watanzania
watumishi wa umma
Binafsi tumezoea kuona miaka yote bodi ya mikopo inafungua dirisha kwa Mara ya kwanza na wanafunzi wanatuma maombi then baada ya kufika deadline dirisha linafungwa.
Baada ya dirisha kufungwa, heslb wanaanza kuchekecha majina ya waombaji wa mikopo ndani ya siku kadhaa na mwsho wa siku kutoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.