heslb

  1. Mzalendo Uchwara

    Ahsante Rais Samia, hatimaye HESLB wafuta VRF kwenye system yao

    Kama tunavyojua, kwa mujiba wa katiba yetu Mheshimiwa Rais halazimiki kufuata ushauri wa mtu yeyote yule. Hivyo basi tunapokuwa na rais msikivu tena anayefanyia kazi maoni na malalamiko ya watu wake ni baraka kubwa kwa taifa Kwa sasa ukiangalia statement ya deni lako kwenye mfumo wa bodi ya...
  2. R

    HESLB itaifuta tozo ya adhabu 10% kama ilivyoagizwa na serikali?

    Akiwasilisha makadirio ya bajeti ya Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia tarehe 9. 04 May 2021, aliiagiza bodi ya wakurugenzi ya heslb kufuta makato ya 10% yanayotozwa na bodi kwa waliochelewa kurejesha. Kumekuwa na ukimya kama kwamba hilo agizo halipo na website ya bodi hakuna tangazo la...
  3. S

    Uhakiki vyeti ili kuomba mikopo ya HESLB unafanyika vipi?

    Mwenye ufahamu wa namna ya kuhakiki vyeti ili kujitayarisha kuomba mikopo ya HESLB anisaidie process inafanyikaje na vyeti gani vinahakikiwa
  4. kurlzawa

    Serikali na Bodi ya Mikopo (HESLB), naomba ufafanuzi wa utaratibu wa kukata pesa ya mwisho ya kujikimu

    Habari za mda huu wakubwa, Nilikuwa naomba ufafanuzi kuhusu huu utamaduni mpya ulioanzishwa mwaka jana na serikali ya hayati magufuli ya kukata pesa ya mwisho ya kujikimu kwa kisingizio cha Corona sasa napenda kufahamu je safari hii nini kimepeleakea hilo? Je, Rais samia ameamua kuiga...
  5. Clark boots

    Hivi ni kweli HESLB wamepunguza boom quarter 4 hii semester

    Wadau nasikia kuna baadhi ya vyuo wamepunguziwa boom lao la mwsho kwa semester hii, hizi habari ni za kweli? Kama ni kweli hizi pesa zinazokatwa na bodi kwenye booms za wanafunzi huwa zinapelekwa wapi au wanapiga tu hawa waliopewa dhamana pale HESLB.
  6. Elisha Sarikiel

    Tanzania Commission for Universities (TCU) Admissions Almanac for 2021/2022 Admission Cycle

    Tanzania Commission for Universities: News & Events 1. Final_Third Draft Admission Guidebook Equivalent Applicants 19052021.pdf 2. Undergraduate Admission Guidebook for 2021/2022 (For Holders of Form Six Qualifications) 3. Undergraduate Admission Guidebook for 2021/2022 (For Holders of...
  7. kidadari

    Vipi updates za Bodi ya Mikopo (HESLB) kuhusu Value Retention Fee (VRF)?

    Baada ya tamko la Rais kuhusu kufutwa kwa Value Retantion fee iliyokua inalalamikiwa Bodi ya mkopo ilitoa taarifa kuwa wanafanya marekebisho ya taarifa za wanufauka wanaolipa mkopo na kutoa taarifa za kula hatua waliyofikia. Kimya kilichopo kinaonyesha kua yawezekana wanaweza kuja na formula...
  8. RoadLofa

    Uporaji pesa za mkopo za wanafunzi Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA)

    Imekuwa ni utaratibu wa chuo cha uhasibu Arusha kukata kiasi cha pesa cha chakula na matumizi mengine(Boom) kwa wanufaika wake kila mara wanapotakiwa kuwapa kwa muda wa kila baada ya miezi miwili, ambacho ni kiasi cha tsh 500,000 kwa kila baada ya miezi miwili. Lakini wamekuwa wanawacheleweshea...
  9. Trubarg

    Bodi ya Mikopo HESLB mbona kimya?

    Mei mosi Mheshimiwa Raisi alisema kwamba wanaondoa retension fee kwenye mikopo ya vyuo vikuu.. Kwa akili yangu ndogo nilitegemea bodi ya mikopo ingetoa mwongozo wa kipi kinafuata kam taasisi zingine zinavyofanya pale wanapopewa muongozo na viongozi wao.. Kinyume naoma mwezi wa pili huu unaenda...
  10. R

    Sifa za kupata mkopo HESLB ziangaliwe upya kabla ya maombi Juni 2021, hasa kigezo cha kuwanyima mkopo waliosoma shule binafsi

    Kigezo cha mtoto mbaye amesoma private schools asipate mkopo si sahihi. Wazazi wengine wanakuwa wamestaafu, wameacha kazi, wamekufa etc, kutumia kigezo hicho ni kutowatendea haki. Au pia uwezo wa biashara yake umekufa kama wakati wa Mwendazake biashara nyingi zilikufa na...
  11. Doctor Mama Amon

    Spika Ndugai alitaka Bunge kubadili Sheria ya HESLB ili wanafunzi wa VETA na NACTE wapate mikopo pia

    Nimependa mapendekezo ya Spika leo. Anataka kuona sheria inayowapa mikopo wanafunzi wa TCU, VETA, NACTE. Anataka 70% ya fedha za HESLB ziende ktk sayansi na teknolojia. Ameyasema haya kwenye kilele cha mashindano ya sayansi, teknolojia na ubunifu. Kila la kheri wabunge wetu. Tumieni hati ya...
  12. A

    Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) kutotoa huduma saa nzima

    Bodi ya mikopo Elimu ya juu nchini husitisha kutoa Huduma kwa muda wa saa nzima, hutumia lisaa zima kwaajili ya kula, wakati huo huduma husitishwa mpaka watakaporudi, hii imeekaje huko kwingineko katika taasisi za umma?
  13. Opportunity Cost

    Ufafanuzi wa kufutwa kwa VRF kwa wanufaika wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, waajiriwa tegemeeni kuongezeka kwa take home

    Nawasalimu kwa jina la JMT Kulikuwa na maswali kadhaa kwamba je Salary itaongezeka baada ya kufutwa kwa tozo ya VRF ya 6% kwa wanufaika wa mikopo ya Elimu ya Juu au hapana. Jibu ni kwamba take home itaongezeka maana makato ya 15% kwenye mshahara wa mwajiliwa nayo yana mchanganuo wake kwa...
  14. M

    Kuhusu Value Retention Fee(VRF) ya HESLB

    Habari za jioni waungwana Nilikua naomba kuuliza kuhusu hii Value Retention Fee ambayo ilikua inatozwa kwenye mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu Kulingana na tamko la muheshimiwa Rais kwamba hii tozo imefutwa rasmi, lakini sasa nashindwa kujua je kwa wale ambao washaongezewa mzigo wa deni...
  15. WAZO2010

    HESLB: Baada ya Rais kafuta retention fee-6%-heslb tunaomba statements mpya

    Leo May, 1, 2021. Rais Samia S. Hassan ametangaza kufuta riba ya retention fee ya 6% (Riba ya wizi). Awali tulilipa 10% kama riba ya thamani yote; japo wao waliita penati. Ukweli una bakia kuwa ni riba tu. Na 6% kama retention fee (riba ya kutunza thamani ya fedha). Na makato kwa ujumla yalikuwa...
  16. las Casas

    HESLB mnataka tufe kwa pressure?

    Mimi ni mnufaika wa Bodi ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB). Nilianza kulipa deni langu la shilingi milioni 6.5 mwaka wangu wa pili tu baada ya kuajiliwa. Nililipa deni langu katika kipindi cha miaka nane. Nimeshtushwa na barua niliyoandikiwa ofisini kwamba nina deni HESLB. Nimemaliza deni...
  17. T

    Bodi ya Mikopo HESLB waanza kuwakata watumishi wa TGTS B kabla hawajabadilishiwa muundo wa utumishi

    Ikumbukwe kwamba mtumishi ngazi ya cheti anaanza na TGTS B, akijiendeleza akapata shahada anatakiwa kubadilishiwa muundo na kufikia TGTS D ambayo ni mshahara ngazi ya degree. Kwa wale waliojiendeleza wakati wa awamu ya tano (certificate na diploma) na wameshamaliza shahada zao na wakati wa...
  18. M

    Rais Samia itazame upya HESLB na ikiwezekana Wazingue

    Mh. Rais ninakusalimu kwajina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwaufupi ninashauri Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu itazamwe upya. Menejimenti ni mbovu, huduma sio rafiki, wahitaji kama yatima na maskini hawajapewa Mikopo na wengine wameacha vyuo na wakati huo wapo ambao wanamudu kujisomesha...
  19. Chinga One

    Nilitegemea Rais angeongea kitu kuhusu bodi ya Mikopo HESLB

    Kwa bahati mbaya sana Mama Samia hajagusia kitu kuhusu hawa mumiani, hope next time atanena lolote, sababu amekiri kuwa ni mdau wa mitandao na malalamiko yetu kwa bodi yamejaa sana huku 'sosho midia'
  20. Infantry Soldier

    Kwani Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) haiwezi kuwa na accounts za malengo kwa wanafunzi wa darasa la kwanza?

    Habari zenu waungwana wa humu jamiiforums Kwanini Bodi ya mikopo ya elimu ya juu (HESLB) isianzishe campaign ya kuhamasisha wazazi kuanza kuwalipia watoto wao pesa kidogokidogo katika accounts maalum ya bodi wangali wakiwa bado wanasoma elimu ya msingi (Darasa la Kwanza)? Jenga picha mtoto...
Back
Top Bottom