Nimejaribu ku upload form na 2 na 5 kwenye account yangu ya HESLB nikirudi kuview form hazionekani.
Ni wapi nakosea? Maana hizi siku za kufanya marekebisho naona zinakimbia balaa
HESLB Four Days For 2982 Applicants To Complete Loan Application Procedures The Higher Education Student Loans Board (HESLB) has given four days from October 4-7, this year to 2,982 students who applied for loans in 2021/2022 to make adjustments to complete their application procedures.
For...
HESLB YATOA SIKU NNE WAOMBAJI KUFANYA MAREKEBISHO
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa muda wa siku nne kuanzia Oktoba 4-7, mwaka huu kwa wanafunzi 2,982 walioomba mikopo kwa mwaka 2021/2022 kufanya marekebisho ili kukamilisha taratibu za maombi yao.
Ili kupata taarifa za...
Maisha yako kasi sana na kila kitu kipo ndani ya muda unaweza kulala mchana ukashtuka ni usiku,ukalala usiku ukajashtuka jioni ya siku ya pili yaani dunia inazunguka kwa kasi ukizubaa inakuacha kama ambavyo wasomi wanapishana na MAFANIKIO YA NDOTO ZAO kwa jina la MAISHA HAYANA FORMULAR,huzuni...
Nawasalimu kwa Jina la JMT,
Sera ya bodi ya mikopo ya Elimu ya juu ( HESLB ) dhidi ya wanaopewa mkopo 100% ni wale tu wanachukua masomo ya Sayansi kama Udaktari,
Wale wanaochukua masomo yasiyo ya Sayansi hupewa mkopo chini 100%
Mambo ni tofauti kwa awamu ya Sita chini ya Rais ya Samia...
Bodi ya Mikopo kwa elimu ya juu (HESLB) wamesema Wanafunzi 782 kupata mikopo asilimia 100 mwaka huu.
Chanzo cha habari: Mwananchi.
My take: Hivi hii number ni sahihi kuwa bodi ndio imetoa? Au mwananchi wamejichanganya kwenye kuandika number maana idadi hiyo ni sawa na idadi ya kozi moja kwenye...
Nilitunza kumbukumbu za deni la mkopo wa wanafunzi elimu juu HESLB lililobaki hadi mwezi Juni 2021 la mtandaoni ili nije nilinganishe na la mwezi unaofuata nione kama linapungua nimebaini halipungui sijui shida iko wapi?
Hali ikoje kwako mkuu, mbona sasa nashindwa kuamini hata taarifa za...
1. Utangulizi
Inawezekanaje tutumie vyuo vikuu kukabiliana na tatizo la ajira ikiwa wahitimu wa vyuo hivyo ndilo kundi linaloongoza kwa kusota mitaani bila ajira?
Japo ni kweli kuwa tatizo la ukosefu wa ajira nchini linadhihirika zaidi miongoni mwa wahitimu wa vyuo vikuu, ni vyema tukataraji...
Ndo hivyo, inaonekana sasa!
Niliaminishwa nitakuta deni la HESLB limepungua kutokana na kutolewa ile nyongeza kama alivyoamrisha Mh. Rais; HAKUNA BADILIKO!
Nilisikia kuna kanyongeza ka 2500 ka kupatia mo energy za jero tano kwa ajili ya kuinjoi na familia kila mwisho wa mwezi; HAKUNA KITU.
Dah!
Baada ya tangazo la kuondoa retention fee na tuseme tu haya ndio matokeo ya Rais mpya halafu eti wananchi wanalalamika yule ameondoka wanateseka kumbe Kuna walioibiwa miaka na miaka.
Wajuzi wa haya mambo, unayo hiyo statement na unaendelea kukatwa Deni. Ina maana ipi.
Habari za leo leo washikadau,
Nimesikia kwamba inapotokea ofisi yako imekukata zaidi kwenye mshahara wako kuliko deni lako halisi bodi ya mikopo wanarudisha hela yako ndani ya siku 90.
Hapa naongelea mfano deni lako lote lilikua ni milioni 5 lakini kwa bahati mbaya ofisi yako ikakata miezi...
Kichwa cha uzi kinajieleza. Hadi leo sijaona dalili za vijana kupewa muda wa kurudi nyumbani ili wa process maombi yao kwa kushirikiana na familia zao. Miaka iliyopita nini kilifanyika?
BODI YA MIKOPO YAZIDI KUWAKANDAMIZA WATANZANIA MASKINI: RAIS WETU TUSAIDIE KATIKA HILI
Anaandika Justus Mbawala, 0753 917802 (Copy And Paste)
Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru sana mama Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa namna alivyoweza kusikiliza kilio cha muda mrefu...
Bodi ya Mkopo imefungua leo usiku maombi ya Mikopo kwa wanafunzi.
Fungua link hii kufanya applications. https://olas.heslb.go.tz/index.php/olas/pre_applicant/
Kwa wakazi wa Tegeta, Boko , Bunju, Bagamoyo wafike internet cafe iliyopo boko chama kwa mawasiliano tuandikie email...
Samahan wadau,
Kumekuwa na link inyosambazwa https://olas.heslb.go.tz/index.php/olas/user/register/repay?t=2 ukiingia inaonyesha deni tofauti na lile lililopo kwenye salary slip kwa wale walioanza kukatwa.
Je, hii ina maana gan? Kuna marekebisho tusubiri au huu mfumo hauna correlation na...
Hatimaye yale malalamiko kwa bodi ya mikopo kwamba watu wamekatwa lakini deni halionekani kupungua. Baada ya kimya cha muda huku malalamiko yakiendelea wameamua kujibu. Ni wakati mwafaka kwa hazina nao kujibu.
Baada ya kuambiwa waoendoe 10% penalty na 6% kama VRF yaani huwezi amini balance ya Deni la heslb mwezi may na June 2021 inatofautiana kwa Shs 15/= tu wakati makato ya 15% kwenye basic salary yamebaki constant!
Ama kweli naanza kuamini kwamba hii board haina nia nzuri na watanzania maskini na...
Bodi ya mikopo mlitoa tangazo dirisha la maombi ya mkopo kwa mwaka 2021/2022 litafunguliwa tarehe 01 July 2021, lakini hadi muda huu halijafunguliwa na hata website yao inasumbua kufunguka.
Ingekuwa vzr kama kuna mabadiliko yoyote mngetujulisha wadau tukajua.
Hello Wadau!!
Tumekuwa na tatizo la upatikanaji wa Kilipia Mshahara (Salary Slip) kwa miezi kama miwili mfululizo
Hatimae mwezi June Salary Slip zinapatikana kwa mtandao
Nilichokiona ni kuongezeka kwa deni la Bodi ya Mikopo (HESLB) kwa zaidi ya 100%
Hiki kinanifanya nijiulize
Mosi, ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.