Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu wamemgomea waziri wa elimu, kwa kuipiga stop kamati yake chunguzuzi kukanyaga HESLB.
Kutokana na uzito wa wajumbe wa bodi hiyo, waziri alishindwa kuwafanya kitu na badala yake aliibukia kwenye media na vitisho uchwara kwamba atawala vichwa...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameionya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) akidai inaingilia kazi ya timu aliyoiunda kuchunguza uhalali wa utoaji wa mikopo kwa wanafunzi.
Timu hiyo iliundwa Julai 31 mwaka huu, baada ya kuwapo malalamiko mbalimbali...
Habari za asubuhi,
Leo ndio tar 27, kuna mwombaji wa mkopo yoyote yule ambaye amepata update kwenye dirisha la tatu? Kwa ndugu yangu ngoma bado mbichi.
Kwema watu wa Mungu?
Naomba kuuliza,hawa heslb wamemwekea mdogo wangu hii status kwenye account yake.
Je kuna matumaini yoyote ya kupata mkopo kweli au ndiyo nijipange na mapema tu kumtafutia ada?
NOTE:amechaguliwa SUA kozi ya veterinary medicine.
Wanufaika wapya wa Mkopo zaidi ya elfu 20 HESLB 2022/2023 | Majina ya Waliopata Mkopo
Habari njema kwa waombaji wote wa mkopo wa HESLB, Allocation ya mkopo bechi ya kwanza sasa inapatikana mtandaoni kuangalia allocation ya mkopo Tembelea Tovuti ya HESLB ya Maombi ya Mikopo na Mfumo wa...
Ukifika ofisi za Bodi ya Mkopo Elimu ya Juu unachokutana nacho ni foleni kubwa ya watu waliomaliza makato kusitisha mwezi mmoja au miwili na baada ya hapo ni kuanzia tena kukatwa kupitia mshahara. Ukifika kulalamika wanakupa fomu ujaze na baadae unapewa barua kwenda kwa mwajiri kusitisha...
Leo nilienda ofisi ya HESLB kuchukua barua ya kumaliza mkopo sijui ndio inaitwa liquidation letter (wasomi msaada kama nimekosea)kwani mimi binafsi nilimalizana nao toka 2019 lakini nilichokutana nacho ni hiyo 540,360.67
Nimeomba maelezo huyo dada wa reception hata nilikuwa simuelewi , mara oh...
Habari zenu?
Nimemfanyia application mtoto wa sister angu,so leo nimeingia kwenye account ya mhusika,nimekuta wamemuwekea hicho kialama chenye nyota nyeupe,ikumbukwe hicho kialama siku za nyuma hakikuwepo.
Je kwa wenye uelewa,hicho kialama kina maana gani?
Nipo nafanya maombi yangu ya mkopo wa elimu ya juu kwenye tovuti ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu.
Nimefika sehemu ya mdhamini, kila nikijaza taarifa za mdhamini na kusave napata hiyo shida kwenye picha. Je sababu ni nini.
Bodi ya mikopo HESLB eneo la select applicant category halifanyi kazi kwenye online form yenu
Vijana wanashindwa ku select category
Watu wa IT rekenisheni
Nimeanza hatua za awali za maombi ya mkopo na nimepata control number na kufanya malipo lakini hadi sasa sijaweza kuendelea na hatua zinazofuata, kila nikijaribu ku relod inagoma.
Habari wadau,
Naomba aliyefanikiwa ku upload file la nida kwenye mfumo wa maombi ya mkopo maana nimejaribu zaidi ya mara tatu inanigomea , au kuna sehemu nakosea?
KASI YA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA ELIMU, CCM YATOA NENO KWA RAIS SAMIA
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika sekta ya elimu, unaendelea kutoa matunda mazuri katika sekta hiyo...
Na Mwandishi Wetu, Dar es salaam
Wanasheria 5,065 waliokopeshwa zaidi ya TZS 10.6 bilioni kama mikopo wakiwa wanafunzi wa Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria Tanzania (Law School of Tanzania - LST) sasa watapaswa kurejesha mikopo hiyo kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB)...
Kwako Mheshimiwa:-
Lengo kubwa la ujumbe huu ni kukufahamisha juu ya HESLB kuondoa allocations za field kwa wanafunzi wa mwaka wa pili ambao hawakuwa na field mwaka wa kwanza. PASIPO KUTOA TAMKO LOLOTE HADI SASA.
Mheshimiwa,
Nikupe historia juu ya upangaji wa mkopo kwa wanafunzi wa chuo kikuu...
POST PROCUREMENT AND SUPPLIES OFFICER GRADE II – 1 POST
EMPLOYER Higher Education Student Loan Board (HESLB)
APPLICATION TIMELINE: 2022-06-05 2022-06-18
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.To receive all purchased goods as per terms & conditions of the contract/LPO and reports submitted by the...
Habari za wakati huu kwenu.
Kwanza nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa ukuu wake na rehema tele atupazo katika maisha haya.
Nimekuja hapa, nikiamini nitapata msaada na ushauri wa kimawazo juu ya suala tajwa hapo juu.
Ipo hivi, mnamo mwaka 2020 bodi ya mikopo elimu ya juu (HESLB) ilifanya...
Naendelea kupata ukakasi kutoka vyombo hivi viwili. Mwenye mamlaka ya kukata fedha za mtumishi ni mwajiri kwa mkataba maalumu pale inapohitajika.
Nirudi kwenye mada, bodi na utumishi wamewabambikia watumishi madeni ya HESLB. Ukiuliza bodi wanadai hawahusiki na risiti za mishahara, utumishi...
Tunaishukuru Serikali kuondoa adhabu kwenye deni la bodi ya mikopo elimu ya juu.
Kuna waliorejesha na kupitiliza, wanahitaji kurejeshewa kiasi kilichozidi baada ya kulipa deni.
Ni zaidi ya miezi sita sasa sijaona nikirejeshewa kiasi kilichozidi, japo nilikamilisha hatua zote za "loan refund"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.