heslb

  1. Mdau jf

    Msaada: Kupata HESLB Loan Statement

    Jamani nataka kuwalipa Loan Board deni Lao sasa ninashida na loan statement ili niweze kupata control number ya kuwalipa. Kwahiyo kwa anayewe kunisaidia namna ya kuipata anisaidie NATANGULIZA SHUKURANI
  2. A

    DOKEZO Wanafunzi wa Muhimbili tulioomba mkopo kwa Diploma hatujapata, HESLB wapo kimya na Udahili unafungwa wiki ijayo

    Habari Wana Jamii Forums naomba kuwasilisha hoja yangu ili kupaza sauti, mamlaka zisikie na ikiwezekana hatua zichukuliwe haraka. Sisi Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi. Muhimbili (MUHAS) tunaojiunga au tunaotarajiwa kujiunga katika masomo ya Shahada ya Kwanza kutokea Ngazi...
  3. Chillah

    Mikopo Kwa Wanafunzi Wa Elimu ya Juu (Vyuo vya Kati na Vikuu)

    Habari Watanzania wenzangu Napenda nami nitoa mchango wa mawazo katika hiki kilio wanacho kutana nacho wanafunzi wa elimu ya juu Tanzania bara Pia mnivumilie kwa kuwa sio muandishi mzuri sana japo nimewiwa kuandika na Nina imani wapo watao nielewe japo kwa uchache wake na watakao kuwa na...
  4. R

    Rais Samia ingilia kati utoaji wa mikopo mwaka 2023. Kwa Trend hii ya HESLB, wengi hawatakwenda vyuoni

    Ni vurugu tupu! Angalia msg zinazotumwa kwenye akaunti za waombaji. 1. Ada ya University 1.5M, unapata 200,000 Tsg, 230,000 (walio wengi) 2. Akaunti sasa zinasoma Applicants profile is NOT SEEN! Sijui imefutika saa ngapi, nani kaifuta. 3. Congratulations your application is successful...
  5. Objective football

    Hali si shwari Bodi ya Mikopo (HESLB)

    Wakuu poleni na mapambano. sitaki niwapotezee wakati niende moja kwa moja kwenye mada. Kilio changu ni upangaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu mwaka 2023/2024 kumegubikwa na utata mkubwa kutokana na sababu zifuatazo 1.Account za waliokosa hazina notifications zozote kuwa kakosa...
  6. NGOSWE2

    Utaratibu wa Bodi ya Mikopo (HESLB) unatia shaka

    Utaratibu wanaotumia bodi ya mikopo ya wanafunzi HESLB inaleta maswali mengi sana katika jamii. Utaratibu wa kusema kila mwanafunzi aangalie kwenye akaunti yake inaleta kigugumizi kidogo. Kwa nini wasitumie utaratibu kama vifanyavyo Vyuo wa kutoa orodha ya majina yote ya waliofanikiwa kupata...
  7. Dasizo

    Msaada: Jinsi ya kuangalia Mkopo wa HESLB

    Naombeni msaada jinsi ya kuangalia mkopo wa HESLB.
  8. The introvert

    USHAURI: Kuhusu kukata rufaa HESLB

    Habari za wakati huu wadau wa elimu Kama picha inavojieleza hicho ndicho kiasi ambacho nimepangiwa na HESLB kwa mwaka wa masomo 2023/2024.... Nahitaji ushauri, maoni, faida na hasara za kukata rufaa pamoja na utaratibu wake unavyokuwa Sababu kuu ya kuomba kukata rufaa ni kutokana na mfumo wa...
  9. R

    Jamani mikopo ya HESLB msg hii ina maana gani

    Msg hii ina maana gani : Conglatulation your application is verified complete wait for ALLOCATION PROCESS Allocation process ina maana gani, nimepata nasubiri parcentage allocation au ni ndiyo wanaanza kuona nani apate na nani asipata
  10. Mhaya

    RASMI: Diploma waanza kupokea mikopo kutoka HESLB, soma muongozo hapa

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeanza kutoa mikopo ngazi ya Diploma kupitia bodi ya HELSB MWONGOZO WA UTOAJI MIKOPO KWA WANAFUNZI WA STASHAHADA KWA MWAKA WA MASOMO 2023/2024 MAELEKEZO MUHIMU KWA WANAFUNZI WOTE WANAOOMBA MIKOPO. Waombaji wote wa mikopo ya elimu kwa ngazi ya...
  11. AnyWayZ

    HESLB; Uzinduzi wa Maombi ya Mkopo kwa Vyuo vya kati (Certificate & Diploma)

    Habarini Wakuu, Hatimaye Mama kaupiga mwingi tena. Kwa Maelezo zaidi pitia pdf mimi nitagusia Vipaumbele tu. 6.0 MAENEO NA PROGRAMU ZA KIPAUMBELE KATIKA UTOAJI WA MIKOPO 6.1 Maeneo ya Kipaumbele Mkopo utatolewa katika maeneo makuu sita yakiakisi vipaumbele vya Taifa kama ilivyoainishwa katika...
  12. K

    Mkopo wa elimu ya juu (HESLB)

    Nimelipia elfu 30 ktk heslb nataka kucreate account nikibonyeza submit form inaload tu nashindwa kuendelea na mchakato hawa bodi. Nimewapigia simu Hawapokei simu zangu nimetuma adi katika instagram katika page yao wapo kimya sijui wanampango gani na mimi naomba msaada wenu
  13. Zekoddo

    Bodi ya Mikopo(HESLB) kwanini mnawakata Watumishi wapya tofauti na utaratibu?

    Wakuu habari za wakati, Iko hivi, kipindi cha maombi ya mikopo ya elimu ya juu kwenye mkataba ulisema kuwa HESLB wataanza kumkata mkopaji baada ya miezi 24 toka tarehe ya kuhitimu kwake mafunzo, iwe ameajiriwa ama amejiajiri. Sasa kinachoshangaza HESLB wameanza kukata pesa kwa vijana...
  14. goodhearted

    Application za mkopo HESLB

    Naomba kufahamishwa kama kuna mtu ameweza kukamilisha ujazaji wa taarifa za maombi ya mkopo elimu ya juu. Takribani wiki sasa Najaribu kumuombea kijana wangu lakini kipengele cha demographic inaload tu, taarifa hazihifadhiwi. Kama umeweza umefanyaje? Msaada tafadhari.
  15. NEGAN

    IT wa HESLB hamko serious na kazi

    Hii nchi kila kitu ni cha hovyo. HESLB mmefungua dirisha la kuomba mkopo lakini mpaka muda huu watu bado wanaohangaika kukamilisha vipengele. Mfumo wenu ni mbovu nimelipia control number lakini kila nikitaka ku-create account page ina-load tu tangu asubuhi. Kama mlijua hamjajipanga kwa nini...
  16. JIMMY JORAM

    Msaada kuhusu mawasiliano ya Bodi ya Mkopo (HESLB)

    Jamani ndugu zangu, kwa yeyote mwenye namba ya simu ya Bodi ya mikopo (HESLB) inayopatikana kwa urahisi anisaidie ili niweze kufanya mawasiliano nao; Huu mfumo wa kutuma maombi unanichanganya sasa!!!!
  17. Astro world

    Kukwama kwenye kufungua Account ya kuomba mkopo wa elimu ya juu HESLB

    Habarini za kazi wadau! Kwa aliefanikiwa kufungua account ya kuombea mkopo wa vyuo bodi ya mikopo anisaidie, nashindwa kufungua account pale kwenye kipengele cha kuset password baada ya kuset password yangu inagoma kusubmit inaload kwa muda mrefu sana unaweza ukaisubiria hata nusu saa lakini...
  18. Gutapaka

    Msaada: Kutuma maombi HESLB

    Habari, Naomba msaada ukurasa wa Guarantor na Demographic information zinaload sana na hazisubmit taarifa. Nitakuwa nakosea wapi? Asante.
  19. 5

    Hivi kuna Mtu yeyote amefanikiwa kujaza form ya mikopo Loan Board (HESLB)?

    Imebidi nije hapa huu mtandao wa Loan Board hauko vizuri hasa hasa kwenye kipengele cha Preliminary information hakuna chochote unachoweza kujaza na uka submit na ukakiona kwenye preview. picha hata useti kwa kiwango kipi 120x150px haionyeshi wala haikai kwenye mfumo. Tunaomba kujua hapa nina...
  20. Geofrey P Buchard

    Msaada: Kwa aliyefanikiwa kutuma maombi HESLB anielekeze

    Kwa ambae amefanya maombi ya mkopo mpaka mwisho mwaka huu 2023 HESLB. Atuambie amefanyaje maanake hii system mpya hatuielewi.
Back
Top Bottom