historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. I

    Historia ya jeshi la wananchi la Tanzania

    Historia ya Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) lilianzishwa rasmi tarehe 1 Septemba 1964, baada ya kuundwa kwa Muungano wa Tanganyika Rifles (TR) na vikosi vingine vya kijeshi. Hii ilifuatia uhuru wa Tanganyika kutoka kwa utawala wa Uingereza mnamo 1961...
  2. Down To Earth

    Historia: Ukaguzi wa wafanyakazi katika mgodi wa Mwadui

    Mgodi wa Mwadui 🧐 Williams Diamond Limited (WDL) Wafanyakazi wa sorting(wanaochambua madini) wakimaliza kazi walikuwa wakikaguliwa bila nguo 😢 Shinyanga tumetoka mbali sana😢 Yaliyopita yanasikitisha mno🙌 Shinyanga 🇹🇿
  3. P

    Historia ni mwalimu mzuri, mtandao umeshaanza kusumbua na sisi tujiweke tayari, hakikisha simu yako haikosi VPN!

    Wakuu salam kwenu, Tumeshuhudia kwenye Uchaguzi wa 2015 JF ilivyopigwa na kitu kizito kwenye suala la mtandao na hivyo kuzuia wananchi kupata taarifa. Tulishuhudia hilo pia kwenye uchaguzi wa 2020 jinsi mtandao ulivyochezewa na 'jini' ikawa changamoto kupata taarifa na wale ambao biashara zao...
  4. Pfizer

    Simba Tundu Lissu: Historia Yake na Je, Unaweza Kumuona Wapi Live Baada ya Kizimkazi?

    Kwa mujibu wa taarifa kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), mnyama anayeongezeka umaarufu sasa nchini ni “Simba Tundu Lissu” alizaliwa Dar es Salaam Zoo, nje kidogo ya jijini la Dar es Salaam eneo la Mwasonga, Kigamboni. Alizaliwa Januari Mosi, 2018, hivyo kwa sasa ana...
  5. U

    IDF yaandika historia tena, ndege zake 100 zasambaratisha kambi za Hezbollah, walikuwa wanajiandaa kuishambulia Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Israel yafanya kufuru Leo asubuhi Iko hivi Hezbollah walishajiandaa kuisambaratisha Israel hasa maeneo ya kati na kaskazini Hata hivyo idarayaza ujasusi za Israel zilipata taarifa kamili ya mipango hiyo ya magaidi Sasa walichofanya IDF ni kuwawahi Kwa kuishambulia...
  6. Messenger RNA

    Sanda ya Kristo: Wanasayansi wathibitisha "usahihi wa historia yake"

    Na Jeremy Howell BBC Timu ya wanasayansi wa Italia walisema waliweza kwa usahihi kuitambua tarehe ya Sanda ya Turin, na kwamba inaonyesha kuwa ilikuwa ni ya wakati wa Kristo. Utafiti huu, uliochapishwa hapo awali mnamo 2022, unapinga mtazamo kwamba mabaki ya Sanda hiyo ni "bandia" na inaweza...
  7. Mi mi

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na historia ya Mongolia na China

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na somo la Wamongol kuwatawala wachina na baadae wao kutawaliwa mpaka leo. Pale ambapo jamii moja ya watu hufurahia kuwatawala jamii nyingine ya watu kikoloni katika eneo lao kwa tafsiri ya Muungano jamii tawaliwa pale itakapo twaa madaraka maumivu ya...
  8. Mohamed Said

    Nyimbo ''Madhulumu Moyo'' na Historia ya Kwa Bamkwe 1972

    NYIMBO MOYO MADHULUMU NA HISTORIA YA KWA BAMKWE Siku ya kwanza alipouimba mwimbo huu "Moyo Madhulumu," hadharani marehemu Khadija Baramia hakuweza kumaliza katikati alianza kulia na hakuweza kunyamaza. Wasikilizaji wanawake nao wakalia. Ikhwan Safaa wapigaji orchestra iliendelea kupiga ala kwa...
  9. Z

    Angalia historia ya mahala umapotaka kuunganisha familia (kuoa)

    Nimeona tupate uzoefu kidogo wa maisha ya ndoa ambao na mie nimeupitia.. 1. Historia ya ndoa kwao, anzia ngazi ya wazazi je wapo kwenye ndoa au wameachana, je ? kuna ndoa za mitara kwao , pia hali ya ndoa kwenye familia nzima ikoje ( kama hali ya afya ya ndoa mbovu kuanzia wazazi, na nduguze...
  10. S

    Yanga kurudia historia ya mwaka 1998 ya kufuzu hatua ya makundi kwa kuwatoa Wahabeshi

    Mwaka 1998, Yanga ilifuzu hatua ya makundi ya Club Bingwa barani Afrika kwa kuichapa Coffee ya Ethiopia mabao 6 kwa moja katika mechi ya marudiano iliyofanyika uwanja wa Taifa tarehe 08/05/1998. Katika mechi ya round ya kwanza mjini Addis Ababa, Yanga na Coffee FC walitoka sare ya mabao 2 kwa...
  11. R

    Historia ya Kiwanda cha Tanganyika packers mpaka kuja kuwa Kanisa la maombi

    SERIKALI YA CCM KAMA SIYO KUROGWA NI NINI? Tanganyika Packers LTD, Kawe, Dar es Salaam 1945-1975. Kilikuwa kiwanda cha kuchakata na kusindika nyama kwa ajili ya kuuza ndani na nje ya nchi. Eneo lote la Mloganzila (Muhimbili) lilikuwa ni eneo la Tanganyika Packers na ndilo eneo lililokuwa...
  12. K

    Waziri Biteko: Kituo cha kupozea umeme GGM ni kielelezo cha Historia kwenye Sekta ya Umeme Nchini

  13. Yoda

    Historia ya Bangladesh chini ya watawala wanawake wawili marafiki waliogeuka mahasimu

    Kwa miaka 33, tangu mwaka 1991 taifa la Bangladesh limetawaliwa na wanawake wawili mawaziri wakuu kwa vipindi tofauti kwa kila mmoja wakipokezana miaka mitano mitano. Aliyeanza kutawala alikuwa Khaleda Zia kisha akaja Sheikh Hasina halafu akarudia Zia tena ndipo akarudi Hasina tena kuanzia mwaka...
  14. M

    Historia ya tawala za dini ya Kikristo zilizoanguka duniani

    Historia ya tawala za Kikristo zilizoanguka inajumuisha mabadiliko muhimu katika mifumo ya utawala na jamii ambapo tawala hizi zilikua na kuathiri mikoa mbalimbali. Hapa kuna baadhi ya tawala za Kikristo zilizoanguka: Dola la Roma la Magharibi (476 CE): Dola la Roma la Magharibi lilikuwa na...
  15. M

    Wanaoshangalia utajiri wa Elon Musk (Marekani). Hawajui historia

    Surah Al-Qasas (28:76-82):“Hakika Qarun alikuwa miongoni mwa watu wa Musa, lakini alijitenga na wao kwa kiburi. Tulimpa mali nyingi sana, na funguo za hazina zake zilikuwa nzito kubeba na watu wenye nguvu walikuwa wanabeba funguo hizo. Wakati alipojionyesha kwa watu wake, wale walio kuwa...
  16. comte

    Historia inaweza kutusaidia kuijua sasa na kesho- Rais Ford alitabiri ujio wa rais mwanamke

    https://www.youtube.com/watch?v=epWYJ_SY8uU United States well I hope we do have a 0:57 young lady at some point become 1:00 president of the United States I can 1:06 tell you how I think it will happen 1:09 because it won't happen in the normal 1:16 course of events either the Republican 1:20...
  17. Mohamed Said

    Mzee Maxwell na Historia ya TANU 1950s

    MZEE MAXWELL NA HISTORIA YA TANU Mzee Maxwell kaniona mimi toka udogo wangu labda hata sijaanza kutembea. Nimemjua Maxwell kwa jina lake hili moja. Maxwell alikuwa pamoja na Dome Okochi Budohi na Martin. Hawa walikuwa wametoka Kenya wamekuja Tanganyika kutafuta maisha. Hawa wote watatu...
  18. Nyanda Banka

    TUJIKUMBUSHE HISTORIA YETU YA WAZALENDO

    Pichani ni Nduna Songea Mbano Luwafu. Alipigwa picha hii muda mfupi kabla ya kunyongwa na wajerumani Machi mwaka 1906. Kifo chake kilitanguliwa na mauaji ya Mashujaa wengine 66 wa Majimaji walionyongwa Februari 27, mwaka 1906. Songea Mbano alinyongwa pekee yake siku tatu baada ya wenzake hao...
  19. Mohamed Said

    Kitabu Cha Historia ya Yanga na Harakati za Kudai Uhuru

    Watu kadhaa wameniuliza ukweli kuwa kuundwa kwa Yanga mwaka wa 1936 ilikuwa mbinu ya kudai uhuru wa Tanganyika. Haya nimeambiwa yameandikwa katika kitabu cha historia ya Yanga ambacho kimetolewa hivi majuzi. Jibu langu kwao ni kuwa ushahidi wa historia ya kudai uhuru wa Tanganyika hauonyeshi...
  20. Mohamed Said

    Maktaba Imepokea Picha Kutoka Mbali Katika Historia ya TANU Moshi Mjini

    Limekuwa jambo la kawaida sana siku hizi wasomaji wangu kuniletea taarifa nyingi ambazo wao wanazo katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika. Taarifa nyingine pamoja na picha zinatoka kutoka familia za wapigania uhuru ambao historia imewasahau. Leo nimepokea picha ambazo kwa hakika...
Back
Top Bottom