Katika mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwemo katika jukwaa la JamiiForums.com, kumekuwa na majadiliano na masuali yanahoji au kutoa taarifa ambazo wengi hawana uthibitisho nazo kuhusu dawa za kuzuia maambukizi ya VVU ambazo muhusika anatakiwa kutumia ndani ya masaa 72. Je, hili lina ukweli? Na...
Waliishi na mumewe kwa zaidi ya miaka 15.
Sasa wameaachana kwa talaka na hii ni baada ya wote kupima na mke akabainika hana maambukizi huku mume akiwa Hiv positive.
Nimeomba mzigo kasema fresh. Sasa hofu yangu ni kula mzigo wa namna hii.
Matumizi ya HIV Rapid Home Test Kit Yamekatazwa Au?
◇ Maduka mengi ya dawa hawauzi hizi Kit.
◇ Yale maduka machache yanayouza unakuta wanauza kimachalemachale kama vile wanavyofanya wauza bangi au gongo, ukiulizia ni lazma huyo muuzaji aangalie kulia na kushoto mithili ya mtu anayetaka kuvuka...
Habari!
Harufu mbaya inapiga maeneo ya Dampo la Pugu almaarufu kama Pugu Dampo.
Ukipita barabarani maeneo hayo unapokelewa na harufu mbaya kali sana.
Najiuliza hivi Kati ya Dampo na makazi ya watu nini kilitangulia?
Je, kama Dampo lilitangulia ilikuwaje mtu na akili zake timamu ajenge makazi...
Habari za humu wakuu
Nilijieka kwa mdada fulan hivi ila hatukudumu Sana mahusiano yakapotea tu ghafla, japo haikuwa kuachana rasmi. (Mimi ni mme na baba wa familia)
Sasa wiki mbili zimepita wife kasafiri kidogo. Nikiwa kwenye mizunguko yangu siku ya J3 na kutana na yule mrembo ambae tuliacha...
Sasa Wewe jifanye unajua sana ' Malavidavi ' na unataka kuonyesha Mbwenbwe zako Kitandani Ufe.
Kwanza kwa Maisha haya Magumu nyie Mabwege mnaopenda sijui Kulamba Ice Cream na Kula Ndizi mkiwa ' Mnabanjuana ' mnaupata wapi huo muda?
Pateni Nakala ya Gazeti la Nipashe la Leo ili mjue mengi zaidi...
Naomba kutoa dukuduku zangu kama mtumiaji wa kudumu wa barabara ya Dar to Mbeya. Kuna visa 3 vinanikera sana.
1. Hawa jamaa mashimo njiani mwiko kufukia hadi ajali itokee, kiongozi alalamike au kuna msafara mzito. Inaonekana mameneja wa mikoa ni kula lager tuu hawakagui Barabara. Kichefuchefu...
Kisa kilianzia miaka 20 na iliyopita, nilikuwa na mpenzi wangu mmoja (nilikuwa kijana muaminifu sana kwenye mahusiano). Tulikuwa kwenye mahusiano kwa muda lakini tulikuwa hatujaoana, kwao walinijua na kwetu walimjua. Baada ya mahuasiano ya muda mrefu huyu binti aliugua muda mfupi na kufariki...
Ndugu zanguni habari,
Mimi nimekutana na mdada ila ktk purukushani nikawa namnyonya maziwa, gafla akaniambia ameathirika na hapo nilikuwa sijamfanya ila nimemnyonya na kumshika ukeni kwa mkono means na vidole vimeingia kama vitatu ktk kumshikashika ndio akaniambia hivo kuwa ameathirika...
Habari wanajf wenzangu
Hili swali nimekuwanikijiuliza Sana bila hata kupata majibu.
Binafsi mimi ni mkristo na nimedate na wanawake 8 mpaka right now na katika hao wanawake 8 niliwahi kudate nao wanawake ambao nimefurahia mahusiano nao ni wanawake wa5 tu na katika hao 4 ni wakislamu na 1 ndio...
POSITION TITLE: National HIV Viral Load Laboratory Coordinator
LOCATION: Dodoma
REPORTS TO: Head of Laboratory Services- MoH
Position Summary
National HIV Viral Load (HVL) Laboratory Coordinator is a self-motivated individual who will serve as the focal point for coordination of...
Karibu tujadili hili, hivi inawezekana kama ambavyo kuna watu wana aleji na nyama, wali, panadol etc Je kuna uwezekano kuna kundi fulani la watu kwao mahusiano ya kimapenzi huwa chanzo cha maanguko ktk kazi, biashara n.k?
Yaani wasipojihusisha na mapenzi wanafanikiwa? Lakini wakijihusisha tu...
Mchungaji Lucy Nyawira Thuo kutoka nchini Kenya, amewashangaza wengi kwa ukakamavu wake wa kuzungumzia hali yake ya HIV hadharani na hata makanisani.
Hii ni hali ambayo mama huyu anaiona kama sehemu ya wito wake wa maisha kwamba atoe nasaha na awe kielelezo cha kuishi na Virusi vya HIV kwa...
Kwema?
Leo nimeamkia PITC nikasema liwalo na liwe acha niijue afya yangu. Sijawahi kupima HIV na niliapa sitopima labda niwe mjamzito. Ila kuna wakati viapo vinatenguliwa unakuwa na nafasi mbili, ujue afya yako au stress zikupige hadi ufe. Mimi nilichagua kuijua afya yangu.
Nimepewa elimu kabla...
Bongo movie inakufa, sababu si quality (japo kweli quality ni chini) kama wengi wanavyodhani bali ni hawana namna ya kuuza movie zao. Ilianza kwa kuuza VHS za kina Majuto. Ikaja CD na DVD. Kipindi hiki walau walikuwa wanapata chochote. Ghafla watu wakaanza kupirate DVD na kuziweka kwenye flash...
Kiuhalisia huyu mmiliki wa jamii forum aliyepelekwa mahakamani na Meko ana nguvu na ustahimilivu wa Hali ya juu kushinda hata wa jobu ndugai, amefanya jamii forum kuwa platform huru sana na ameokoa wengi kutokushughulikiwa. Kama mexence angeweka tumbo lake mbele wanajamii forum wengi wangekuwa...
Wanajamvi habarini za asubuhi.
Binafsi kuna tabia moja huwe siipendi wakati wa kunyanduana, sijui ni mimi tu ndo mhanga wa hiki kitendo au tuko wengi.
Tabia yenyewe ni hii
"sipendagi wakati wa kunyanduana baada ya kupizi eti mimi ndo nijifute na kumfuta yeye genye zilizomwagika badala ya...
Habari wakuu
Katika kujipima kutumia bioline nimejikuta nimejichoma sindano niliyokuwa nimemchoma mtu mwenye HIV
Sasa nilikuwa mbali kidogo na eneo la kituo cha afya kwahiyo kesho yake ikanibidi niende kituo cha afya mida ya saa nane nikawaelezea wakanipa dawa ya pep imeandikwa LTD m...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.