Habari Wana Jamii Health. Siku Ya Jana Nimejikata Na Wembe Wakati Nikijaribu Kuutupa Ili Usije Dhuru Mtu. Hapa Karibu Kuna Watu Wameathirika, nimejawa na Uwoga Napataje PEP?
Masaa Yanayoyoma Kuelekea 72 Hii Ni Saa Ya 36. Nipo Dar Es Salaam. Upatikanaji Wake Ukoje
Habari wakuu,
Long time sana sijachapa uzi humu, Sasa nimekaa nikawa najiuliza kwamba hivi mfano wewe upo kwenye mahusiano au ulilala na mtu fulani alafu after unakuja kugundua kwamba huyo mtu ni muathirika wa HIV na anaifahamu hali yake ila hakukupa taadhari yoyote na sasa tazama...
Wasalaam nyote,
Ushiriki wa watu wa afya unahitajika sana hapa.
Kutokana wimbi kubwa la pisi kali kuzagaa mitaani, majumbani na sehemu za kula bata, na wimbi la sisi wanaume kutaka kufaidi na kuendelea kufaidi ulaji wa shoo kavukavu kwa kusingizia kuzidiwa.
Basi ni vema walau tuambiane...
Kama mwezi umepita nilipo pata lile tukio la dharura ikanibidi haraka niwahi kuomba PEP, nikapatiwa ikabidi ni kae zaidi ya mwezi mmoja ili nipime kama hali koje
Jana nikajitoa mhanga nikajipima, majibu yakawa clear yani mstari mmoja, kile kipomo sikukitupa nikawa bado nimekiacha mezani...
Amani iwe kwenu nyote. Nimegundua kuwa house girl wangu anae nilelea mtoto wangu mchanga anakunywa vidonge vya HIV kwa siri. Je hawezi kuwa amemwambukiza mwanangu? Kama jibu ni hapana, mwanangu atakuwa salama kweli au niachane naye msichana huyu? Naomba ushauri wenu.
Wakuu mko vyede?
Kuna kipindi fulani hili suala lilizuka sana kuwa wanaoishi na HIV hasa matajiri walikuwa wanaenda South Afrika kubadilisha damu ili kupunguza makali ya ugonjwa huo.
Hii ilikuwa kweli? Maana mpaka leo naamini walikuwa wanafanya hivyo, ila swali likaja wanabadilishaje...
Mimi ni mwanamke, miaka 32, watoto wawili.
Baba wa watoto tumeachana muda kidogo, sijakata tamaa wala, nayapenda Maisha kweeli. Nimeajiriwa.
Natamani nipate mwanaune ambae ni HIV Positive kama mimi ili tutengeneze familia, upweke unachosha.
Karibu PM.
Salamu wakuu, niende moja kwa moja kwenye maada.
Hii kitu huwa najiuliza sana. Hivi kwa nini nyakati zinakimbia sana, kwa mfano kutoka mwaka mmoja kwenda mwingine naona unaisha haraka sana, mwezi mmoja kwenda mwingine, vile vile wiki moja kwenda nyingine.
Hebu just imagine mtu kama Magufuli...
Leo nimepitia sheria ya Ukimwi/HIV iliyopitishwa mwaka 2008 baada ya kusikia mwamba wa Mara huko kafungwa miaka 7 kwa kusambaza Ukimwi makusudi.
Kifungu cha 47 cha sheria hiyo kinasema mtu yeyote kwa makusudi akasambaza virusi vya ukimwi kwa mtu mwingine atakuwa ametenda kosa na akithibitika...
Huyu binti nilifahamiana naye kupitia mtandao wa LinkedIn akiwa anatafuta field. Baada ya muda tukawa tunachati kwa karibu na hatimaye mahusiano.
Kwangu mwanamke yeyote akija kimapenzi lazima kwanza tupime. Yaani ukiingia tu mlangoni unakutana na 'pharmacy' yangu, unapima ndipo uingie.
Binti...
Habari zenu Wana Jamii forum am back again it's me mo mp5 mtoto wa kanali mtata...
Kuna binti nilikuwa nae kwenye mahusiano tulikutana kwenye ofisi za TRA sababu wote tulifika kwa ajili ya shida moja hivo ikaleta maongezi kidogo kuhusu shida iliyotuleta pale ikapelekea tukaanza kufahamiana...
Habari mimi mdada mwenye umri wa miaka 39 ni muajiriwa, nahitaji kuwa na mwenza awe na miaka 41 hadi 50.
Awe HIV+, Mkristo mwenye hofu ya Mungu.
Aliye tayari na serious aje PM tuzungumze.
Wakuu, naomba msaada wa kupata vipimo vya HIV vinaitwa Determine Early Detect. Nikimaanisha ni famasi gani ama hospitali gani naweza kuvipata.
Natanguliza shukurani zangu za dhati kabisa.
Ahsante.
Pyramid scheme iliyovuma kuliko zote ilikuwa DECI. Watu tulifahamu kuwa baada ya ile watu watajifunza na mamlaka zitajifunza na kitu kile hakitakuja tokea tena.
Lakini kumbe ni kama DECI ilifungua mlango wa soko la upatu. Zimepita pyramids schemes nyingi sana hapa kati. Kila moja watu wakilia...
Habari zenu waungwana,
Mimi naitwa Ashiraph umri miaka 30. Naishi Kahama natafuta mwenza aliye serious. Mimi ni mwathirika wa VVU natamani nipate mke mwenye hali kama yangu ili tuishi kwa pamoja.
Ni mwajiriwa pia na biashara zangu
Ambae yuko tayari anipigie sim 0753360886
Kwanza namshukuru Mungu kwa kunipa uzima na afya, pia natumia fursa hii kukusalimia mpendwa wangu. Mimi naitwa Seif Ahmed Sambila mkazi wa kijiji cha Hanihani wilaya ya Igunga mkoa wa Tabora, kazi yangu kubwa ninayojishughulisha nayo ni kilimo, ni kazi yangu kubwa ambayo inaniingizia kipato na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.