hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. Wanafunzi wa vyuo na application ya AI ya chatGPT! Watoto wetu siku hizi hawafikirii kabisa!

    Kuna application ya artificial intelligent inaitwa chatGPT. Sasa hivi wanafunzi wetu hawafikirii! Mzungu katumaliza kabisa! Kila kitu anaulizwa huyu jamaa na yuko vizuri kila idara! Tunaingia kizazi tegemezi!
  2. Pre GE2025 Hatima ya Walimu Wasio na Ajira (NETO) kujulikana baada ya siku 45, wapongeza 4R za Rais Samia

    Wakuu Mawaziri George Simbachawene (Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu) na Prof. Adolf Mkenda (Elimu, Sayansi na Teknolojia) wamekutana na viongozi wa Chama cha Walimu Wasio na Ajira (NETO) kujadili hatua za kutatua changamoto ya ajira kwa walimu. == Mwenyekiti wa...
  3. Kwanini Yesu Kristo aliivunja Sabato? Sababu hizi hapa

    Yesu Kristo alipokuja duniani alifanya mambo mengi ambayo hayaruhusiwi kufanywa siku ya Sabato. Kwa mfano, aliwaponya wagonjwa na pia aliwaruhusu wanafunzi wake wavunje masuke ya nafaka siku ya Sabato. Hiyo ilikuwa kinyume na sheria ya Sabato. Wakati wa Musa, Mungu aliwaagiza Wana wa Israeli...
  4. J

    Upo katika aina ipi ya mapenzi kati ya hizi?

    Kama vile tujuavyo ya kwamba hakuna maisha bila mahusiano ya mapenzi na Upendo ni Sheria ya asili ambayo ipo ndani ya Mwanadamu. Kuna aina mbalimbali za uhusiano wa mapenzi, na kila mmoja hutegemea hisia, matarajio, na namna watu wanavyohusiana. Hapa ni baadhi ya aina kuu za uhusiano wa...
  5. Siku hizi siwasikii tena Warusi wa Mbagala na Buza kama ilivyokuwa mwanzoni vita vya Ukraine na Urusi

    Kulikuwa na asili ya Warusi waishio Mbagala na Buza ni jina walilopewa kwenye mijadara ya mitandao ya kijamii mpaka hapa JF. Hawa Warusi wa Buza na Mbagara kipindi vita inaanza tulikuwa tunawagopa sana kwa habari zao na jinsi walivoipa urusi uchambuzi na propaganda zao kuhusu putin. Ila mpaka...
  6. MH JAJI MKUU;PITIEN KAGUENI HIZI MAHAKAMA ZA MWANZO ZINA MATESO KULIKO YA BWANA YESU..HAYAELEZEKI..WANANCHI WANATESEKA SANA

    MH JAJI Mkuu Shikamoo Baba Yangu habari za uzima naamini Mungu ametuamsha salama kusaidia wananchi wako Baba yetu mzee wetu leoo nimeona nikujuze tu kwa yanayaoendelea mahakama za mwanzo MH JAJI MKUU Mahakimu WA mahakama za mwanzo wanatesa sana wananchi wanaumiza sana WANANCHI WASIO na uwezo...
  7. Pendezesha kuta za nyumba/ofisi yako kwa taa hizi za urembo

    Bei ni 20,000/= kwa taa 1. Tunatuma nchi nzima. Utalipia baada ya kupokea mzigo. Karibuni. https://smarteaglescompany.blogspot.com/2025/01/hizi-ni-taa-za-kisasa-kwaajili-ya.html
  8. Hizi simu mnazokamata kwa matapel nashauri zigawiwe kwa jamii kusaidia mawasiliano kama yatima na wajane

    Nimeona ma simu zaidi ya 60 kwenye taarifa ya habari wamekamatwa matapeli WA simu Naamini KUWAPATA WAHUSIKA n NGUMU sana Kama n hivyo hizi SIMU TUNASHAURI tukawape wale wanasaidia jamii kama vituon vya YATIMA wajane na wenye kutunxa walioathirika na ...na wale wanaotunza wazee
  9. Nilikuwa najiuliza ni kwanini Watu wameumia sana na Mechi kutochezwa na mpaka sasa wanahaha kutoa Lawama kumbe hizi ndizo sababu? Poleni sana...!!

    1. Okra anatudai 2. Mkude anataka kulianzisha kwa Deni lake 3. Baleke anadai 4. TFF kuna Kesi Kenda (9) za Wao kudaiwa na Wachezaji 5. Kocha Mgeni na Kocha Mzawa wanadai 6. Waganga wetu hasa yule wa Mtwara anadai hadi anataka kuhamia kwa Mahasimu 7. Tumefukuzwa Kigamboni kwa Deni Kubwa na...
  10. Bidhaa tunazouziwa siku hizi hasa viatu na nguo za dukani zinapauka kwa haraka sana, mamlaka imelala?

    Yaani unanunua jeans leo mwezi march unavaa ukifua mara mbili tu nguo inapauka vibaya mno kiasi cha kuonekana ni kama ya mwaka juzi. Hivyo hivyo na bidhaa nyingine, kama viatu yaani ni shida tupu. Mamlaka ziko wapi, wananchi tunauziwa bidhaa zisizo na ubora kwanini?
  11. Wazee wa Tec: Hizi All in One PC kuna kitu pale au takataka tu?

    Nataka nianze work from home. Sasa naulizia hizi PC naziona online bei Tsh 550-750k All in One, majina makubwa kama Dell, HP, Lenovo. Sasa niko hapa najiuliza, zina faa au danganya toto? Kama aliewahi kutumia matumizi mbalimbali anao mrejesho.
  12. Huyu Majizo hizi Spika zake amelenga soko la ndani ya Tanzania au nje? Bei za moto level za JBL.

    Hongera kwake kwa kuzindua Jizzo Sound. Sawa. Ila swala la bei ni jambo jingine. Kuna Michina mingi kwenye hii price range na ina muziki mnnene, itaweza kucompete? Bei inayofuatia Laki 4.8 hadi Mil 3 uko. Sasa naona una compete na wakina JBL.
  13. Sababu halisi za Simba kugomea mechi ni hizi hapa.

    1. Kamati ya ufundi kutoka Kahana kuzuiwa kwenda kufanya kazi yake kiwanjani. 2. Kipa Kamara na Che Malone Kukosekana kwenye mechi kubwa kama Ile. 3. Aziz Ki kumbe hakuwa mgonjwa, atakuwepo. 4. Mechi kuchezwa telarehe 8 siku ya jumamosi. Sababu nyingine zooote hizo ni uongo na visingizio TU, na...
  14. Mbona ulaya hawalalamikii hizi Pitch feeling

    Sijawahi kuona timu za ulaya kulalamika eti kufanya pitch feeling au mazoezi siku 1 kabla ya mchezo Yaani eti labda weekend hii ni mech ya Man u na Arsenal, Arsenal afike pale Old Trafford kufanya mazoezi Au labda Babda Barca vs Madrid Madrid aende Sportfy Stadium kufanya pitch feeling Hii...
  15. Kwanini Taifa la Marekani limebarikiwa sana kiuchumi na kiteknolojia? Sababu hii hapa

    Marekani inajulikana duniani kote kama taifa lenye nguvu kubwa kiuchumi na kiteknolojia. Moja ya sababu kuu zinazochangia mafanikio haya ni msingi imara wa Kikristo uliowekwa tangu kuanzishwa kwa taifa hilo. Ukristo umekuwa na nafasi muhimu katika kueneza maadili ya kumcha Mungu, ambayo yamekuwa...
  16. Tujifunze kutoka Katika picha hizi zenye mafumbo

    Tuanze na hii. Picha hii inamwonyesha tajiri akijiandaa kumpatia pesa masikini aliyekaa chini na kioo.Pia tunamuona tajiri akijiangalia kwenye kioo Cha masikini. Maana yake ni kwamba ,kama tutajiona wenyewe kama wenye shida na uhitaji hakika tutaguswa kuwasaidia. Picha ya pili hapa...
  17. I

    Ipi tofauti ya kozi hizi??

    Habarini wana jf,hamjambo? Kama kilivyo kichwa cha habari,naamini humu kuna wajuzi wengi wa elimu mbalimbali,ni kwamba jambo hili limekuwa likinikereketa kwa mda mrefu sasa,ni hivi huwa najiuliza (uenda kulingana na uelewa wangu),hizi kozi au fani mfano uhasibu,finance,uchumi,hivi...
  18. Mitego ya Kisaikolojia: Kwanini Wanawake Wanajazana Kwa Waganga na Wachungaji? Je, Hizi sio Pande Mbili za Sarafu Moja?

    Waganga wa Kienyeji na Wachungaji wa Maombi Binafsi: Ni Tofauti au Ndugu Wanaotumia Lugha Tofauti? 👇👇👇👇👇👇👇 https://www.jamiiforums.com/threads/waganga-wa-kienyeji-na-wachungaji-wa-maombi-binafsi-wajanja-wanaocheza-na-akili-za-wanawake.2314695/
  19. A

    Naombeni Nyimbo Hizi

    Wakuu Habari za Uzima, Naombeni Mnisaidie Audio za Nyimbo hizi, Hizi Nyimbo Nilikuwa Napenda Kuzisikiliza Kabla Sijapata Hearing Loss "Usikivu Hafifu" Najua Kwasasa Nitafaidi Midundo tuu ila sio Mbaya. Nyimbo Zenyewe ni 1. Wanaume Tumeumbwa Mateso 2. Kwetu Pazuri - Ambassador Choir 3. Lulu...
  20. Jua Kali latawala Tanzania: Hali ya Hewa kila Mkoa na Uzoefu wako ni upi?

    Habari za wakati huu wakuu! Katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia ongezeko la jua kali katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), baadhi ya maeneo yanatarajiwa kuwa na hali ya ukavu kwa ujumla katika kipindi cha tarehe 01-10 Machi 2025...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…