hoja

  1. toriyama

    HOJA HURU: Mimi Hadi Sasa sikuelewa umuhimu wa kuleta ARV, ARV zisingekuwepo HIV Sasa isingekuwepo walio na maambukizi wangekuwa wameshakufa wote

    Mimi Hadi Sasa sikuelewa umuhumu wa kuleta ARV, ARV zisingekuwepo HIV Sasa isingekuwepo walio na maambukizi wangekuwa wameshakufa wote wakabaki wasio na maambukizi badala yake idadi ya walionao imekuwa kubwa tunategeshea takwimu za watu ambao wanatumia dawa ipasavyo ili wasiambukize ona Sasa...
  2. chiembe

    Pre GE2025 Amos Makalla: Wanaosema No Reform No Election hawana fedha za kufanya Uchaguzi

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chama hicho kinaendelea kujipanga kwa uchaguzi ujao, huku akibeza kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inayosema hawatoingia kwenye uchaguzi pasipo kuwa na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi...
  3. Dialogist

    Ningekuwa CCM ili kuleta maendeleo kwa Watanzania basi ningeanza na hili

     Wanabodi Hamjambo... Ni Wazi Kila Serikali Duniani Nia Na Lengo Lake Ni Kuleta Maisha Bora Kwa Wananchi Wake. NA ndio Maana Moja Ya Slogan Katika Kupindi Cha JK ni MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA. Katika Muktadha Huo, Kama Ningepata Nafasi Ya Kua Na Ushawishi Katika Chama, Bunge Na Serikali...
  4. J

    Jeshi la Uhamiaji Tanzania Bado Lina Hoja ya Kujibu Kuhusu Suala la Kuwapa Uraia Hao Wachezaji wa Kigeni

    1. Baada ya kuibuka kwa sakata la Kuwapa Uraia kiholela Wachezaji mpira wa Kigeni waliosajiliwa na timu ya Soka ya Singida United, Idara ya Uhamiaji walitoa taarifa yao ambayo wanadai kuwa inalenga kutoa ufafanuzi kuhusiana na suala hili. Taarifa husika imeambatishwa hapa kwenye uzi huu. 2...
  5. Mshana Jr

    Siasa sio ugomvi bali ni ujenzi wa hoja.. Je ccm wamempongeza LISSU?

    Tofauti za kimitazamo zisitufanye tufikie ccm inapotaka kutupeleka.. Kuna mwanachama mmoja hapa jukwaani katamka wazi kwamba Anamchukia sana Tundu Lissu Mwenyekiti mpya CHADEMA Wote tunafahamu ccm walipenda nani apite na tunajua kwa hakika waliwekeza nguvu kubwa kiasi gani, muda, nyenzo na...
  6. D

    Methali ya ajabu niliyopewa na mama mkwe wakati anakazia hoja yake, "aliyejamba hayaachi kunuka".

    Nilimkuta anaandaa mahindi, kipindi ambacho kulikuwa na balaa la wadudu na ukame hivyo uvunaji haukuwepo kabisa au ilikuwa duni mno. Katika kuchangamsha tu genge nikamsifu kidogo kwa kumwambia kuwa kumbe amejitahidi Hadi amevuna kidogo. Hii ndo ilikuwa respond yake, "ee baba, anayejamba...
  7. B

    Mbowe na wafuasi wake hoja, ufafanuzi, kujitetea nk wangeyasema jana kwenye mdahalo.

    Kwamba mdahalo wameukimbia? Kwani Nchimbi walisema je? Kwa hiyo mwamba ameulaza u nini? Kama alikuwa na hoja au kujitetea au kutoa ufafanuzi ilikuwapo fursa bora kwake kuliko jana? Viva CDM kuanza safari mpya free from "chawa wala viroboto!"
  8. mdukuzi

    Godbless Lema ndio mwanasiasa mwenye uwezo wa kujenga hoja na akaeleweka na kila mtu nchini

    Tundu Lissu anaongea kama mgonjwa wa malaria iliyopanda kichwani,au kuku aliyekatwa shingo nussu na kuachiwa Mbowe anaongea kama padri kanisani au sheikh msikitini,haeleweki. Mbowe hawezi kushinda tena. Na akishindwa asitafute mchawi,bali Lena ndio mchawi wake Lema kaitisha press moja tu...
  9. LIKUD

    Asante Mbowe, umeongea hoja ambayo nilii-post hapa JF siku kadhaa zilizopita. Wewe umeiweka vizuri zaidi kuliko mimi

    Niliandika juzi nikisema wanaosema Mbowe aachie uongozi Kwa sababu eti ameongoza Kwa miaka 21 wana hoja ya kitoto Sana ila ninewasamehe Kwa sababu najua wasomi wengi wa Tanzania huenda shuleni kukariri madesa na wakisha graduate hawasomi Tena vitabu. Wakati wasomi wa kitanzania wanamuona MH...
  10. M

    Hapa Mbowe Lissu umemuweza sana

    Mbowe kasema uchaguzi utakuwa live TV zote za duniani zinazotaka kuja zitaingia ukumbi wa uchaguzi 1. Wajumbe kuhakikiwa live 2. Kura kupigwa live 3. Matokeo kuhesabiwa live 4. Mshindi kutangazwa live 5. Mshindi kuhutubia live 6. Mshindwa kuhutubia live Haya yote watashudia wanachama wa chadema...
  11. K

    YAHUSU MTAALA MPYA

    Jana usiku nilifuatilia mjadala wa Hoja yenye kichwa cha habari kinachohusu Mtaala Mpya katika Shule za Sekondari ambayo inasisitiza "Elimu Ujuzi". Nia ya mpango huu ni nzuri kabisa na nimponngezee Mhe. Rais na viongozi wote walioliona wazo hili. Wanafunzi wanatakiwa wawe na elimu ya ujuzi ili...
  12. MIXOLOGIST

    HOJA NGUMU: Kutetea FAM kuendelea kusalia madarakani ni sawa na kukiri CHADEMA ni chama kilichosheheni vilaza

    Jambo hili haliwezekani ndani na nje ya sayari yetu. Chama cha kupigania demokrasia kuwa na mtu ambaye haamini kama kuna watu wanaweza kuchukua nafasi yake Chama cha kupigania demokrasia hakiwezi kuwa na mwenyekiti mmoja kwa miaka zaidi ya 20 Kwa sisi watu wenye akili kidogo tafsiri ya hili...
  13. mshale21

    Pre GE2025 Hizi ndizo hoja zitakazotumika kuizika CHADEMA endapo Mbowe akiibuka mshindi wa kiti cha uenyekiti Taifa, Ongezea nyingine

    Kwa jicho la kawaida , bila matumizi ya akili nyingi, ni wazi kabisa itakuwa heri endapo Lisu ataibuka mshindi dhidi ya Mbowe katika kuwania kiti cha uenyekiti CHADEMA TAIFA. Ni kwa nini? Mosi, ni rahisi sana TAL kama mwenyekiti wa CHADEMA TAIFA, kuipangua hoja ya Rushwa kwa kuwaeleza...
  14. Mr Why

    Mdahalo wa ndoa, Idadi kubwa ya Waafrika wanaamini kuoa au kuolewa ni kufanikiwa maisha, hoja zangu ni za upande wa hasara, weka zako

    Idadi kubwa ya Waafrika wanaamini kuoa au kuolewa ni kufanikiwa maisha ndiyo maana neno ndoa limekuwa likipigiwa kelele kila kona huku maswali ya kuoa au kuolewa yakizidi kusumbua akili za watu wanaoulizwa au kuwakera ikitegemea na namna mtu anavyochukuliwa Ukweli ni kuwa Kuoa au Kuolewa sio...
  15. Side Makini Entertainer

    Hoja na Mjadala dhidi ya Mafia Boxing Promotion

    Katika muktadha wa Mafia Boxing Promotion na matokeo ya mapambano ya hivi karibuni, kuna maswali na kashfa ambazo zinapaswa kujadiliwa kwa kina. Kuna hoja nzito kwamba Mafia Boxing Promotion inawazalisha mabondia kwa njia isiyo ya haki, ama kwa kuwaweka kwenye pambano dhidi ya wapinzani wasio...
  16. mshale21

    Anayezijua hoja za Mbowe zilizompelekea kugombea tena nafasi ya uwenyekiti wa chama aziweke hapa tuzijue

    Wakuu Salaam sana! Nimejaribu kufuatilia hotuba ( mara tatu) ya mwenyekiti wa CHADEMA, ndg FAM wakati akitangaza nia yake ya kugombea tena katika nafasi ya uenyekiti CHADEMA TAIFA , lakini hakuelezea ni hoja zipi zimemsukuma agombee tena nafasi hiya zaidi ya kutoa historia alikokitoa chama ...
  17. Roving Journalist

    SUWASA yafafanua hoja ya Mdau kuhusu uhaba wa maji Kata za Unyianga na Mtamaa Mkoani Singida

    MAELEZO KUHUSIANA NA HUDUMA YA MAJISAFI KWA KATA ZA MTAMAA NA UNYIANGA NA MANISPAA YA SINGIDA KWA UJUMLA Kata za Unyianga na Mtamaa ni mojawapo ya maeneo ambayo yana uhitaji wa kusogezewa huduma ya majisafi katika Manispaa ya Singida na Serikali inatambua hilo na imeshachukuwa hatua stahiki...
  18. Ndolezi Petro

    Dira ya Taifa, Hoja 7 Mkononi

    DIRA YA TAIFA 2050, HAKUNA AMANI BILA HAKI Kwenye Mkutano wa Kongamano la Vijana la kuangazia Rasimu ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050. Nilipatata fursa ya kutoa maoni juu ya kuboresha Shabaha za Dira. Nilikwenda na hoja 7 mkononi kama ifuatavyo 01. Kuna Watanzania 91% ambao ni nguvu kazi...
  19. M

    Watanzania ni 'low minded'?

    Heri ya sikukuu ya mwaka mpya, Wanajukwaa hili. Penye ukweli uongo hujitenga. Hili naomba lieleweke vema. Miongoni mwa low minded people in Africa ni jamii za Watanzania. Mpaka kufikia umri huu, nakubaliana na 'phrase' hiyo hapo juu kwa sababu nilizoona kutokana na uzoefu wangu wa muda mrefu...
  20. Q

    Lissu jifunze, Huwezi kushika dola kwa kupambana na dola, Never

    Lissu sio mwanasiasa haijui siasa kaingia kwenye siasa ili kufanikisha malengo yake ya uanaharakati. Lengo la mwanaharakati sio kushika dola ni kutetea haki na kuleta mageuzi, tofauti na lengo la mwanasiasa ambalo ni kushika dola. Mbowe ni mwanasiasa, mwanasiasa makini hutumia hoja, dialogue...
Back
Top Bottom