hoja

  1. Tlaatlaah

    Ni lini CHADEMA wataacha kutegemea hisia na huruma za wananchi kushinda uchaguzi badala ya hoja, mipango na mikakati ya maendeleo kwa Watanzania

    Ni muda mrefu sasa tangu chama hiki cha kisiasa kimekua ni taasisi iliyokosa uelekeo na kupoteza malengo na misingi ya kuanzishwa kwake, na kuamua sasa kutegemea sana propaganda za hisia kali zenye kutia huruma kwa wananchi ili kuleta taharuki, kuwavutia na kuwahadaa wananchi kanakwamba chadema...
  2. JanguKamaJangu

    Wakili Mwabukusi: Bunge halitakiwi kukwepa hoja ya utekaji

    Rais wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi amesema Bunge lina wajibu wa kuruhusu mjadala wa suala la utekaji kujadiliwa ndani ya Bunge bila kujali kuna mambo ya kiufundi ambayo yanakwamisha hilo, amezungumza hayo wakati anahojiwa na Kituo cha Crown FM.
  3. Tlaatlaah

    Mafanikio makubwa yaliyochochewa na serikali ya awamu ya sita yawa kero kwa wapinzani wa maendeleo nchini

    Ni dhahiri sasa, Dr.Samia Suluhu Hassan anapendwa nchi nzima. kazi za mikono yake na mipango mikakati yake kupitia serikali sikivu ya CCM zawafurahisha sana na kuwanufaisha wananchi nchini kote Tanzania.. Wananchi hivi sasa maeneo mengi nchini wana pata huduma nyingi muhimu kwa uhakika na...
  4. D

    Anaandika kada mtiifu wa CCM Bollen Ngetti, ana hoja!

    C&P RAIS na Mwenyekiti wangu wa chama hongera kwa majukumu bila mapumziko ya maana. Mambo ni mengi yanaendelea hapa nchini yanayoweza kuikwaza chama katika chaguzi zijazo. Most. Suala hili la watu kutekwa na kupotea tena tena likijiita ni "Kikosi Kazi Maalumu" inayopambana na wakosoaji wako...
  5. Crocodiletooth

    Hoja za Serekali za uhifadhi wa urithi wa asili, inaishinda hoja ya masai ya kimakazi

    Uhifadhi wa mazingira ndizo kelele za dunia yetu kwa nyakati hizi, ardhi haiongezeki, bali watu wanaongezeka na masai wameongezeka kwa idadi kubwa ya kutisha, no matter ni eneo waliloishi miaka kwa miaka, ardhi isiyo mbuga ipo tele na yenye rutuba na nzuri kwa malisho ya mifugo. Pia, hoja ya...
  6. Pang Fung Mi

    Tathmini ya kuunga mkono hoja ya kukataa kuoa au kukataa kuishi na mwanamke kwa pika pakua

    Shalom, Kuna vitu vimetamalaki na jamii inaona kawaida. 1. Sauti za wanaume hasa katika uongozi, maelekezo, makatazo na maonyo zimekuwa ndogo kuliko maamuzi ya wanawake. 2. Chachu ya point namba 1 ni jeuri, kiburi na dharau. 3. Utii na unyenyekevu vinapuuzwa. Hakuna ndoa bila utii na...
  7. S

    Pre GE2025 Mbona Msigwa hana jipya huko CCM? Inaonekana amehama na furushi la dosari za Mbowe tu

    Nilitegemea Msigwa ajikite ktk kueneza na kutangaza mawazo mapya (ya akili kubwa) ili kuondoa mapungufu ya kiuongozi, kisheria na kisera ndani ya serikali inayoongozwa na ccm. Lkn badala yake tangu ahamie ccm amekuwa akimlaumu Mbowe kila apatapo nafasi ya kuongea kwenye majukwaa. Manufaa ya...
  8. Ileje

    Singida Black Stars wana hoja wasikilizwe!

  9. stabilityman

    Hoja nzito kidogo: Vipodozi vikali vinapunguza joto la mwili

    Eheeee. Habari nmeamua tu kukudokeza Uumbaji wa Mungu ni waajabu sana Mungu ametupa joto ambalo huwa linapungua na kuongezeka kulingana na mahali na vitu tunavyofanya. Shetani katika kutimiza malengo yake ameleta vitendea kazi ikiwepo Vipodozi vikali vya kujichubua n.k Hivi Vipodozi vinapunguza...
  10. Mturutumbi255

    Hoja: Tuna Imani na Ali Kamwe kuliko Haji Manara kwa Nafasi ya Msemaji wa Klabu ya Yanga SC

    Katika nyakati za hivi karibuni, Yanga SC imekuwa ikipitia mabadiliko makubwa katika nafasi ya msemaji wa klabu. Baada ya kufungiwa kwa Haji Manara na Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), nafasi yake ilichukuliwa na Ali Kamwe. Tunaamini kwamba Ali Kamwe ni chaguo bora zaidi...
  11. comte

    Hoja za CHADEMA zinajibiwa kirahisi na muda na Mungu

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/biashara/bidhaa-zashuka-bei-wachumi-watoa-somo-4695482
  12. Moto wa volcano

    Siasa za matusi hazina mashiko, siasa ni kujenga hoja

    Siasa sio uadui ni ushindani na hamasa ya kuchochea maendeleo, inashangaza kuona mwanasiasa anazungumza jukwaani mpaka mishipa inataka kupasuka. Siasa ni ushindani wa hoja . Kutumia lugha ya matusi kunafifisha jumbe uliyokusudia kwa jamii Kutoka kwa Raia mwema nisiyefungamana na chama...
  13. Roving Journalist

    Dar: Anayedaiwa kutekwa naye asakwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za utekaji

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na mamlaka zingine za kisheria tunaendelea kufuatilia kwa karibu matukio ya ubakaji na kulawiti kwa watoto wadogo ambapo tangu mwezi Machi mpaka Julai Jeshi la Polisi limepokea taarifa nne kutoka kwa wazazi wa Mbagala na Temeke...
  14. S

    Mkurugenzi Bodi ya Sukari jibu kurasa 95 za hoja za Mpina kuhusu vibali vya sukari acha kurukaruka

    LUHAGA MPINA amewasilisha kwa umma hoja zenye kurasa 95 kuhusu suala la vibali vya sukari lakini nimesikiliza press ya bosi wa bodi ya sukari sijaona akijibu hoja badala yake kuruka ruka. Hoja za Mpina ziko kwenye kurasa 95 tunaomba majibu ya hizo hoja kama ni za uongo au za kweli weka matrix...
  15. Bob Manson

    Najiuliza bila kupata majibu, ni nani anawashauri washauri wa viongozi wetu?

    Habarini za wakati huu. Pasi na shaka wapo washauri wa viongozi wetu, na viongozi ndyo huwachagua watu hao. Napata mashaka kuona baadhi ya viongozi kuwa na hoja hafifu na uwezo mdogo wa kupambanua mambo, mimi sijabobea katika siasa lakini atleast naweza kuona na kuelewa mienendo ya viongozi...
  16. W

    Hoja za African Supremacy waafrika kujisifia ni watu bora zaidi huwa zinanichekesha, ukweli ni kwamba tunashika mkia mambo mengi yena kwa kujitakia

    Tuna uwezo mkubwa kimiujiza, wajerumani wachache waliwaua babu zetu wengi sana waliochanjwa na kinjikitilengwale dawa ya kuzuia risasi. tuna tiba asili zenye nguvu - magonjwa, magonjwa kama malaria, kipindu pindu, ebola inamaliza waafrika wengi mno. Tunapendana, achilia mbali waafrika kuwa...
  17. Bob Manson

    Tatizo la kushindwa kuunda hoja na kudai hoja pasipo kuwa na hoja.

    Habari za Leo Waungwana. Nawasilisha hoja yangu kama ifuatavyo. Hivi sasa kila mtu anadai hoja, anasema wengine hawana hoja, ukitoa maoni unaambiwa hauna hoja. Binafsi sielewi kwamba wanao dai hoja wanamaanisha au wanapuuza yaliyosemwa kwa excuse ya kukosa hoja? katika namna ya pande mbili...
  18. K

    Tunawaomba wanasheria nguli watufafanulie hoja za Mpina, kifungu kwa kifungu ili tujue ukweli

    Jana Mhe. Mpina alifukuzwa Bungeni na kutakiwa kutohudhuria mikutano 15 ya Bunge. Tulisoma HOJA zake lakini uamuzi ukafikiwa kuwa afukuzwe. Kwa kuwa nchi hii inaongozwa kwa kufuata UTAWALA BORA, pia inafuata sheria, kanuni na taratibu hivyo ninaomba Wanasheria nguli watufafanulie hoja za Mpina...
  19. Chakaza

    Pre GE2025 CCM Kutumia Watu Kama Hawa Kujibu Hoja ni Kujifedhehesha na Kutudharau Tunaohitaji Majibu

    Hivi kweli mnamtengea fedha huyu chawa asiye na aibu wala kujitambua aitwaye Steven Nyerere (sina hakika na hilo jina) aisemee CCM na mwenyekiti wenu na kumuandalia Press? Mnatuonaje Watanzania wa wakati huu 2020's? Unajua kama lipo jambo linamuuzi mtu mwenye akili timamu na anahitaji majibu...
  20. L

    David Kafulila na Zitto Kabwe ndio watu Pekee waliokuwa wanaibeba CHADEMA katika Hoja zote za Masuala ya Uchumi.

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Wafuatiliaji wa siasa za Nchi hii mtakubaliani nami kuwa Mheshimiwa David Kafulila pamoja na Mheshimiwa Zitto Kabwe ndio watu Pekee waliokuwa wanaubeba Upinzani hasa CHADEMA katika masuala na hoja zote zinazogusu na kuhusu Uchumi.Ndio maana CHADEMA mpaka sasa huwezi...
Back
Top Bottom