Ikiwa kiongozi atashindwa kufanya maamuzi ambapo kimsingi sheria imempa mamlaka hayo ujue huenda kuna tatizo.
Kiongozi mzuri ni yule anayekemea na kuomba ushauri wa kiutendaji,inapotokea nyumba yako ina machafuko watu wanapigana,kusemana,kupigana vikumbuko ni dhahiri kuwa kiongozi unepwaya...